nyimbo zako nzuri sanaaaaa zimeokoka pia zimejaa kweli na nguvu za Mungu to ka uto to wangu nilizipenda hivyo zimeibua karama hiyo kwangu pia ingawa waweza kubeza kazi yako lakini umeathili wengi pasipo wewe kujua,hivyo tuna mwelekea yesu wakweli tu asiye badilika
Mumgu akubariki mtumishi Kuna wimbo wako nautafuta nadhani unaitwa usimtese mwenzio Baadhi ya maneno ya huo wimbo: ni rahisi kuvumilia miaka 30 gerezani, lakini ogopa sana ndoa ikigeuka ndoano...
True Gospel servant of God may the good lord elevate you to the next grace
Powerful song
Good song
Eee Mungu nisaifie nisilale nikeshe nikiomba
When gospel was gospel
🎉🎉🎉 nice song be blessed 🎉🎉
Mungu wa ajabu hakika hakuna kama wewe na hatakuwepo neno lako li hai Ufalme wko sasa utawale Milele na milele
Bwana yesu akubalik kwa nyimbo yenye ujumbe mzuri nimeipenda sana sana sanaaa
Great tribute to the Holy Spirit enlightening brother Yusto to speak the will of God 🙏
Mungu nifunze jinsi ya kusamehe
May God bless you
Nice song
nyimbo zako nzuri sanaaaaa zimeokoka pia zimejaa kweli na nguvu za Mungu to ka uto to wangu nilizipenda hivyo zimeibua karama hiyo kwangu pia ingawa waweza kubeza kazi yako lakini umeathili wengi pasipo wewe kujua,hivyo tuna mwelekea yesu wakweli tu asiye badilika
Napenda nyimbo zako zote mtumishi wa mungu okowa erick mlolongo kenya
I have just heard this song in a mat... Oh my I have been blessed with the message esp coming at the right time in my life.
Nice message ❤❤❤ amen ipo nguvu ktk kusamehe
This song has blessed me so much. Just at the right time.
Brother in Christ,this is a great job of all time
Msamahaa thecway to peace
Your songs are blessed a lot🙏🙏🤷🤷
Can't get enough of this..my all time favourite
Ushinde u baya Kwa wema nimebarikiwa Sana na ujumbe huu
Nyimbo zako ni za baraka kweli..natumai siku nitapata nafasi ya kukutana nawe..napenda jinsi ur vigorous in your actions..
🙏🙏🙏🙏Bwana Yesu nifundishe kusamehee🎺🎺🎺🎺🎺🎸🎸🎸🎸
Everytime am tempted to revege...I remember I should forgive.. this song blesses my heart.....
Mungu atukuzwe milele
2023 still a hit.have been preached to.this is Real gospel
Utukufu kwa mungu 🙌🙌🙌🙌🎸🎸🎸🎺🎺🎺🎺🎺🎶🎶🎶🎶
2021 and still 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Msamehe mwenzio usiuwe ushirika..
Have been listening to your songs for years.. More Grace Papa
Ubarikiwe mchungaji
NIMEWASAMEE WOTE WALIO NIKOSEA NIKIJUA BE VILE KUJUA E MUNGU NIUMBIE MOTO MUPYA🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Natamani siku moja nikuone maana unanisapoti sana.
Mumgu akubariki mtumishi
Kuna wimbo wako nautafuta nadhani unaitwa usimtese mwenzio
Baadhi ya maneno ya huo wimbo: ni rahisi kuvumilia miaka 30 gerezani, lakini ogopa sana ndoa ikigeuka ndoano...
Amen.mungu atusaitie sana.
Msamaha jambo LA hekima,Amen
Very good
To God be the glory, very nice song
Blessed servant of God
wimbo wenye mafunzo
Nimeutafta huu wimbo miaka 4 iliyopita..hatimaye..nimeutafta na lyrics maanake sikujua title wala msanii.
My favourite song
Amen.mungu atupe moyo wa kusamehe.
Gospel musician Legendary....
This song has been ablessing since 2010 when i was passing through alot in my life
Very educative and a sound song. Very powerful words.
So touching so teaching that I feel to forgive all that have offended me..this is real original gospel music..!!
Amen. Thank you for watching. May God bless you.
Amen. Thank you
I needed this song right now,it has been in my head from yesterday,am blessed
Thank you Nancy. May God bless you.
Can't get enough of this song
Wow,life changing.
Am blessed 🙏
I miss your songs yusto 🔥🔥
Grateful that this songs are available
Hallelujah 📯📯📯🎷🎷🎷🎷🎤🎤
Such a nice song
I have a lot hurting me but I never give up
Great music.Uliimba muziki mzuri sana.Where did you go?
Nipo hapahapa Afrika Mashariki. Naendelea kuimba
Wow.latest music ni gani?
This song blesses me a hundred fold, I could listen to it a whole day. May the Lord continue to use you.
Amen
Yesu opark thainya. Thank you for watching. Nyasaye oguwethi thainya.
True Gospel...ameen
Msamehe mwenzio
Nice song. God bless you.
Glory b to God
A great message. I thank God for using you. Nimenyenyekea.
Hello Trizza, Asante sana kutazama nyimbo zangu. Wewe ni mtu wa maana na wa muhimu sana kwa huduma yangu.
Hallelujah!!
This song it has been a blessing to me ever since I heard it back in 2010
Thank you for your support. Keep watching and pray for me.
Good
Blessings
taaaamu kweli
Balikiwa baba amen
Amen. Asante.
Am blessed with your songs amen
Amen
Am really blessed.. Amen amen
Thank you for watching
NATAKA MUYO WE KUSAMEE
Ataiwe Yesu. Habari za huko Kenya?
Musamahaa
Asante sana kutazama nyimbo zangu.
🙏🙏🙏
❤❤❤
Asante
Amina
2022 and I still love this song 💗
Bwana Yesu asifiwe. Nakushukuru sana kwa kupenda nyimbo zangu.
Amen amen 🙏🏻 🎤🎤
Ningependa kumusamehe mume wangu jinsi alivyonithulumu.....
Msamehe ili moyo wako usilemewe.
Asante sana nitafanya hivyo
🥰🥰🥰🙏🙏🙏
😊😊😊😊😊
🎸🎸🎸🎸🎻🎻🎻🎺🎺🎺💃💃💃💃
Hello Ruth Nzioka, nakushukuru sana.
Mp3
Amen
🙏🙏🙏