ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

RECAP: ALIKIBA MEDIA SIO YAKE?? kuwachomoa WATANGAZAJI HAWA WAKUBWA?? USO KWA USO PLATNIMZ MAJIZZO,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 มี.ค. 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny

ความคิดเห็น • 77

  • @neemaneykisanga
    @neemaneykisanga 5 หลายเดือนก่อน +8

    Kikubwa kiba hua anatoa,kichwa cha,habari nyinyi sasa msio penda anawaachia,mfupa,mpambane nao mpaka,uwashindi ndio anakuja kuutolea majibu maana,watu roho inawafukunyua sana hasa jumalokole imemuuma mpaka anakaribia kufa

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 5 หลายเดือนก่อน +7

    Kweli King afungue Radio bila kujipang? Mbona unavuka mipaka like unamjua saana Kiba? Unadhani kiba hajui tofauti ya biashara ya Radio na kuwa msanii? Or unadhani yote hayoo hayajui?

  • @edwinnyataya3223
    @edwinnyataya3223 5 หลายเดือนก่อน +6

    Duh unyama vile

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 5 หลายเดือนก่อน +6

    Unaongea sanaaaa bro shop za nguo huwa nyingi ila kila mtu na riski yake

  • @user-qq2vn4pk7z
    @user-qq2vn4pk7z 5 หลายเดือนก่อน +6

    Safi Sana..

  • @gervashinestz7740
    @gervashinestz7740 5 หลายเดือนก่อน +4

    Much respect to you brother coz u know what going on in the media

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 5 หลายเดือนก่อน +4

    Watanzania tuna roho mbaya sana,kwanini tunapenda kubedha kitu cha mtu,maana kila mtu akifanya kitu sio chake ,kwani shida ni nini

  • @user-hf9fc7dr5l
    @user-hf9fc7dr5l 5 หลายเดือนก่อน +5

    Watsnxania kwel nyinyi ndo mnarudosha

  • @Javas-xp9kl
    @Javas-xp9kl 5 หลายเดือนก่อน +11

    Napendaga sana kumfuatilia uyu jamaa 🙏🙏🙏🔥

    • @user-oe5ze5uq8m
      @user-oe5ze5uq8m 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ata mimi el mando ni king

  • @edwinnyataya3223
    @edwinnyataya3223 5 หลายเดือนก่อน +5

    Duh 😅😅😅😅😅 nakupenda 🥂 tu Bure

  • @sulleymernmannarah7930
    @sulleymernmannarah7930 5 หลายเดือนก่อน +4

    Naachkue Jamal April 😂😂

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mapema sanaaaa kaka atajitahidi

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 5 หลายเดือนก่อน +5

    Inshaa Allah itakuwa kubwa

  • @user-cg9df5nt1f
    @user-cg9df5nt1f 5 หลายเดือนก่อน +5

    Nawasubiliiiiiiiiiiiiiiiii

  • @skyscapeinternational9658
    @skyscapeinternational9658 5 หลายเดือนก่อน +2

    umeongea point sana mbaka nimesubscrib mwenyew hongera kwa uchambuzi mzurii

  • @user-km4om6bw1j
    @user-km4om6bw1j 5 หลายเดือนก่อน +4

    Ka lale bro

  • @vom84
    @vom84 5 หลายเดือนก่อน +6

    KINGS FM ipo Njombe sio Iringa

  • @user-hc1ln1ny3c
    @user-hc1ln1ny3c หลายเดือนก่อน

    king uko vizuri ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @araphatkabafu7586
    @araphatkabafu7586 5 หลายเดือนก่อน

    Bro you the best. ..............king of Mikey

  • @malitozzy3538
    @malitozzy3538 5 หลายเดือนก่อน +4

    Kingis ipo njombe town

  • @deogerald7828
    @deogerald7828 5 หลายเดือนก่อน +4

    kifalme zaidi

  • @user-vv9wb9he2x
    @user-vv9wb9he2x 5 หลายเดือนก่อน +3

    Don't judge something that is not you'r level

  • @kiatu
    @kiatu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ukishakuwa na mtaji wa kutosha na kutaka kufanya project usisahau kuwa na strategy (vision, mission na core values) itakayo guide action plans. Mafanikio yanayotokana na approach hiyo huwa ni sustainable. Na haya hayawezi kufanywa na mtu ambaye hajasoma. Nakubaliana na ushauri wako kwa King. Tunaona kampuni nyingi zinaanguka baada ya mafanikio ya miaka kadhaa hiyo siyo accident, huwa ni slow death.

