IRAN YAIONYA IZRAEL KWA VITA KUBWA ITAKAYO WAKABIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 73

  • @Paulo-c9z
    @Paulo-c9z 16 วันที่ผ่านมา +8

    Na hapo anae windwa ni Iran inabidi awe makini kwasababu gaza imeisha Lebanon kimya siria wamepoteana sasa iran anapaswa kuwa makini sana

    • @HumudNassor-pg6lq
      @HumudNassor-pg6lq 16 วันที่ผ่านมา +1

      acha ushabiki wakisenge nani kakwambia hisbollah imeshindw wakati wamesitisha vita muda wa siku 60 pia iyo Gaza imepigwa majengo na watoto nasio hamasi

    • @simonkimeu6818
      @simonkimeu6818 16 วันที่ผ่านมา

      Weee Hama's watoto na wao namama zao 50 thausend pepper na batu ​@@HumudNassor-pg6lq

    • @HassanRamadhanPashua
      @HassanRamadhanPashua 16 วันที่ผ่านมา

      Hapo kwa Iran wajipange sana

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 16 วันที่ผ่านมา

      Mwaka wa 30 huu wamshindwa kwa iran ijekua saiv ksha jiimarisha kila sehem

    • @adiliwasanga4521
      @adiliwasanga4521 15 วันที่ผ่านมา +2

      Ukumbuke israeli kawakimbia hamasi na hesbola ila yeye israeli anaua raia tuu

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 16 วันที่ผ่านมา +7

    Israel bila marekani anachakazwa
    Iran piga nyuklia mashoga watie adabu

    • @paschalmartin9598
      @paschalmartin9598 16 วันที่ผ่านมา

      Iran kwani anae nuklia peke yake

    • @FrankAugustino-g2s
      @FrankAugustino-g2s 16 วันที่ผ่านมา

      Kwani Iran 🇮🇷 hapati kiburi kutoka Russia 🇷🇺 na China 🇨🇳.??hujui lolote ww kaa kimya,zile s-300 & s-400 zinatoka wapi

    • @abubakarbwika8397
      @abubakarbwika8397 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@FrankAugustino-g2s kwako matakoni

    • @sukari800
      @sukari800 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@FrankAugustino-g2s n kweli lkn so Askar wa urusi wapo Iran , Ila Israel Kuna vifaa na wanajeshi na wanaopiga n wamarekan sio waisrael Tena unaona n sawa hapo

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 16 วันที่ผ่านมา +3

    Hiii ya motooo🎉

  • @muhamedmsomally4175
    @muhamedmsomally4175 16 วันที่ผ่านมา +4

    Ngoja tuone Israel itakavo anguka

  • @Khatib-iv9pb
    @Khatib-iv9pb 15 วันที่ผ่านมา

    shoga kautaka😂😂😂

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 16 วันที่ผ่านมา +1

    MKIMPIGA IRAN KUMBUKA IRAN NA URUSSI DUGU MOJA

  • @alijuma4095
    @alijuma4095 16 วันที่ผ่านมา +1

    Iran pima kwa urefu hii
    Onto ya Israel. Ukweli ni
    America ndio ina nia ya kuteketeza Iran. Hata sasa ina sema inataka kuiuzia Israel silaha, la hasha, ukweli ni wao wamerika ndio wanaojianda kuishambulia Iran. Kwa singizio ati kuiziya Israel zana za kivita ili kujikinga na majirani zake.

  • @AbdulSadick-w1t
    @AbdulSadick-w1t 15 วันที่ผ่านมา

    Mbon Israel inaendelea kua wanachi gaz HV dunia hamon hili

  • @sumbulan
    @sumbulan 16 วันที่ผ่านมา

    The World News Hakuna Matata

  • @nyagorioerick5439
    @nyagorioerick5439 12 วันที่ผ่านมา

    Hapa hakuna mchezo waingie tu

  • @VicentSangwa
    @VicentSangwa 15 วันที่ผ่านมา

    Kweli Iran atapigwa maana mifumo yake ya ulinzi ni dhaifu sana

    • @faizhad
      @faizhad 14 วันที่ผ่านมา

      Tumeona video za mashambulizi ya iran kwa Israel, tuoneshe video za mashambulizi ya Israel kwa Iran acha blah blah kama media za western!!

