Ep 135 Mejja part 1 Parenting & Health Insurance Iko Nini Podcast

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Join this channel to get access to perks:
    / @ikonini
    Support...M-PESA TILL No: 5928023
    MPESA 0722524151 Makarios Ouma
    Subscribe To DJ ZaQ's Channel
    / @djzaq
    Subscribe To Mwafreeka's Channel
    / @mwafreeka
    BUY MERCH: www.ikoninipod...

ความคิดเห็น • 151

  • @blackhibiscus1876
    @blackhibiscus1876 ปีที่แล้ว +25

    Mejja is a man with a big heart and magical talent; Keep going man.. thank you for steering through life’s hardships somehow to the greatness of your realm.. big up..

  • @hobbieh
    @hobbieh ปีที่แล้ว +12

    NHIF ni insurance kama kawaida.. penalties and arrears ziko tu within the current year but mwaka iki lapse inarudi zero unaanza a fresh. So wasee wengi self employed hutegea January wanalipa hiyo 6k for the whole year ama hiyo 500 monthly. NHIF huokolea sana. Kuna msee alinishow hiyo ganji unalipa na ukose kuitumia huwa unasaidia somebody else mwenye ni msick like those who do dialysis twice a week. 3 months ago mama ameborn our 2nd born via CS na bill ilikuwa 30k and was paid by NHIF.

    • @k3ygvrv
      @k3ygvrv ปีที่แล้ว +4

      This is a good realisation, sijawai angalia NHIF hii design

  • @rensonthandiswa44
    @rensonthandiswa44 ปีที่แล้ว +4

    @MEJJA, if you're reading this: You should really try TRANSGRESSIONAL THERAPY. It helps. Utakuwa fiti. Suppressing hizo feelings in the long run huwa detrimental bro.

  • @miketeeka816
    @miketeeka816 ปีที่แล้ว +1

    Kuna topic imeshukishia mejja na umeishindilia sana, work on that...ni maoni yangu

    • @IkoNini
      @IkoNini  ปีที่แล้ว

      Sawa for kujua kushinda Mejja who called us back to tell us this was his best interview ever. But we will ignore him and take your word master. 😁😁

  • @arthuradinda3812
    @arthuradinda3812 ปีที่แล้ว +3

    Mwaf angefaa kuanza hii conversation na "Okwonkwo pole umekuja ghaflaaa..."

  • @otienodancun
    @otienodancun ปีที่แล้ว +1

    The Legend himself, maze staying in the game for this long istn't east,big Mejja ,one of my favourite artist

  • @g.o.tgangoftales136
    @g.o.tgangoftales136 ปีที่แล้ว +11

    This guy is so intelligent
    Only a few can understand

    • @tfl4963
      @tfl4963 ปีที่แล้ว

      💯 and forever a true lyrical Emcee 🎶 💯.

  • @Melonlord45
    @Melonlord45 ปีที่แล้ว +13

    ilikuwa Njugush now its Mejja, shit is getting better and better!!!!

    • @tfl4963
      @tfl4963 ปีที่แล้ว

      💯 💥.

  • @julietnyongesa4766
    @julietnyongesa4766 ปีที่แล้ว +1

    Am back again with my baba watoto I told him hakuna vile anahama hapa he is here to stay ...iko nini

  • @anthonymwendwa7076
    @anthonymwendwa7076 ปีที่แล้ว +1

    ka uliacha kulipa NHIF na umemaliza 1 year, u only pay 1500 na inakuwa active. hizo arrears zi huwaiviwa

  • @bradmuema2482
    @bradmuema2482 ปีที่แล้ว

    What i have learnt ni ati respect Indian Doctors.. kitu ikienda mbaya sana Aga khan Parklands ndio ma hosi though money matters

  • @dennis_tech
    @dennis_tech ปีที่แล้ว

    Naskia tu kucheka nikiona mejja akiongea…😂😂😂 sijui ni coz ya memory ya video zake ama?, until he gets serious. He has some good points though👏🏾👏🏾👏🏾👊🏾

  • @kijanayaaput8940
    @kijanayaaput8940 ปีที่แล้ว +1

    *Mejja alijipata kwa ambulance ya ukweli. Hiyo ni serious mazee.*

  • @Sharikshariksharik
    @Sharikshariksharik ปีที่แล้ว +12

    Mwaf did a great job by asking the hard questions, sometimes we need to talk about sensitive things, ni therapeutic.

