Chitumbix Digital
Chitumbix Digital
  • 31
  • 38 942

วีดีโอ

JINSI YA KUBADILISHA WATU WA KAWAIDA, KUWA WATEJA WAKO WA UHAKIKA By Richard Chitumbi
มุมมอง 294 หลายเดือนก่อน
Published on 23rd APRIL 2024 By Richard Chitumbi Watu wengi wanaogopa kujihusisha na biashara kwa kuhofia kukosa WATEJA wa uhakika na kupoteza hela za mtaji. Lakini kupitia Darasa hili utaweza Kujifunza mambo ya msingi unayopaswa kuyazingatia ili uweze kujitengenezea WATEJA wa uhakika wanaojirudia mara kwa Mara. Usisahau kulike, kucomment na Kushare kwa watu wengine. Kama bado haujanifollow Ins...
JIFUNZE NAMNA YA KUJITENGENEZEA NAFASI KWENYE ULIMWENGU ILI UKUE KIBIASHARA By Richard Chitumbi
มุมมอง 324 หลายเดือนก่อน
Published on 23rd APRIL 2024 By Richard Chitumbi "Ulimwengu una tabia ya kumtengenezea mtu nafasi mtu ambaye maneno yake na matendo yanaonyesha ana fahamu anapoelekea.” Naamini Darasa hili ukilipitia vizuri utaelewa kwa ufanisi zaidi. Usisahau kulike , kucomment na kushare kwa wengine Usisahau kunifollow Instagram 👉chitumbix_professional
ATHARI ZA KUCHELEWA KUFANYA MAAMUZI YA KUANZA BIASHARA By Richard Chitumbi
มุมมอง 294 หลายเดือนก่อน
Published on 22nd APRIL 2024 Ukisikikiza kwa umakini EPISODE hii naamini utajifunza vitu vingi vya msingi pia. Lakini utapata kuelewa kwa Nini unashauriwa kuanza BIASHARA wakati huu… Follow my Instagram account 👉chitumbix_professional KARIBU SANA KWENYE HILI DARASA HURU.
JINSI YA KUFANYA MAUZO MAZURI YA UHAKIKA KILA MWEZI BY Vivian Urassa
มุมมอง 526 หลายเดือนก่อน
Published on 22 FEBRUARY 2024 Sikiliza kwa umakini presentation hii itakusaidia kufanya MAUZO kila mwezi na kutengeneza customer base ya uhakika. Tengeneza wateja wanaonunua 5CC na zaidi kila mwezi kwa ujumla wao. Kushindwa kufanya 5CC ya mauzo ni kushindwa kuwa na customer base inayoeleweka.
UNAZIHITAJI NGUVU ZA AINA TATU ILI UWEZE KUFANIKIWA KWENYE BIASHARA By Richard Chitumbi
มุมมอง 957 หลายเดือนก่อน
Published on 3rd JANUARY 2024 Watu wengi wanatamani sana kufanya Biashara lakini moja ya vitu vinavyowarudisha nyuma ni kukosekana kwa hizi nguvu tatu ambazo utajifunza kwenye hii EPISODE 05. Vijana wengi wamejikuta wakianza biashara na kuacha, wanatafuta biashara nyingine wanaacha, yaani wamekuwa watu wa kutanga tanga kila siku pasipo kutulia na biashara moja. Hii ni kwa sababu ya kutokujua wa...
JINSI YA KUZITAMBUA AINA NNE ZA WATEJA NA NAMNA YA KUWAFANYA WANUNUE KWAKO; by Richard Chitumbi
มุมมอง 1507 หลายเดือนก่อน
Published on 02nd JANUARY 2024 Wafanyabiashara wengi wachanga wanakatishwa tamaa sana na aina mbalimbali za wateja. Usipozijua hizi aina 4 za wateja utaishia kulalamika biashara ngumu, utaishia kuona mtu aliyekupatia idea ya biashara husika kama amekuongopea juu ya soko la bidhaa husika. Mwisho utajikuta unaacha biashara bila kutarajia. Biashara inahitaji maarifa na bidii ya kufanyia kazi maari...
IJUE SIRI HII KABLA YA KUANZA BIASHARA By Richard Chitumbi
มุมมอง 1468 หลายเดือนก่อน
Kama umejifunza vitu kupitia video hii na unapenda nikusaidie upate Maarifa Zaidi endelea kufuatilia EPISODE ZOTE zinazofuata, pia nashauri upate usaidizi kwa namna Zifuatazo : Follow Account yangu ya INSTAGRAM unaweza kusearch username👉Richard Chitumbi au Chitumbix_professional , utaipata account hiyo hiyo moja. Pia unaweza kunicheck Whatsapp tuma ujumbe neno AHSANTE KWA EPISODE 03 Kwenda What...
TABIA 13 ZITAZOKUIMARISHA KIBIASHARA NA JINSI YA KUIKIMBIA COMFORT ZONE #business #foreverliving
มุมมอง 333ปีที่แล้ว
TABIA 13 ZITAZOKUIMARISHA KIBIASHARA NA JINSI YA KUIKIMBIA COMFORT ZONE #business #foreverliving
FAHAMU KUNDI ULILOPO NA AINA YA BIASHARA INAYOKUPATIA KIPATO ZAIDI YA KIMOJA.
มุมมอง 343ปีที่แล้ว
FAHAMU KUNDI ULILOPO NA AINA YA BIASHARA INAYOKUPATIA KIPATO ZAIDI YA KIMOJA.
JINSI Ninavyotengeneza kipato kila Mwezi kupitia Biashara hii, by JULIETH Mwanachuo #trend #biashara
มุมมอง 219ปีที่แล้ว
PUBLISHED on 12 January 2023 Kutana na testimony ya binti smart anayefahamika kwa jina la JULIETH KAPUNA , ambaye ni Mwanafunzi wa chuo cha M/Nyerere Memorial Kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Lakini pia anafanya biashara kwa muda wa ziada kupitia team ya vijana smart wa Mchakato Smart. Binti huyu alianza biashara kwa Lengo la kutengeneza kipato cha ziada akiwa Katika Masomo yake, Baada...
