COY MZUNGU:DIAMOND/ INAWEZEKANA NI KWELI NILIWAPIGA MPUNGA/WALIANZA KUNITAFUTA MMOJA MMOJA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2021
- 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
You are talking true bro I am with you Wasafi fm 📻 4life I love you guys 🇹🇿🇹🇿 wapi like zetu za Wasafi fm 📻
th-cam.com/video/iVT603q5DPA/w-d-xo.html
Nimevutiwa na interview yahuyu brother! Hi is very smart in brain!! Inabid nifatilie kaz zake
Kama unamkubali Coy kwakipind cha CHEKA TU gonga like
Coy aiseee Man..ur so smart bro ...u got the next level mindset
Levels za kujiamini nimezielewa💪💪 ni kipawa sio kitu unaeza fundishwa popote. He got balls
Kabisaa
Koy is a great man, with great vision I love that ❤️❤️
Makonda ni Former RC yani Regional Commissioner ( Mkuu wa Mkoa)
Siyo Former DC yani District Commissioner ( Mkuu wa Wilaya)
Duuh huyo jamaa anaongea mmh
Jamaa yupo sahihi kabisaaa
COYO WW NI MASTER
Nimekurewa sana
Thanks & praises
Akili mingi Coyo
Coy master all along from St. Lawrence from Ug
th-cam.com/video/iVT603q5DPA/w-d-xo.html
Ndugu zangu waTanzania mshikeni mkono Coy Mzungu. He is your next Churchill wa Kenya. Ona vile Kenya tuko no.1 Africa kwa comedy! Shikeni Coy mkono atawapeleka mbali
True brother
Mchz Yuko pwa saana kwnye kujieleza big up💪💪💪💪
Nimekufatilia toka first time MPAKA LEO NAKUBALI TAENDELEA KUKUBALI BROTHER COY KUNDANBWOI FROM CAPE TOWN 🇿🇦🇹🇿
Mpaka na comedians wana mambo yakibongo fleva
Hamna wale madogo ni Tamaa tu kama ukiwasikiliza interview zao utaona ni Tamaa tu...na kutaka umaaruf wa haraka
Coy mzungu hatariiii Sana
Smart brain
EX RC NOT DC...OL IN OL U AR SO SMART
I like it
HIVI UNAWEZAJE KUTENGENEZA PLATFORM NA WENZIO UNAINGIA MIKATABA WW UNASAHAU WENZIO WAKIONDOKA UNAWAPONDA
Coy mbn km anakariri phrase kila interview n maswali ni yale yale hapotezi neno hata 1
The Jol master kasema hajawafata mlimfata nyie kumuomba kweny ile shoo😅😅 tuwaelewaje afu joly alikuwa Tambaza sasa mwanza kulikuwa na Tambaza au😂
Nouma sanaaaaa
th-cam.com/video/iVT603q5DPA/w-d-xo.html
Achana nao vipaji ni vingi
Nenda kaangalie Interview Clouds then upime muuzani afu utulie
Ommy anasisitiza ex-RC yule, siyo ex-DC.
😁😁😁😁😁😁
Kizazi
Hakuna atakayerudi kama unafanya interview kama hii kwenye Media. Ungetulia tu lazima wangerudi ila hivi kuongea kwenye Media uonekane mtu mwenye hekima na busara ni bure kabisa. Unatafuta public sympathy kwa kuharibu images za watu. Cheka tu Kupata Airtime Wasafi isikupe mushkeli.
@Hot Media Hujasikia baadhi ya vitu ambavyo ameongea mfano walivyoenda kwa RC
@@Greysonthis you are very right friend !
COY , alianza pese yake, WALE WATUBBAKI WALITAKIWA KUWA NA HEKIMA YAKUSULUHISHWA... BINADAMU HUKOSEA... NA HUREKEBIKA...
Siyo lazima warudi
Safi sana
Nakubal
th-cam.com/video/iVT603q5DPA/w-d-xo.html
Sina neno mana n siri ya kambi tupo nje kwel n ndani
nyimbo yang inaenda kwa jina la "JEURI"nimemshirikisha Phd hemed n support yenu watanzani kwa kuiangalia
👇👇👇👇👇👇👇👇
th-cam.com/video/KS8cwmQKueQ/w-d-xo.html
X-Rc Not Dc Au Tangu Alipokua Kinondoni Alipokua Dc...!!
ILA PIGA UA WALE NI WATOTO WA CHEKA TU... NA CHEKA TU ITABAKI KUWA ICON IMARA.
X DC ndo nn yan?
Nalo hili liwe funzo kwa mababa ambao hawaangalii watoto wao 😭.
