Mwasasu napenda jumbe zako sana! nakumbuka kama sikosei 2010 ulikuja Mtwapa uwanja wamtomondoni kuhubiri ulialikwa na pasta Kanja Jubilee. wakati wa maombi uliuliza wenye shida wapande juu nilipanda coz nilikua ninashida yakumwaika mimba kila nikishika, nashukuru uliniombea nilijsikia nimeanguka lakini nakumbuka tu neno moja ulitamka kwangu kua unavunja laana za ukoo na mikosi.Mungu ashukuriwe niliporudi nyumbani nilipata damu zimekauka! na nikabeba mimba yangu vizuri mtoto nilie mzaa anaitwa Faith coz ni kwa imani ashukuru sana mchungaji na nikazaa mwingine anaitwa Lona. mungu akupe maisha marefu uokoe wengi.
This man of God blessed me, ipray that the living God he serves my protect in so that he may continue ministering for the people of God.he was in Kenya Nairobi Grace Chapel October 2018 actually I was lbessed yaani alinitia nguvu kwa njia ya kipekee. Mungu wa uzima amubariki pamoja na familia yake mighty.
Kama unapenda huu wimbo gonga like🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Kazi zako zinaishi na zitaendelea kuish pumzika kwa Aman pst Mwasasu 😭😭😭
Naamin Kuna SKU nitakuwa Kama weww baba yang mwansasu pumzika kwa amani one day yes coz of my God🙏🙏
Dah! Yaani nikiangaliaga wimbo wa huyo mtumishi nalia kwa kweli
R.i.p mtumishi wa Mungu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Rest in peace!! Unaniliza Leo mwansasu wewee 💔💔dah
Pumzika baba angu tooanakujua shule yasing wewe ni ngomee imara ata uko mbingun
Mwasasu napenda jumbe zako sana! nakumbuka kama sikosei 2010 ulikuja Mtwapa uwanja wamtomondoni kuhubiri ulialikwa na pasta Kanja Jubilee. wakati wa maombi uliuliza wenye shida wapande juu nilipanda coz nilikua ninashida yakumwaika mimba kila nikishika, nashukuru uliniombea nilijsikia nimeanguka lakini nakumbuka tu neno moja ulitamka kwangu kua unavunja laana za ukoo na mikosi.Mungu ashukuriwe niliporudi nyumbani nilipata damu zimekauka! na nikabeba mimba yangu vizuri mtoto nilie mzaa anaitwa Faith coz ni kwa imani ashukuru sana mchungaji na nikazaa mwingine anaitwa Lona. mungu akupe maisha marefu uokoe wengi.
Mungu akulaze mahali pema peponi pst mwansasu
Mama hongela kwa ujasili kila kitu kinafanyika kwa kusudi la MUNGU naitwa faustina niko kenya
Jamani jamani nakumbka mbalii sanaaaaa Mungu akulinde Baba na akutunze sanaaaaa naupenda sanaa uhu mwimbo.
Amen 🙏🙏
Tutakukumbuka pasta
Asante sana mtumishi
Yesuuu uwiiii mwansasu jaman kwanini lakin hii dunia 😭😭😭😭
Mh ivi na huyu tyr ameondoka?izo Rip za nn,au tunajua ndy mwansasu
RIP Brother
R.i.p😭😭😭😭😭
R.i.p bishop we pass as shadow in this world.
In really this brother has been anointed by God am blessed with his songs
Keep on brother I like your songs God be with you kyala akutule pakabombo kako!
God be with you bro,Kyala aye nuwe pakabombo kako mwaisa!
Yupo Mungu Eee Hakuna Aliyezaliwa akakosa kulia.
hongera mtumishi kwa kunifaliji,kwa maana ninalia ndoa yangu inanisumbua sana,
Mtumishi mungu akuongezee maharifa
Pumnzika Kwa Amani mtumishi
Ameen
Hatarii wimbo bora kabisa
This man of God blessed me, ipray that the living God he serves my protect in so that he may continue ministering for the people of God.he was in Kenya Nairobi Grace Chapel October 2018 actually I was lbessed yaani alinitia nguvu kwa njia ya kipekee. Mungu wa uzima amubariki pamoja na familia yake mighty.
This is Great Mwansasus.God bless you and family
keep it up my father
woooow.Great song n powerful message!be blessed all.
Rip
Amen
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Amem
NICE
rahabu mboma
Barikiwa san nakumbuka ulienda kuhubiri ngekye kwa pst kasunga ulipiga neno nyuki wakamwagika ilikua baraaaaa!!!!!!!
😭😭😭😭😭😭😭
😥😥😥😥😥😥😥😥🤫
amani
Poreni sana ndungu najama
duu
Mtumishi mungu akuongezee maharifa