NJIA 15 AMBAZO MATEPELI HUTUMIA KWA AJILI YA KULAGHAI PIONEERS PI ZAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 52

  • @JonhBakali
    @JonhBakali หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu nakubari san utowa erimu nzuri san

    • @SylivesterNgena
      @SylivesterNgena หลายเดือนก่อน

      Asante sana so nitaifanya ikirudishwa

  • @MumberekasikaFabrice
    @MumberekasikaFabrice หลายเดือนก่อน

    Mimi ni Fabrice toka Congo nashukuru kwa masomo ya jisi ya kulinda compte zetu za pi net work. Nashukuru

    • @officialkhudhey6079
      @officialkhudhey6079  หลายเดือนก่อน

      Karibu sana na tunawapenda pia

    • @MumberekasikaFabrice
      @MumberekasikaFabrice หลายเดือนก่อน

      Hapunipe jibu sahihi

    • @MumberekasikaFabrice
      @MumberekasikaFabrice หลายเดือนก่อน

      Samahani sana nisaidiye na namba Yako ya Watshap kwa kwaajili ya maongezi zaidi in box

  • @KisinzaMasebo
    @KisinzaMasebo หลายเดือนก่อน +4

    Haya madini nayasubiri mwanza

  • @RafiiKipingu
    @RafiiKipingu 28 วันที่ผ่านมา

    Mimi pi zangu adi leo azijawa migrated adi leo

  • @JeremiahMwalukosya
    @JeremiahMwalukosya หลายเดือนก่อน +1

    26:02 Sasa boss tunasaidikaje au tunaponaje na uhuni wote huu kama huu wa VPN

  • @stevenmrama3123
    @stevenmrama3123 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa elimu uliyotupatia

  • @MahmudHakizimana
    @MahmudHakizimana หลายเดือนก่อน +1

    asante sana bro kwa ufafanuzi huo tuwe makini naomba link yako ya youtube ili nizidi Kukufuata kwa karibu

    • @officialkhudhey6079
      @officialkhudhey6079  หลายเดือนก่อน

      Subscribe tu hapo na washa ile kengele ili uweze kua wa mwanzo kupata taarifa zote zinazotumwa hapa

  • @DEBORAKYARA-m1i
    @DEBORAKYARA-m1i 23 วันที่ผ่านมา

    Tutajuaje sasa kama tumeibiwa😢

    • @officialkhudhey6079
      @officialkhudhey6079  22 วันที่ผ่านมา

      Kutokana matendo yako unayoyafanya katika simu ndio yanaweza kukufanya uweze kuibiwa pesa zako

  • @MumberekasikaFabrice
    @MumberekasikaFabrice หลายเดือนก่อน

    Mimi apa nimeisha maliza juma mbili na nime pase kwc naeza nikachunga muda gani ili pi zangu zi migre

  • @rosemgata5
    @rosemgata5 หลายเดือนก่อน

    Hata Mimi nilifutwa nikakataa

  • @ShabaniKalyambike
    @ShabaniKalyambike 8 วันที่ผ่านมา

    Kwa maelezo hayo wengi tumeshapigwa,sasa tufanye nini kulinda machimbo mapya?!!?

    • @officialkhudhey6079
      @officialkhudhey6079  8 วันที่ผ่านมา

      Kama una wac wac na wallet Yako tengeneza maneno mengine 24

  • @JeremiahMwalukosya
    @JeremiahMwalukosya หลายเดือนก่อน +1

    Sasa boss tunasaidikaje au tunaponaje na uhuni wote huu kama huu wa VPN

    • @officialkhudhey6079
      @officialkhudhey6079  หลายเดือนก่อน

      Ndio muache kutumia hizo vpn

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 24 วันที่ผ่านมา

      Napataje share na lini mtakuja mwanza ? ​@@officialkhudhey6079

  • @JeremiahMwalukosya
    @JeremiahMwalukosya หลายเดือนก่อน

    Sasa boss wangu tinasaidakaje kupona namambo ya VPN njia gani tunaweza kuwa salama

  • @JeremiahMwalukosya
    @JeremiahMwalukosya หลายเดือนก่อน +1

    Boss naitaji namba yako

  • @INNOCENTERNEST-g2w
    @INNOCENTERNEST-g2w 5 วันที่ผ่านมา

    Hiv kama kuna mtu ana maneno yangu 24 anaweza kuniibia pi zangu?