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 5 หลายเดือนก่อน +5

    Ayo yote unayo sema sio kitu tunachunga kuona gisi kazi itakwenda n'a wafanyakazi kupokea mshahara mzuri bilashida

    • @chizashungu8364
      @chizashungu8364 5 หลายเดือนก่อน +1

      Unajua hii nchi watu wanapenda ushabiki sana.Hivi WASAFI ilivyoanzishwa kulikuwa hakuna Radio zingine? Kufika hapo WASAFI ilipo siyo porojo porojo ni kazi kubwa imefanyika.Hiyo Crown ije itakutana na changamoto na Radio zipo nyingi ikiwemo WASAFI hapa Tanzania.Kuishusha Wasafi haitawezekana hata amuajiri nani..... Wamapandikizwa watu kumshusha Diamond Platnumz imeshindikana......Ali kiba yeye ajiandae kulipa mishahara na ,kulipa kodi.Hapa East Africa mwanamuziki bora ni Diamond Platnumz,, label ya music bora ni WASAFI ,Media Bora ni WASAFI MEDIA.DIAMOND PLATNUMZ ni shule kwa wasanii wa East Africa.

    • @officialsbjovea5822
      @officialsbjovea5822 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@chizashungu8364shule kwenye familia yenu sio kwa fans wa kiba alafu Mungu ndo hua anashusha na;kupandisha

  • @901Tomotomo
    @901Tomotomo 5 หลายเดือนก่อน +3

    🎉

  • @yahomeshopllc5950
    @yahomeshopllc5950 5 หลายเดือนก่อน +6

    TEAM MR PIMBI TUJUANE HAPA 😂

  • @InessKoku
    @InessKoku 5 หลายเดือนก่อน

    Mbwa wew

  • @Mbaley
    @Mbaley 5 หลายเดือนก่อน

    Una fact kaka

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kiba hawezi!! Alafu media sio ya kina jamani

  • @rabbik5668
    @rabbik5668 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe inabidi uingie crown TV
    Una faaa kabisa respect
    Wewe unaendana naukweli

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mtangazaji una nini cha mfano ambacho kinakufanya uwashauri wengine?

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 5 หลายเดือนก่อน

    Ww ndio ujui

  • @user-td4le3xf7h
    @user-td4le3xf7h 5 หลายเดือนก่อน

    Da wewe jama tatizo sana kampuni ngapi wanamiliki kampuni wenyewe bilakushilikiana nawatu nampaka leo zipo acha kuwa tatizo kwenye maisha yawatu wepongeza

  • @habibaali5526
    @habibaali5526 5 หลายเดือนก่อน

    Wivu 2, fanyeni bidii muendelee kama mnao waongelea

  • @sakaraboy8951
    @sakaraboy8951 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu MWANDISHI kikanuni hautakiw kutoa Habar kwa kuhisi..... Chombo chochote Cha habar kinatakiwa kitoe habar kwa evidence 🧾.

  • @user-gg4lz1rm9l
    @user-gg4lz1rm9l 5 หลายเดือนก่อน

    Subutu,Kaka inategemea Kuna vitu ukiwa mwenyewe vinafanikiwa Sana,lakin ukiwa Zaid ya mmoja hamfiki,inategemea mko vip

  • @issashabanihusseniwewe9024
    @issashabanihusseniwewe9024 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani ali kiba ndio biashara yake yakwanza? Kaka mbona kama unamfundisha maisha mtu alie kupita kimaisha wewe mwenyewe huna hata kwako umepanga yani utasema ali ndio mtanzania wakawanza kufungwa redio mbona hamuongei redio zipo nyingi tu

  • @InessKoku
    @InessKoku 5 หลายเดือนก่อน

    Mbn hio crown inawachoma sana sna

  • @AkidaNzambah
    @AkidaNzambah 5 หลายเดือนก่อน +1

    SIO YAKE,, YAKO??

