JINSI YA KUCOPY TANGAZO, KUPOST FB, NA KUCOMMENT KWENYE PAGE MAARUFU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Published on 20 October 2021
    By Richard Chitumbi
    Ili upate Matokeo Mazuri hakikisha Unapambana kupost matangazo Asubuhi mchana na jioni , walau Asubuhi matangazo Matatu , mchana matangazo Matatu na jioni matangazo Matatu. kwa kila post au Tangazo hakikisha unashare kwenye magroup 15 Hadi 20, usizidishe hapo utafungiwa. Omba magroup mengi ili uwe na wigo mpana wa kupost matangazo na kuwafikia watu Wengi.
    Ukishamaliza Kushare kwenye magroup , hakikisha unapaste matangazo yako kwenye Comments za page maarufu ,page za media au wasanii Wakubwa wenye followers Wengi, kwa Facebook na Instagram. Kwenye KUCOMMENT Hakikisha kila post unacomment Mara tano, Kisha acha kopy Tangazo lingine Comment Mara tano, Kisha acha kopy Tangazo lingine Comment Mara tano hivyo hivyo.
    Hii njia itakusaidia kupata wateja wa mwanzo ambao watakupa experience namna ya kuongea na mteja na kuanza kufanya Mauzo taratibu ili kupandisha MTAJI WAKO. Hivyo lazima Ufanye kwa nidhamu kubwa Sana bila kukumbushwa na mtu, Jenga tabia ya Kupambania Lengo kupitia utaratibu huu uliofundishwa. Usichoke kupost matangazo hata Kama hauoni Matokeo kwa haraka , vuta subira.
    Baada ya kupata wateja kupitia njia hii, utaanza kufundishwa namna ya kulipia matangazo Facebook kwa gharama ndogo na kukuwezesha kuwafikia wateja Wengi. Yaani KUBOOST matangazo Facebook. Kama utakua na Mtaji kuanzia Laki Moja mwambie kiongoz wako akufundishe jinsi ya kuboost Matangazo Facebook ili upate wateja Wengi kwa haraka pasipo usumbufu wa Kushare kwenye magroup. Yaani unawalipa Facebook Alafu wao fb wenyewe wanakutangazia wanakuletea watu ambao ukiwaelimisha wanakua wateja (leads).
    Kama Umeamua Kufanya Biashara kuwa siriasi na Mafunzo unayopewa usipoteze muda wako Wala usimpotezee Muda Mentor wako anayekuongoza.
    KUMBUKA: Biashara Ni Mchakato, pambana.
    By Richard Chitumbi
    Professional

ความคิดเห็น • 4