  • @AmiriMnyengema
    @AmiriMnyengema 16 วันที่ผ่านมา

    KUMEANZA KUCHANGAMKA SASA

  • @imannoel7245
    @imannoel7245 16 วันที่ผ่านมา +2

    Israel yeye siraha aziishi maana anawapelekea makombora sio poa

  • @YustinoMchopa
    @YustinoMchopa 13 วันที่ผ่านมา

    Israel hana hana maneno mengi yy ni kazi tu

  • @sukari800
    @sukari800 16 วันที่ผ่านมา

    Vita ivo vitakuwa kwa israel ngumu , waone wahouth wanachowafanya waisrael
    Na wao ndio wanasaidiwa na iran ,je akiingia mwenywe inakuwaje

  • @BagambiMukhtaary
    @BagambiMukhtaary 16 วันที่ผ่านมา +1

    Irani si mchezo

  • @meckmussa1840
    @meckmussa1840 16 วันที่ผ่านมา

    Tatizo Iran watu wake washa chapwa Sasa hajui itakuwaje.

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 16 วันที่ผ่านมา

    Supa pawA mashoga

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 16 วันที่ผ่านมา

    Mashoga kaziyao wapate mafuta ya wizi na nchi za kiafrca waibe madini mashoga hawana uchumi zaidi ya ubeberu

  • @samuelwanjala4378
    @samuelwanjala4378 16 วันที่ผ่านมา

    Iran ni mboga ya israel

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 16 วันที่ผ่านมา

    Hawa porojo tu, hawaamuwi kiume kama wahuth.

  • @AllySibila
    @AllySibila 16 วันที่ผ่านมา

    Vita hivi vinatafutwa mbabe

  • @SalimMohamedFaraj
    @SalimMohamedFaraj 16 วันที่ผ่านมา

    Huu usenge wa ahadi tushauchoka

  • @rashidiiddi2433
    @rashidiiddi2433 16 วันที่ผ่านมา

    Irani niwaoga kiukweli nyinyi mmejipanga wakigusa ardhi yenu mnawaonyesha nguvu yenu Haina haja kupiga mikwala isio kua namaana

    • @Awatee
      @Awatee 16 วันที่ผ่านมา

      Hivi unafikiri vita kukurupuka tuu waingie ao wazayuni ili wapate majibu

    • @rashidiiddi2433
      @rashidiiddi2433 16 วันที่ผ่านมา +1

      @@Awatee yani maana yangu Irani ananguvu kubwa kuliko hata Israel myahudi anasema ataivamia Irani kwaiyo viongozi WA Irani wamekua na mikwara mingi ushauli wangu wajiandae kwakua marekani na uingereza ndo wata husika Israel Hana nguvu yakumpiga Irani naamini hivyo

    • @HajiMkomwa
      @HajiMkomwa 15 วันที่ผ่านมา

      Kweli lkn Iran hawezi kukulupuka anaweka store zake vizuri wasije kuharibu silaha zote wanaweka machimbo ya kuji ficha ili wakpga kamb za jesh hakuna ktu walisha hamisha we subr uone walianza uone mzk wa Iran sio poa

  • @princejoseph-g3y-g2f
    @princejoseph-g3y-g2f 16 วันที่ผ่านมา

    Iran hawana uwezo wowote wa kujizuia dhidi ya mashambulizi ya anga kutoka Israeli

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 16 วันที่ผ่านมา

      Mashoga wenzako Ezraeil wanashindwa na Wayemen wataweza Moto wa Iran!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 16 วันที่ผ่านมา

      Mbona Syria na lebanon wanapiga bila ya onyo wajaribu Iran waone 🎉

    • @HajiMkomwa
      @HajiMkomwa 15 วันที่ผ่านมา

      Dogo ushakua shoga wenzio washakuharibu hapo back

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 14 วันที่ผ่านมา

      Vp Ezraeil wao wanao uwezo wa kuzuia makombora ya Iran?yanashindwa kuzuia ya Wahouth!vp wewe ushabiki imekuingia Hadi ktk mshipa wa haja kubwa as!