FURSA YA BIASHARA INAYOKUKUTANISHA NA MARAFIKI SMART NA KUENJOY PAMOJA KILA MWEZI. #14_on_trending
มุมมอง 64ปีที่แล้ว
Published on 01 November 2022 Hii ilikua HYATT REGENCY HOTEL, Jijini Dar es salaam, ambapo vijana wanaofanya biashara ya Forever Living walipata Nafasi ya kuenjoy pamoja ,wakiwa kwenye Fashion ya vazi la kizamani , theme ya miaka ya 1970s, huu ni ubunifu mzuri sana 👏🏻 FURSA za biashara zipo nyingi Sana lakini biashara hii ya Forever Living Ina utofauti mkubwa Sana. Katika Fursa hii licha ya kut...
JINSI YA KUJISAJIRI KUWA MEMBER WA FOREVER LIVING UKIWA MAREKANI
มุมมอง 74ปีที่แล้ว
PUBLISHED on 07th October 2022, By Recognized Manager Chitumbi from Tanzania. Hakikisha unajaza taarifa zako na Id number ya sponsor wako kwa usahihi. Karibu sana ufurahie manunuzi ya bidhaa za Forever kwa discount Kama member.
Tazama Jinsi vijana wafanyabiashara smart walivyotalii MIKUMI na Mlima Uluguru #Biashara #Forever
มุมมอง 792 ปีที่แล้ว
PUBLISHED on 06 August 2022 Hao vijana unaowaona ndani ya video hii, wamequlify motisha(incentive) ya kwenda kutalii mbuga ya MIKUMI na Milima ya Uluguru. Biashara hii inawatambua wafanyabiashara wote wanaofanya vizuri kila mwezi, hivyo kuna motisha mbalimbali hutolewa zikiwemo safari za ndani ya nchi na nje ya nchi. Ili kuqualify safari ya MIKUMI kulikua na kigezo cha kufanya 5CC kwa miezi miw...
SULUHISHO LA NGUVU ZA KIUME, Tuma ujumbe neno BEDROOM PACK kwenda whatsapp +255659446803 #kiume
มุมมอง 1882 ปีที่แล้ว
SULUHISHO LA NGUVU ZA KIUME, Tuma ujumbe neno BEDROOM PACK kwenda whatsapp 255659446803 #kiume
JINSI ya kufungua DISABLED account ya Facebook
มุมมอง 2.6K2 ปีที่แล้ว
JINSI ya kufungua DISABLED account ya Facebook
FAHAMU MAMBO AMBAYO GRADUATES wengi wanahitaji kuyajua Mapema. Insta REVIEW
มุมมอง 2172 ปีที่แล้ว
FAHAMU MAMBO AMBAYO GRADUATES wengi wanahitaji kuyajua Mapema. Insta REVIEW
VIJANA WAPAMBANAJI, WAFANYABIASHARA WANAVYO-ENJOY BATA LA ZANZIBAR. #Foreverliving #0659446803
มุมมอง 1972 ปีที่แล้ว
VIJANA WAPAMBANAJI, WAFANYABIASHARA WANAVYO-ENJOY BATA LA ZANZIBAR. #Foreverliving #0659446803
JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA BIASHARA INSTAGRAM, KUPOST NA KUONGEZA FOLLOWERS DAILY.
มุมมอง 4.4K2 ปีที่แล้ว
JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA BIASHARA INSTAGRAM, KUPOST NA KUONGEZA FOLLOWERS DAILY.
JINSI YA KUCOPY TANGAZO, KUPOST FB, NA KUCOMMENT KWENYE PAGE MAARUFU.
มุมมอง 1.4K2 ปีที่แล้ว
JINSI YA KUCOPY TANGAZO, KUPOST FB, NA KUCOMMENT KWENYE PAGE MAARUFU.
PART 02 : JINSI YA KUJENGA BIASHARA KUBWA ONLINE, By Richard Chitumbi
มุมมอง 2913 ปีที่แล้ว
PART 02 : JINSI YA KUJENGA BIASHARA KUBWA ONLINE, By Richard Chitumbi
PART 01: JINSI YA KUJENGA BIASHARA KUBWA ONLINE, By Richard Chitumbi
มุมมอง 5573 ปีที่แล้ว
PART 01: JINSI YA KUJENGA BIASHARA KUBWA ONLINE, By Richard Chitumbi
JINSI YA KU-DUPLICATE TANGAZO , AMBALO UNATAKA URUDIE KU-BOOST, KWENYE FACEBOOK ADS
มุมมอง 3443 ปีที่แล้ว
JINSI YA KU-DUPLICATE TANGAZO , AMBALO UNATAKA URUDIE KU-BOOST, KWENYE FACEBOOK ADS
JINSI YA KUCHUKUA POST, KWENYE PAGE ZA WENGINE INSTAGRAM NA KUPOST KWENYE PAGE YAKO.
มุมมอง 3.8K3 ปีที่แล้ว
JINSI YA KUCHUKUA POST, KWENYE PAGE ZA WENGINE INSTAGRAM NA KUPOST KWENYE PAGE YAKO.
TENGENEZA MAFANIKIO YAKO KUPITIA FURSA HII YA BIASHARA
มุมมอง 3.2K3 ปีที่แล้ว
TENGENEZA MAFANIKIO YAKO KUPITIA FURSA HII YA BIASHARA
TIPS: VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA ILI UFANYE MAUZO KWA WATEJA NA AINA ZA WATEJA WA MTANDAONI
มุมมอง 5463 ปีที่แล้ว
TIPS: VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA ILI UFANYE MAUZO KWA WATEJA NA AINA ZA WATEJA WA MTANDAONI
JINSI YA KUFANYA SIMPLE BOOSTING YA TANGAZO KWENYE FACEBOOK By Richard Chitumbi
มุมมอง 14K3 ปีที่แล้ว
JINSI YA KUFANYA SIMPLE BOOSTING YA TANGAZO KWENYE FACEBOOK By Richard Chitumbi
FAHAM JINSI YA KUFUNGUA PAGE YA BIASHARA, NA JINSI YA KUOMBA MAGROUP FACEBOOK
มุมมอง 4.8K3 ปีที่แล้ว
FAHAM JINSI YA KUFUNGUA PAGE YA BIASHARA, NA JINSI YA KUOMBA MAGROUP FACEBOOK
MANENO KUNTU KUTOKA KWA CHITUMBIX KIPENZI CHA VIJANA,
มุมมอง 1926 ปีที่แล้ว
MANENO KUNTU KUTOKA KWA CHITUMBIX KIPENZI CHA VIJANA,
Jifunze mambo muhimu ktk kufanikiwa hapa
มุมมอง 476 ปีที่แล้ว
Jifunze mambo muhimu ktk kufanikiwa hapa