  • @PabloM254
    @PabloM254 ปีที่แล้ว +3

    Wadau mlisema Christmas comes early for Iko Nini family.

  • @rensonthandiswa44
    @rensonthandiswa44 ปีที่แล้ว

    AbakuRama. Rutagarama. Mtoto wa Khadija.
    Jamaa noma kutoka Majengo ya NYERI!

  • @Turbulence2027
    @Turbulence2027 ปีที่แล้ว +1

    Kushikilia tumbler for an hour kimejja🤣
    Bigup man,we ni inspiration mtoto wa hadija💯

    • @tfl4963
      @tfl4963 ปีที่แล้ว

      💯.

  • @rensonthandiswa44
    @rensonthandiswa44 ปีที่แล้ว +5

    Great Convo. Mejja has a good head above his shoulders for sure. Mwafreeka na ZaQ priss walahi leteni SHIKS KAPIENGA!
    IKO NINI! 💯

  • @fndege
    @fndege ปีที่แล้ว +5

    Love the message Mejia. We have to let our princess know that black is beautiful, fuck what society says! 🤛🏾

  • @markkariuki35
    @markkariuki35 ปีที่แล้ว +7

    Moving on after a failed relationship at times sio rahisi..mapenzi wewe 😂 😂

  • @blessed112
    @blessed112 ปีที่แล้ว +1

    Mungai Eve just featured this segment shout out to iko Nini.

  • @michira.1524
    @michira.1524 ปีที่แล้ว

    Waaa bunde ya matope reem 2002 hyo ndo ilikuwa vako

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 ปีที่แล้ว +4

    Didn't know about this podcast till today, this my second episode.. much love from SEATTLE, WA. Good job keeping the legends inspirations

    • @IkoNini
      @IkoNini  ปีที่แล้ว +2

      Welcome. There’s over 400 hours to explore 😁

  • @edbuoy
    @edbuoy ปีที่แล้ว +5

    NHIF should onboard Mejja to market them, he puts it very well!!

    • @tfl4963
      @tfl4963 ปีที่แล้ว

      💯.

  • @collinskhaoya3446
    @collinskhaoya3446 ปีที่แล้ว

    Nitashugulikia NHIF Monday 28th/05/23 asubuhi. Thanks for info.

  • @elizabethnzisa873
    @elizabethnzisa873 ปีที่แล้ว +7

    IKO NINI! this was a dope conversation 👌 with Mr Tumbler 🔥🔥❤👏👏

  • @MikeJones-lu7fk
    @MikeJones-lu7fk ปีที่แล้ว +5

    Mejja, is a story teller. I can hang out with him. Great interview!

  • @larryachiya2475
    @larryachiya2475 ปีที่แล้ว

    Hio story ya tumor,my brother had a tumor and he had been complaining about having headaches. One day, he slept and he never woke up. The post mortem determined that he had a brain tumor

  • @dougie_main
    @dougie_main ปีที่แล้ว +9

    Wazi, you guys are really doing a good job. Mejja 🔥🔥

  • @mukinyo.
    @mukinyo. ปีที่แล้ว

    Health insurance huokolea mbaya sana majamaa. NHIF pekee imetosha. Alafu mwaf lipa 1500 pekee alafu after 3 months kadi yako inakua active

  • @fredrickopiyo3390
    @fredrickopiyo3390 ปีที่แล้ว

    Ati globe akunaga jam... Being lead mdogo mdogo... Kweli ma shorti wanaweza ku capture ma jamaa

  • @kankugeorge1518
    @kankugeorge1518 ปีที่แล้ว +1

    on NHIF....if you pay upfront for three months wanaeza consider io time uko admitted kwa hosi....big up hii episode ilikua🔥🔥🔥🔥Iko NN🥃

