Zuchu hongera kwa ulipofika mdogo wangu mungu akuzidishie watafute wasanii wa zanzibar uwasaidie vipaji vipo wengi hatuwasikii saiv sultan king bery black fanya colabo nao tuwasikie
(1).Astaghafir-allah! (2).Astaghafir-allah! (3).Astaghafir-allah! (4).Astaghafir-allah! (5).Astaghafir-allah! (6).Astaghafir-allah! (7).Astaghafir-allah. Haikuwa maisha ya dunia isipokuwa ni mchezo mtupu.
Zuchu akata viuno , kwani Zuchu ana kiuno au ana makalio tu ? hebu tuleteeni habari yenye mvuto huyu ni mtu atafuta umaarufu Znz 2025 aje apachikwe ubunge .
Queen love for all,zuchuuuu
Body gudi upo vizuri na kazi yako
All the from 001county mambasa🇰🇪MTU NIKWAO DADAANGU👍
Zuchu kama zuchu acheni mtoto ajitanue
Karibu hom zu
WcB wasafi💥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Mungu wngu🙆ndo umevaa nini hiyo suruali hata ha Pepe kale zaman ulikuwaga nzur
Aloikubalii io migarii ilomchukua dd zuchu agonge laiki apa
Nice
Nampendaga zuchu hashobokei kuvaa kigodoro
Mama. Kavaaa vizuri mtoto mtihani
Hio suruali shape yote inaonekana na wapokezi wanaume.. Allah akuongoze wewe na mzee wako. Amin
Umeongea vizury
Good work
Hatari na nusu
Wcb4lifeeee
Njaa mbayaaaa
Zuchu Kama zuchuuu
Sasa Mbn sioni Cha maana jmn
Nilijua mange kimambi katua zenj kumbe mwazuchu😁😁
🤣🤣kakopi wigi loo
Zuchu unafunguliwa mlango ya gari unasahau mamako . Your mum should have her own bouncer too
Mama naeana mlinda mwanae
Zuchu hongera kwa ulipofika mdogo wangu mungu akuzidishie watafute wasanii wa zanzibar uwasaidie vipaji vipo wengi hatuwasikii saiv sultan king bery black fanya colabo nao tuwasikie
Baada yakumshauri atubie kwa Mola wake.Wewe unamshauri azidi kuongeza madhambi.
Hii mm ata nikijarbu naanguka ju nita shake mwili wote🤣🤣🤣🤣🤣
Home swt home
Wasafi atulali
SubhanAllah
Da, aliyemvisha wigi Zuchu mbinguni atachungulia dirishani tu. Anatisha. Lo 🙆♂️
Haha lol
😆😆😆😆😆😂😂😂
Zuchu anatembea km roboti jaman kah
Ovyooooooooo
Make things in time
Watoto wasichana juu juu sana
Wigi kama mange kimambi
(1).Astaghafir-allah!
(2).Astaghafir-allah!
(3).Astaghafir-allah!
(4).Astaghafir-allah!
(5).Astaghafir-allah!
(6).Astaghafir-allah!
(7).Astaghafir-allah.
Haikuwa maisha ya dunia isipokuwa ni mchezo mtupu.
Zuchu Kama zuchu
Nom
wasafi hawanaga dogo
Huyu ni mgeni wa kitaifa????
Sio poa
Mb zangu wigi la zuchu km nyasi vile 😶😟😟..
🙄🙄
Aibu ya kitu gani?
Hizo nywele sasa
Iosuruali kma chale mwamvuli
Mnalanaaa nyie
Zuchu yule mshikaj wako wa zaman vep mtaonana!?
😂🤣🤣Yaani wewe akili zako
Acha weee 🤪😜😜🤪😜
Ina takiwa waonane
Sema bi mkubwa hilo gaun s no kijora wanawza pita watu wawili zuchu suruali ata haija kupendeza iyo
Utumbwata
unaweze广金
Zuchu akata viuno , kwani Zuchu ana kiuno au ana makalio tu ? hebu tuleteeni habari yenye mvuto huyu ni mtu atafuta umaarufu Znz 2025 aje apachikwe ubunge .
🤣🤣🤣
Hvy viuno Mbn sijaviona
masiku matukufu nyie mnakata mauno astaghafrullah
Starehe ndio ibada yao hawo Ila ramadhat tu kwao ndio tukufu😎😎
Usanii shida suruali na wigi sijavielewa
Me too 😳😳😳
🙉
🤣🤣🤣🤣🤣
Ujinga mtupu watu wazima ovyooo
Jamani vijana wengine hakuna kitu kinakufurahisheni???? Vipi!!!!
😂😂