Mh Lema Mungu wa mbingu na nchi atakulinda na mabaya yote,atakulinda nafsi yako,atakulinda utokapo na uongiapo ktk jina la YESU kristo. bwana Lema kumbuka simba na dubu walipotaka kukuangamiza kwani wako wapi?vivyo hivyo wanaotaka kukuangamiza kwa sababu tu ya mtazamo wako tofauti na wao,MUNGU aliyekuokoa na simba na dubu yeye ni jana leo na hata milele atakuokoa na mkono wa hawa wafilisti katika jina la YESU kristo aliye hai.(Amina)
Pole sana br ... Na naamin Kwa kuwa Mungu ni Mungu bas atawatia fikra sahihi juu ya kimpendezaye Yeye
Poleni sana watanzania wote Niko DRC
Mh Lema Mungu wa mbingu na nchi atakulinda na mabaya yote,atakulinda nafsi yako,atakulinda utokapo na uongiapo ktk jina la YESU kristo. bwana Lema kumbuka simba na dubu walipotaka kukuangamiza kwani wako wapi?vivyo hivyo wanaotaka kukuangamiza kwa sababu tu ya mtazamo wako tofauti na wao,MUNGU aliyekuokoa na simba na dubu yeye ni jana leo na hata milele atakuokoa na mkono wa hawa wafilisti katika jina la YESU kristo aliye hai.(Amina)
Pole Sanaa 😭😭😭
Ingia kwenye maombi, funga, utaona matokeo, Mungu anaweza yote
ALLAH Kareem
Mama samia mitano tena 🎉🎉
Mmmm
Godbless Mungu atakupigania amesikia kilometres chako. Bado kitambo kidogo asema Bwana maadui zako wote hutawaona tena..
ALLAH lmajìd
Ee Mungu sikia watu wako wanavyo fanyiwa nyumbani kwao na mama wa kuja hii ndiyo hasara ya kuazima watawala
Uyu mama mshenze
ALLAH swamad
Tatizo wakristo wakitawala waislamu mnakuwa na fujo ivi nyinyi baada ya kumshukuru mama lakini mnajifanya welevu
Umeona
Daaa😂😂
Weunacheka nin Mambo yanayoendelea ktk nchi hii ni damu kunuka chini ya aridhi 😢😢😢Mungu yupo
@@deniccgabriel6153 da inauma
@@deniccgabriel6153 inaniuma sana
Waongo wakubw nyie mnajifany wanyonge kumb mna mamb yen mkikaa pamoja mumeonnnchi imetulia mnatk kiivuruga
Wewe ndio umetulia ungekuwa mtt wa kibao au wazazi wa soka ungeomba mungu alete amani na sio kubeza
Mpuuzi wew iv,ulishwah kufiww wew ? Una wazazi kweli
Hamu sarifiki nyie chadema kila mnavobebw hambebeki