  • @fanuellingson
    @fanuellingson หลายเดือนก่อน

    Aiseee Mimi Nina maneno 12 lakin yanagoma kila nikiweka.nmejaribu kutengeneza wallet ingine bado maneno niliyopewa hayafungii wallet

    • @officialkhudhey6079
      @officialkhudhey6079  หลายเดือนก่อน

      Kwanza unatakiwa kutambua kua pi Network haitumia maneno 12 ya siri, huko tumeshatoka Pi Network inatumia maneno 24 sasa sijui unafeli wapi, ushauri wangu shiriki katika vikao vinavyo fanya kila kipindi na Pioneers wa mkoa wako ili upate kujifunza pia unaweza kutaja mkoa unaotoka ili tuweze kukusaidia kupata masaada kwa viongozi husika

    • @kalengashoppingcenter1108
      @kalengashoppingcenter1108 หลายเดือนก่อน

      Tunapataje faida kupitia PI

    • @frankmhengilolo1584
      @frankmhengilolo1584 หลายเดือนก่อน

      Dar lini boss​@@officialkhudhey6079

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 หลายเดือนก่อน

    Tunapataje faida kupitia Pi. Nikweli watalipa watu wote duniani?😢

    • @officialkhudhey6079
      @officialkhudhey6079  หลายเดือนก่อน

      Hii ni Sarafu hatupo kutengeneza faida, tupo hapa kujenga mustabali wa sarafu ambayo itakuja kutumika katika maisha yetu ya kila siku unatakiwa kutofautia baina ya investment na uundaji wa sarafu

  • @simulinzi
    @simulinzi หลายเดือนก่อน

    naomba namba yako kiongozi nataka kujuwa kitu

  • @SylivesterNgena
    @SylivesterNgena หลายเดือนก่อน

    Habari mkubwa tuelezee kyc zetu ziko not approved so tufanyaje hapo?asante sana

    • @officialkhudhey6079
      @officialkhudhey6079  หลายเดือนก่อน

      Utaletewa liveness mufanye tena ila munapofanya kuweni makini kama hujui mtafute kiongozi wa mkoa wako akusaidie kufanya kila mkoa upo na viongozi wa Pi network

  • @alexsimon5576
    @alexsimon5576 หลายเดือนก่อน

    Pi zangu zimehama ndogo zingine naambiwa lockup Hadi 2027,kwa Nini imekuwa hivo??

    • @FocusmachumuMwizarubi
      @FocusmachumuMwizarubi หลายเดือนก่อน +1

      Hiyo ni lockup yako kama ulilockup asilimia 50%kwa hiyo utapewa a%hiyo

    • @officialkhudhey6079
      @officialkhudhey6079  หลายเดือนก่อน +1

      Unaoneka ulifanya lockup wakati inaanza mchakato wa uchimbaji

    • @CashMoney-zf4qr
      @CashMoney-zf4qr หลายเดือนก่อน +1

      Ulitia lockup ya muda mrefu au kam Kuna mtu alikuunga basi lockup hakukufanyia setting hapo itakubid isubiri hadi 2027

    • @RafiiKipingu
      @RafiiKipingu 28 วันที่ผ่านมา

      Hyo lockup unaweka wapi kwenye wallet au kwenye mine rate

  • @jacobletema3681
    @jacobletema3681 21 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu/Facilitator, mafundisho yako ni mazuri mno lakini lugha unayotumia ni ya kejeli sana kama vile tuliojiunga na Pi ni wajinga na tumepotea, badilisha style ya kuongea, tutahadhalishe kwa lugha ya kutujenga.

  • @JeremiahMwalukosya
    @JeremiahMwalukosya หลายเดือนก่อน

    Sasa boss tunasaidikaje au tunaponaje na uhuni wote huu kama huu wa VPN

  • @JeremiahMwalukosya
    @JeremiahMwalukosya หลายเดือนก่อน

    Sasa boss wangu tinasaidakaje kupona namambo ya VPN njia gani tunaweza kuwa salama

  • @JeremiahMwalukosya
    @JeremiahMwalukosya หลายเดือนก่อน

    Sasa boss tunasaidikaje au tunaponaje na uhuni wote huu kama huu wa VPN

  • @JeremiahMwalukosya
    @JeremiahMwalukosya หลายเดือนก่อน

    Sasa boss tunasaidikaje au tunaponaje na uhuni wote huu kama huu wa VPN

  • @JeremiahMwalukosya
    @JeremiahMwalukosya หลายเดือนก่อน

    Sasa boss tunasaidikaje au tunaponaje na uhuni wote huu kama huu wa VPN