  • @marymarie405
    @marymarie405 ปีที่แล้ว

    Mimi nazo hug sikosi kupeana, ata hubby akiwa.... But hatunanga issues

  • @gabana4822
    @gabana4822 ปีที่แล้ว

    Hapo kwa responsibilities nakubaliana na Mejja. Hakuna cha 50/50 kwa relationships. Mwanaume agharamike kejani. Imagine utoke hustle upate dem alifagia kila kitu ali buy kejani amehama nayo. 😆

  • @miriamnjenga7536
    @miriamnjenga7536 11 หลายเดือนก่อน

    Iyo part ya made watoxic kuiva ni ukweli kabsaa.

  • @emmanuelkweyu4699
    @emmanuelkweyu4699 ปีที่แล้ว

    Yaani ni kama nilikua hapo na nyinyi tukipiga story. Hadi time ya kucheka na cheka, Kwanza hio story ya longi za TOKYO

  • @FredNjihia
    @FredNjihia ปีที่แล้ว

    NHIF itabidi umelipa ya 3 months ndio uregularize account yako kama uko na arresrs

  • @WhatsPoppin-z
    @WhatsPoppin-z ปีที่แล้ว +1

    I feel like giving Mwaf and Zaq hiyo hug inaongelewa. Hii interview ni AWESOME

    • @IkoNini
      @IkoNini  ปีที่แล้ว

      😂😂

  • @kottien
    @kottien ปีที่แล้ว

    Maze,Mejja amedunga points nzito nzito.Mwanaume kuzoea kujifanyia vitu personal inasaidia sana even in very unfortunate situations kama your partner passing on.Hii life huwezi jua bana...

  • @mahamedhabib8499
    @mahamedhabib8499 ปีที่แล้ว

    Imenibamba sana nimepata hii podcast. Tangu tene nimekuwa fan wa mwaf manze, always thought podcast ingemfaa mbaya so imenibamba 2 kuona ako na podcast , kwa hiyo maneno hata mimi nipewe invite kwa podcast siku moja...one love wadau

  • @ericksonwanakacha2434
    @ericksonwanakacha2434 ปีที่แล้ว +1

    I love meja's humility
    I'm not the best dad but I will try my best to my kids Ooh God help me

    • @tfl4963
      @tfl4963 ปีที่แล้ว

      💯.

  • @philemonmaosa5693
    @philemonmaosa5693 ปีที่แล้ว +1

    Excellent interview

    • @tfl4963
      @tfl4963 ปีที่แล้ว

      💯.

  • @CalebKimani
    @CalebKimani ปีที่แล้ว +1

    😂😂 I had a brown bell bottom corduroy

  • @kellzkingful
    @kellzkingful ปีที่แล้ว

    Mwaf, NHIF kama hujalipa for over 12months huwa wanafuta hizo arrears. Una anza fresh. Only thing is that ita take around 4 months from the date of payment ndio uanze kuitumia

  • @michaelmaina9092
    @michaelmaina9092 ปีที่แล้ว +2

    Hi Podcast ina grow vifiti sana ,Bigup Mwaf na Boy wako !!

  • @cpa_karanja9536
    @cpa_karanja9536 ปีที่แล้ว

    Mwaf kwa hiyo case ya NHIF if you have defaulted for more than a year, to activate your account you only pay for the last 4 months but if default is for less than a year you pay for the total defaulted months.

  • @blackhibiscus1876
    @blackhibiscus1876 ปีที่แล้ว +1

    This is one of the best .. hata before nianze kuwatch..

  • @WhatsPoppin-z
    @WhatsPoppin-z ปีที่แล้ว +1

    Maze good job Mwaf na Zaq. Last week Njugush Leo the king himself. Grateful

  • @blackhibiscus1876
    @blackhibiscus1876 ปีที่แล้ว

    I donned both Tokyo and Corduroy. Katambe!

  • @kennedychege1681
    @kennedychege1681 ปีที่แล้ว

    Iko nini napenda iyo upgrade clarity sai iko top

  • @kamicscomedy1995
    @kamicscomedy1995 ปีที่แล้ว

    Yani Majja ako na connection ya Rwanda? Rutagarama inakuanga Rwandan name.

