Karne ya sasa tunasema.waswahili ni taifa sio kabila kiswanili sio lugha ya kabila fulani ni lugha ya mataifa. But sina maana kama namkosoa mzee Hanzuruni
Tatizo lipo likubwa unaweza kwenda kwenye offic za serekali kwakuwa huwezi kuongea kirundi kama mtu wamilimani basi unaitwa ngo uko mcongomani mpaka mfanya kazi wa regideson wakisha ona uko mswahili basi utaonewa ata na mfanya usafi
This is very informative 👏 👌
😊
👍🏾🎩
❤
Andikeni vitabu na ombeni Wizara ya Elimu hii Historia ifundishwe Shule za Selikali
Wazewetu tuko proud Sana na nyiye ❤
Manshaallah
Inshallah tutafika
🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤
Assalaam alaykum warahmatulahi wabarakatuh mze hussein andika kitabu samahani
Warundi wanaongea kiswahili kizuri kuliko Kenya
Mbona warundi wengi waongea Kiswahili kuliko WA Kenya, Waganda na Wanyarwanda na wa wa Congo Myaka yote tu! 😊
Sio haki mpaka Karne 21 wenye asili ya taifa la kiswanili kubaguliwa
Africa is messed up, iyi problem iko na DR Congo, ndio mana vita hazi ishi
Huyu mzee anamengi ya kutujuza ila maswali anaye ulizwa ndo hayaja shiba
Mze wetu huyo anatakiwa asaportiwe namna ya kuandika vitabu vya history
Karne ya sasa tunasema.waswahili ni taifa sio kabila kiswanili sio lugha ya kabila fulani ni lugha ya mataifa. But sina maana kama namkosoa mzee Hanzuruni
Kwani waswahili wa Burundi hawana haki
Wao ndo wanajitenga
sisi hatuna tatizo nao