Huyu Mpenda ni Bondia mzuri ila ana kosoro ndogo ndogo jaribu kufanyia kazi foot working, uwe stable wakati wa kwenda mbele na kurudi nyuma, usipende sana kutanguliza kichwa, zoezi la speed ya upigaji wa ngumi muhimu pamoja na target ya kupiga hiyo ngumi mtizame mpinzani wako wakatika unapopiga hiyo ngumi. Jitahidi kufanyia kazi uweze kupiga ngumi 3 mpaka 4 kwa mkono mmoja. Power unayo, tuko pamoja bro utakuja kuwa Bondia mkubwa sana.
Pius una-box vzr sema fanhia kazi eneo la TARGET haswa unapooiga Left na Right Hooks zako Nyingi umemkosa mpinzani wako ambapo zingempata tungeweza kupata matokeo mazuri kwasababu una nguvu na baadhi zimemletea madhara haswa zile unazopiga kwa Counter Pia JAB ya mpinzani ilikiwa inakusumbua sana Sasa Bondia Asemahle anatumia JAB kwa kiasi kikubwa, Train kwa namna ambayo utaweza ku-counter JAB ya Asemahle Mwisho badili mfjmo wa upiganaji Aselahle ameshaona mfumo wako kwenye mechi yaki ya ujerumani makinika nae
Akili za mabondia wa TZ kuamini zaidi kwenye Power kuliko skills itaendelea kuwagharimu kila siku
❤❤❤❤❤
Pius bonge la bondia piah mvumilivu sanaaa wa punch
Hawa hawafanani uzito kabisa! Big up Champion Pius Mpenda
Huyu mpenda apgane na twaha kipimo sahh kabsa
Helal, yegenim.
Pius amejitahidi sana, hongera
Umejitaid sana champ
Huyu Mpenda ni Bondia mzuri ila ana kosoro ndogo ndogo jaribu kufanyia kazi foot working, uwe stable wakati wa kwenda mbele na kurudi nyuma, usipende sana kutanguliza kichwa, zoezi la speed ya upigaji wa ngumi muhimu pamoja na target ya kupiga hiyo ngumi mtizame mpinzani wako wakatika unapopiga hiyo ngumi. Jitahidi kufanyia kazi uweze kupiga ngumi 3 mpaka 4 kwa mkono mmoja. Power unayo, tuko pamoja bro utakuja kuwa Bondia mkubwa sana.
Jamaa kafanya Dharau sana kwenye hii 5 Round
Hajatumia guard ila bado katupiga sisi
Alafu anamtaka msouth 😂
Mchezo wa mpenda ni kama kiduku kwa asemale asicheze Ivo atapoteza
💪💪💪💪
Pius una-box vzr sema fanhia kazi eneo la TARGET haswa unapooiga Left na Right Hooks zako
Nyingi umemkosa mpinzani wako ambapo zingempata tungeweza kupata matokeo mazuri kwasababu una nguvu na baadhi zimemletea madhara haswa zile unazopiga kwa Counter
Pia JAB ya mpinzani ilikiwa inakusumbua sana
Sasa Bondia Asemahle anatumia JAB kwa kiasi kikubwa, Train kwa namna ambayo utaweza ku-counter JAB ya Asemahle
Mwisho badili mfjmo wa upiganaji Aselahle ameshaona mfumo wako kwenye mechi yaki ya ujerumani makinika nae
Huyu mpedwa asijarib kumtafuta mwakinyo kabisa ajitafute kwanza Bado sana
Kapigwa
Broo. Unaweza. Hongera. Sana
Mpenda anakosea kupeleka kichwa
Game Kali san sema salut mwanetu Pius mpenda
Piusi kwaupiganaji huyo wakupiga hewa ndio unamuongelea mwakinyo
Pius hongera kaka umepigana vizur sanaa mm nipo nyuma yako
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪💪
Umepambana pius
Hampelmann Cukir