  • @amgaku
    @amgaku ปีที่แล้ว

    Nooo freaking way… Mejja ni noma 🔥🔥 mmeshinda… your are going places 🫡🫡👍🏽

  • @michira.1524
    @michira.1524 ปีที่แล้ว

    Content

  • @vosti4604
    @vosti4604 ปีที่แล้ว +3

    Mejja genge!! This man always a vibe man🔥

  • @djquestthedreamer9941
    @djquestthedreamer9941 ปีที่แล้ว

    Vile inafaa. Manze Ile siku imefikaaa. Okwonkwo is in the HOUSEEEEE.

  • @jeremykhisa3924
    @jeremykhisa3924 ปีที่แล้ว +1

    Mejja Is Wise Manze

  • @georgekuri1742
    @georgekuri1742 ปีที่แล้ว +1

    Noma Sanaa...I really love this show👍👍

  • @antonysodium8381
    @antonysodium8381 ปีที่แล้ว +1

    Iko niniii!! leo ni session na landlord 😂😂😂😂S/O to Mejja for comin thru

  • @FELIXINYOTI
    @FELIXINYOTI ปีที่แล้ว

    Siku imejengwa with this episode of Mejja

  • @djdeniztv9312
    @djdeniztv9312 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations Mwaf
    Kazi safi, the future is here

  • @bengathiga4213
    @bengathiga4213 ปีที่แล้ว

    😅😅😅Hyo ngoma ya Drake huitwa Mine Still ft Yung Bleu

  • @ambrosekuloba5181
    @ambrosekuloba5181 ปีที่แล้ว +1

    Finally Okonkwo mwenyewe on the couch 🔥 🔥

  • @wycliffepoet5201
    @wycliffepoet5201 ปีที่แล้ว

    Leteni Akothe Sasa

  • @charlsemusina9698
    @charlsemusina9698 ปีที่แล้ว

    Mapema ndo best 👍👍Okwonko 💪💪

  • @hahaflavian785
    @hahaflavian785 ปีที่แล้ว +1

    Mwafrika na anapendaga story dark

    • @IkoNini
      @IkoNini  ปีที่แล้ว +3

      Dark experiences make us human. Surviving them inspires others

  • @delightmoverskenya7344
    @delightmoverskenya7344 ปีที่แล้ว +1

    Leo nafeel nikama mwaf umeuliza Mejja maswali too personal na hafeel kuzijibu.. unafanya hadi mtu anafeel uncomfortable kuskiza juu nininfo anapeana tu out of respect sio kutaka🤦.I hope part 2 ni brighter.big up

    • @IkoNini
      @IkoNini  ปีที่แล้ว +1

      He did not say that after the interview so it is your personal opinion 😁😁

    • @deemb5284
      @deemb5284 ปีที่แล้ว +1

      Transparency is iko nini

  • @counselorkiarie1926
    @counselorkiarie1926 ปีที่แล้ว

    Alcoholism is a serious mental illness. We need an extensive awareness on it.

  • @kankugeorge1518
    @kankugeorge1518 ปีที่แล้ว

    hizi show mmeleta back to back ni 🔥🔥🔥🔥🥃...to more educative shows💪🏾

  • @Toeneezz
    @Toeneezz ปีที่แล้ว

    Finaaaaaallly mwaf......okwonko iko nene!!!!!big up💪💪💪

  • @Elizabeth111t3
    @Elizabeth111t3 ปีที่แล้ว

    Iko nini mumetuamulia🔥🔥🔥

  • @noxiousmashairi
    @noxiousmashairi ปีที่แล้ว

    Here we go again..

  • @fredrickopiyo3390
    @fredrickopiyo3390 ปีที่แล้ว

    Mejja, let kids be kids... Watcha wapigwe na vuaa

  • @bakaribakari_
    @bakaribakari_ ปีที่แล้ว

    Mejja pokea maua yako buda, wewe ni Legend.