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 16 วันที่ผ่านมา +2

    Israel alisha msoma iran ckunyingi sana! Ndio maana alimchokoza ili aone uwezo wake! Akajua bado ni mtoto mdogo sana kwa Israel! SHALOM ISRAEL 🇮🇱 ❤

    • @RajabJr-r6y
      @RajabJr-r6y 16 วันที่ผ่านมา

      Anayemuunga mkono waisraeli huwa akina Netanyahu bac mpaka wanga na wachawi yy anawakubali maana wale wanao waongoza wayahu si waisraeli bali ni wazayuni/Zionists na hao nembo ya o ni nyota yenye mishale sita na hii mishale sita ni no, ya shetani 666 lengo lao kubwa ni kuitawala dunia sasa mataifa ya Ulaya ambayo ndio mafreemason wakubwa wakaamua kupeleka mabavarians pale Palestine pamoja na makadharians na wengneo wakajiadaptisha kua wao ni wayahudi kumbe ni watoto wa shetani UFUNUO 2 : 9 anasema ni wayahudi bali ni sinagogi la shetani .YEREMIA 23 : 25 Wayahudi hawatarudi kwao mpaka Yesu atakaporudi 😂😂😂😂 wale akina Netapaka na Itamur bin kavir na wengneo unaowaombea ww pale ni wayahudi wa mchongo hemu soma WIKIPEDIA ktk kile kipengele cha 3rd WORLD WAR ndio utaona lengo hasa la mazionists nini ktk hiz vita .

    • @mwinyibazazi9653
      @mwinyibazazi9653 16 วันที่ผ่านมา

      jidanganye mzayuni

    • @RajabJr-r6y
      @RajabJr-r6y 16 วันที่ผ่านมา

      @mwinyibazazi9653 Ww apo ndio unajidangaya unafata mihemko ya dini wkt wenzko tumebobea kwny ukweli mtupu Fungua WIKIPEDIA The third world war ... sisi tunafanya utafiti na tunasoma na tunaongea ukweli, hatufati mihemko kw ujinga na ndio maana nimekutolea aya ktk YEREMIA 23 : 25 wayahudi hawatarudi kwao mpaka yesu atakaporudi ! Swali Je yesu karudi !!? km hajarudi bado sasa wale pale ni nani?

    • @Awatee
      @Awatee 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@RajabJr-r6yKwani ao wazayuni wanamjua Yesu?

    • @TambaHamisi
      @TambaHamisi 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@RajabJr-r6y😂😂 ww ni kenge kwel yaaan nimecheka Sana kitabu kaandika mzungu huyo amna lolote apo din ni islamiki TU🙏🙏

  • @ShehaHaji-k8t
    @ShehaHaji-k8t 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mpaka sasa Israel ashawaonesha waarabu yy nani na kw ilivo tarifa zke za kiusalama za uhakika iko cku irani atalia.

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 16 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe unafirwa na hawa 🦍🐒🐕💯🤣🤣🤣

    • @stephanosospeter1709
      @stephanosospeter1709 16 วันที่ผ่านมา

      😛😛😛​@@nasseralhatmi1762

    • @SaidyMangari-j8k
      @SaidyMangari-j8k 10 วันที่ผ่านมา

      Zion yahud na naswara, both will cry together, and not Arabs, Allah promise Islam and Muslim will never fall down never defeated, Kaz kwako ss

    • @stephanosospeter1709
      @stephanosospeter1709 10 วันที่ผ่านมา

      @@nasseralhatmi1762 kwani ukitukana unapata nini wew kafiri mtoto wa shetani! Lete point zenye hoja sio matusi! Wew mtoto wa nyoka

    • @stephanosospeter1709
      @stephanosospeter1709 10 วันที่ผ่านมา

      @@nasseralhatmi1762 kwani ukitukana unapata nini wew kafiri mtoto wa shetani! Lete point zenye hoja sio matusi! Wew mtoto wa nyoka

  • @SumuuKijoka
    @SumuuKijoka 16 วันที่ผ่านมา

    iran ni mboga kwa izrael na mboga inaliwa supar power israel

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 16 วันที่ผ่านมา +2

      Wauthi,israel ailali kila siku laiya mabegi mkononi.

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm 16 วันที่ผ่านมา +1

      Wahouth wanamtisha mno Israel,halali.Wamesababisha Israel wanaishi mashimoni

    • @AliNassor-qt6fm
      @AliNassor-qt6fm 16 วันที่ผ่านมา

      Super power mtembeza bakuli😂😂😂😂😂,

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 16 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe unafirwa na hawa 🦍🐒🐕💯😂😂😂

    • @SumuuKijoka
      @SumuuKijoka 16 วันที่ผ่านมา

      @@nasseralhatmi1762 kuma lako unafirwa na putin