Wangapi tuko hapa baada ya interview ya watubaki jana cloudsfm😁😁
Dah kwenye maisha bhn utakutana na binadamu wakila aina wakuchelewesha na kuzuiya haki . haki ya MTU utaichelewesha ila hauwezi kuizuiya kamwe😂😂
Unamleta
th-cam.com/video/iVT603q5DPA/w-d-xo.html
Vijana wengi ni wapumbavu wanataka kufanikiwa kirahisi, hawataki kutumika kwenyekazi, tafuta watu wako siriaz na kazi
Brother tafta interview ya upande wa pili ndo utapima ukwel
Haya mambo bwana dah,,,ukitafta interview ya upande wa pili y watu Baki ndo utaelewa haya yote
Hahahaha kweli... Na wao wanapoints za kutosha
X-RC not DC
Point tupu
RC DSM/sio DC
Hata hvo aliwahi kuwa DC wa Kinondoni😂😂😂😂. Ila Coy alitaka kumaanisha Ex RC Kama ulivosema
Kajamaa kashamba Sana haka, kanataka kuwaonyesha wenzake wabaya
Halafu wale hawana nia mbaya walivyosema
Ongea kiswahili achana na DC wala rc Sena mkuu wa w au mkuu wa mkoa
Farao kma Farao 😁
Ni RC sio DC
Ina maana Coy ajui maana ya DC na RC....!
Nashukuru umenisaidia,yaan jamaa anarekebishwa ila haelewi
Kama umenuelewa coy kua anawachonganisha washikaji na makonda ngola like apa🤣🤣
Milioni 700 ni approximately dollar 340000 kwa tafiti zako bro Kevin hart asafiri mpaka Kuja bongo kwa dollar laki Tatu na arobaini you can't be serious kabisa.... He is making millions of dollars per one stand up comedy show
Still Kevin Hart kwa content zake bongo wengii itakua wrong audience.
@@worldtv9145 Atajikuta hamna mtu anacheka😂😂😂
@@worldtv9145 Hakuna kisichowezwkana kwny kwanini maono yako
Broooo unaongea sana kifupi too Broo mwenye mpini awezi porwa kisu ata siku moja so pambana wale vburi wote wapeazabu na mikataba ili kesho wakiondoka basi wailipe kapun maana tunaenda kwenye mfumo Wa kampun so tunaita kukuza biashara yetu
Inawezekana kabisaaaa. Japo sio rahisi
th-cam.com/video/Nfv7u9AT0nQ/w-d-xo.html
Karibu kutazama wimbo wa CHIDDYMENTARY #KIBUTI
HOPE UTAFRAHIA
USISAHAU *KU SUBSCRIBE*
*KU COMMENT*
*NA KUSHARE*
Jamaa muongo huyu mbona wapo wanapiga kaz kivyao
huyu jamaa mwenyewe ni genious ,sasa huyo genious wake atakuaje ?
Yaani wee acha tu
Coy communication skills ni F kabisa it's fact
Brother unaongopa sana mbaka una boa
ila kwnn wakija apo wasafi wanalazimishwa kumtaja diamond
Natamani kujua wanalazimishwa kivipi?
Wanalazimishwa vipi? Ivi kweny sanaa ya hapa Tz utamkwepa vip mond
Wew ndo unaona hivo huna akili wew
*Ni rahisi sana **_kutazama_** WhatsApp Inbox ya mpenzi wako*
👇👇👇
th-cam.com/video/W91G5KO3uPw/w-d-xo.html
Hatutaki kuharbu ndoa
Support yenu wadau kwngu link
th-cam.com/video/XUVR261lcZY/w-d-xo.html
Coy anashindwa kutofautisha kati ya dc na rpc
DC & RC
Makonda pia ashawahi kuwa DC kabla hajawa RC japo coy Hilo hakulifahamu.
Kassim Mganga Harusi yangu Video th-cam.com/video/2OWk5SYOszk/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Nfv7u9AT0nQ/w-d-xo.html
Karibu kutazama wimbo wa CHIDDYMENTARY #KIBUTI
HOPE UTAFRAHIA
USISAHAU *KU SUBSCRIBE*
*KU COMMENT*
*NA KUSHARE*
Ongea kiswahili achana na DC wala rc Sena mkuu wa w au mkuu wa mkoa
Kassim Mganga Harusi yangu Video th-cam.com/video/2OWk5SYOszk/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Nfv7u9AT0nQ/w-d-xo.html
Karibu kutazama wimbo wa CHIDDYMENTARY #KIBUTI
HOPE UTAFRAHIA
USISAHAU *KU SUBSCRIBE*
*KU COMMENT*
*NA KUSHARE*