  • @billgraham4209
    @billgraham4209 ปีที่แล้ว +1

    Different perspective on life issues great interview

  • @chrisonyimbo4623
    @chrisonyimbo4623 ปีที่แล้ว

    Damn!! Brooklyn Masala...I had forgotten this Jam

  • @Safisharadatv
    @Safisharadatv ปีที่แล้ว +1

    Mejja ni Mejor

  • @paulkieru7461
    @paulkieru7461 ปีที่แล้ว +1

    Iko nini! Dope stuff na Mejja okwonkwo

  • @gacoyakori
    @gacoyakori ปีที่แล้ว +2

    Solid Interview! #GoodStuff

    • @tfl4963
      @tfl4963 ปีที่แล้ว

      💯.

  • @CalebKimani
    @CalebKimani ปีที่แล้ว

    Kazi safi

  • @davidk2136
    @davidk2136 ปีที่แล้ว +4

    okwonko is one of the sharpest people i know

    • @g.o.tgangoftales136
      @g.o.tgangoftales136 ปีที่แล้ว

      Now this is true
      And kibe

    • @tfl4963
      @tfl4963 ปีที่แล้ว

      O yes and very wise naturally. He doesn't fake it.

  • @Africa054
    @Africa054 ปีที่แล้ว

    Iko nini

  • @franksamuel7940
    @franksamuel7940 ปีที่แล้ว

    Hii channel n addictive walai 😂

  • @KINGGEORGE007
    @KINGGEORGE007 ปีที่แล้ว +1

    Okonkwo baba yao🔥

  • @princejoelkenya7902
    @princejoelkenya7902 ปีที่แล้ว

    To reactivate your NHIF card after defaulting costs Ksh 1500

  • @ev.denniskim1226
    @ev.denniskim1226 ปีที่แล้ว

    Very touching

  • @samsonmwangi4184
    @samsonmwangi4184 ปีที่แล้ว

    Big up true

  • @fredrickopiyo3390
    @fredrickopiyo3390 ปีที่แล้ว +1

    Okonkwo, do not give up your small responsibilities to the lady your dating. Chunga manipulative chicks...?

  • @vincentochieng4096
    @vincentochieng4096 ปีที่แล้ว +1

    You guys are amazing. U bring shows that are relevant. Thumps up!!!

  • @Abuizme
    @Abuizme ปีที่แล้ว +1

    Iko nini 💯🔥

  • @doctrine_ridge_Ke
    @doctrine_ridge_Ke ปีที่แล้ว

    jaba and big G leads will mess up your appendix.

  • @blakhippieke3798
    @blakhippieke3798 ปีที่แล้ว +2

    Kanairo dating ogopa😂😂💯

  • @angoteanubi6110
    @angoteanubi6110 ปีที่แล้ว

    Interesting conversation hapa 🔥

  • @blackhibiscus1876
    @blackhibiscus1876 ปีที่แล้ว

    Part 2

  • @cymohjemedari
    @cymohjemedari ปีที่แล้ว

    Iko nini,, mbona mejja hamalizi drink,😂

  • @isaacdisan4903
    @isaacdisan4903 ปีที่แล้ว

    Iko Nini!

  • @DjFinestWorldWide
    @DjFinestWorldWide ปีที่แล้ว +1

    Mejja was a bit emotional when talking about her mum

    • @laurainyangara4472
      @laurainyangara4472 ปีที่แล้ว

      I realize the same and lam like mwaf si aachane maye juu energy yake inaisha

  • @anchorrealestateltd8278
    @anchorrealestateltd8278 ปีที่แล้ว +2

    king king meja . real OG

  • @Back2Basics254
    @Back2Basics254 ปีที่แล้ว

    iende sana

  • @jsph3209
    @jsph3209 ปีที่แล้ว +3

    A lot of lessons learnt from this podcast:
    1. Health .Importance of early detection of diseases as well as competence of health workers
    2. Family is everything
    3. Positive vibes in life
    4. Relationship red flags should never be ignored

  • @luisotieno6438
    @luisotieno6438 ปีที่แล้ว

    I've really laughed ,,