ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu mzidi kumkaribia Mungu nae atawakaribia 🙏🙏
Ibada NI maisha, ibada ndo uzima wetu, Hongeren sana watoto WA YESU, najiskia Raha sana
Kwa ajiri ya ukarimu wako yesu hatutaacha kukusifu siku zote za maisha yetu.
roomtakatifu alituhudumia kwanamna yaajabu
Amina kusifu kunawapasa wanyofu wa mioyo
Raha ya kumuabudu Mungu aliye hai, Mungu wa kweli Mtakatifu aliyeko atakayekuwepo milele.
Amen