MLIPUKO WAUWA 11 KIWANDANI MOROGORO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 พ.ค. 2024
  • Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa kilichopo wilayani Mvomero,Mkoani Morogoro Nchini Tanzania.
    Tukio hilo linaloendelea kuchunguzwa limetokea wilayani humo, takriban kilomita 370 (maili 230) magharibi mwa jiji kuu la kibiashara la Dar es Salaam.#mtibwasuger#morogoro#
  • ตลก

ความคิดเห็น •