DR SULLE NA MASHEIKH SASA//WENGINE MIZIGO//HAWATUFAI KABISA.....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 10 วันที่ผ่านมา +1

    Allahumma amiin 🤲 thumma amiin 🤲 Yarrab 🤲 atatukutanisha ln shaa Allah kheir

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 10 วันที่ผ่านมา +1

    As-salam Alaykum warahmatullah wabarakat vipenz vya Allah

  • @rajabukutalu5351
    @rajabukutalu5351 10 วันที่ผ่านมา

    dr sulle , pole na majukum yako ya kila siku ninakuomba ukipata nafasi tutembelee nasisi watu wa manyara wiliya simanjiro

  • @Zulkamhaji
    @Zulkamhaji 10 วันที่ผ่านมา +1

    Asant

  • @mosesmutharimi5837
    @mosesmutharimi5837 3 วันที่ผ่านมา

    Utapeli hapa

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 10 วันที่ผ่านมา +2

    sisi waisalamu tunayo mafunzo kwa Mtume Muhammad swala Allahu aleyhi wasalam yani duwa ni baina ya mja na Mola wake uache kutumia Uislamu kwa kuwatumia wasio elewewa kwani mmeanza kuwa kama wakina matapeli kiboko ya wachawi na mwamposa. Al Islam huwa Sunna wasunna hiya L Islam

    • @NISRICHUMA
      @NISRICHUMA 9 วันที่ผ่านมา

      Acha ujuaji bhna Kwan lazma useme

    • @NISRICHUMA
      @NISRICHUMA 9 วันที่ผ่านมา

      Watu wanashida na wanashindwa kufika mahala pakusemea unaweza sema si Amuombe mungu wake ila jua kuwa watu wanaomba ila hawajui nn waombe so unapopata mtu wa kukupa maana ya kujua nn upambanie Kama uyu ndio anafungua ubongo wako kwahyo Kaka p u nguza ujuaji Kuna watu tunajifunza hapa

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 9 วันที่ผ่านมา

    Imam wa wasomi wa dua kaisha patikana bado masihi dajali kuja

  • @sharrifidris3422
    @sharrifidris3422 10 วันที่ผ่านมา

    Subhaanallaah,vituo vya Dua kwani Wana Dua special wameteremshiwa wao? Wengefungua vituo vya kuwafudisha waliosilimu sio dua.hawa wagongaji tu.dua jiombee mwenyewe muislamu

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 9 วันที่ผ่านมา

      Wamefanya miadhara miaka na miaka hawana hata chuo cha kufundisha vijana badala yake wamegawanyika kila mmoja na dawa zake