  • @lymotz4982
    @lymotz4982 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania ndio nchi pekee maskini anamshauri tajiri

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 5 หลายเดือนก่อน

    mbona uongei kama mtangazaji bali unaongea kama meneja wake au chawa wake em kuwa mwanaume basi mashoga ni wengi sana mjini sasa hiv

  • @AgripaMwangobola-il3bz
    @AgripaMwangobola-il3bz 5 หลายเดือนก่อน

    Ila ww ndo mjinga akuna buashara isiyo kuwa na share mbn unakuwa mjinga na media Yako ebu tuulize sisi tulio Anza kufanya buashara sasa sikiliza crown anavaa mflme au mtoto wa mfalme sasa crown ni kaz ya mtu

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona TBC na AZAM TV zipo na hazina hayo matashititi unayoyasema?

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 5 หลายเดือนก่อน

    Bila shaka atakuwa kashakuerewa kaka usinene kumala

  • @user-rt7rl6ki1r
    @user-rt7rl6ki1r 5 หลายเดือนก่อน +1

    yaani sikuerewi kama vipi nenda wewe basi unakuwa kama demu bana au unagongwa

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 5 หลายเดือนก่อน

    Ndo siku zote huwa nasema mbongo usimzoee yuko kama mbwa ukicheza nae atakufuata mpk msikitin,Sasa wewe kama sio yake au yake itskusaudia nini?achen kuwashauri watu, Wewe Nani alikushsuri?

  • @meshackmwalongo9798
    @meshackmwalongo9798 5 หลายเดือนก่อน +2

    Redio kings haipo Iringa ipo Njombe mjini ndugu mtangazaji.

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 5 หลายเดือนก่อน

      Sawa njombe ni wilaya ya iringa si ndio, ok tufanye sio ila zone ni hiyohiyo tu.

    • @meshackmwalongo9798
      @meshackmwalongo9798 5 หลายเดือนก่อน

      @@nassercurtis9579 Njombe siyo wila kwasasa nimkowa tangu 2016 ila mwanzo ilikuwa ndani yakowa Iringa.

    • @elibarikieden
      @elibarikieden 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@nassercurtis9579 njombe sio wilaya mkuu

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 5 หลายเดือนก่อน

    Umesomea wapi kuwa lazima muwe wawili kimawazo , uongo k

  • @BronsoTz
    @BronsoTz 5 หลายเดือนก่อน

    Kiba ni m2 hajakulupulaka kufungiwa mide 📺 kwamanaiyo atakuwa kajipanga wew endelea na ushaku naku ndozen hozo !!

  • @mo-zillahcarsm760
    @mo-zillahcarsm760 5 หลายเดือนก่อน +1

    Au yakwako bro,,unamfundisha biashara?we una nini?

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 5 หลายเดือนก่อน

    Wakati alikuwa akijipanga kuanzisha wewe ulikuwepo? Hovyo kabisa😊

  • @user-hs9ol1xc9f
    @user-hs9ol1xc9f 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona kama anajiweka sokoni mwamba

  • @user-km4om6bw1j
    @user-km4om6bw1j 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ume amiya kwenye media bro

  • @advinofficial6570
    @advinofficial6570 5 หลายเดือนก่อน

    Media player Salim kikeke

  • @arafajabir3194
    @arafajabir3194 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe wivu unakusumbua fungua ma wewe yako uache kuajiriwa huko uliko

  • @irenechacha2329
    @irenechacha2329 5 หลายเดือนก่อน

    Mbwa

  • @issashabanihusseniwewe9024
    @issashabanihusseniwewe9024 5 หลายเดือนก่อน +17

    Babu nyinyi ndio zenu kushauri watu wanapo fanya vitu vyao mbona wewe huyo ali kiba hajakushauri wakati unataka kwenda hapo bongo 5 acha ufala haya maisha sio yakushauriana bob kila mtu anafanya vitu vyake pale mda unapo fika ushauri wa nini kwani wewe ndie ulie mshauri kafunguwa redio acheni ufala huu sio wakati wakushauriana shauriana

    • @ivyishakaeltonjohn7370
      @ivyishakaeltonjohn7370 5 หลายเดือนก่อน +2

      Jinga kubwa

    • @museojohn3879
      @museojohn3879 5 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa uyu ni mtu wa kumshauri alikiba

    • @criminalminds7723
      @criminalminds7723 5 หลายเดือนก่อน +3

      Bro tafta hela hasira hua ni za maskini Tu,matajiri hua hua wanavuta ciger

    • @georgenzai1355
      @georgenzai1355 5 หลายเดือนก่อน +3

      Bongo 5 nimatako kama Matako menginee

    • @Goshenmichaell
      @Goshenmichaell 5 หลายเดือนก่อน +1

      Uyu jamaa sijawai kumuelewa kabisa