ความคิดเห็น

  • @Angella-c2c
    @Angella-c2c 23 วันที่ผ่านมา

    Mm neboost tangazo ila silioninlikitembea

  • @BunyinyigaPaul
    @BunyinyigaPaul 25 วันที่ผ่านมา

    Kiongozi ninapeji nitepichagani kwenye pegi

  • @KautharyRahim-jc9pd
    @KautharyRahim-jc9pd หลายเดือนก่อน

    Me mbn inanikatalia boss

  • @nizarimohamedy9566
    @nizarimohamedy9566 2 หลายเดือนก่อน

    Habari boc

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona video haina sauti master

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 2 หลายเดือนก่อน

    Ah kaka unajua sana

  • @SharonOsward
    @SharonOsward 2 หลายเดือนก่อน

    Category mbona mimi inakataa

  • @rehemakaizilege2063
    @rehemakaizilege2063 4 หลายเดือนก่อน

    Hello naomba namba yako

  • @noelasonjoro6277
    @noelasonjoro6277 5 หลายเดือนก่อน

    Istagram unapatikana kwa jina gani

  • @noelasonjoro6277
    @noelasonjoro6277 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba zako

  • @user-uf3gl3hk5r
    @user-uf3gl3hk5r 6 หลายเดือนก่อน

    Niishafungua na kuomba nisaidie kinachofata

  • @youngvijo
    @youngvijo 6 หลายเดือนก่อน

    Me nataka kujitoa

  • @amanilwila1185
    @amanilwila1185 7 หลายเดือนก่อน

    Safi.. uko vizuri

  • @magrethedward4207
    @magrethedward4207 7 หลายเดือนก่อน

    Jinsi ya kusolve boost unavailable?

  • @neemadede3457
    @neemadede3457 7 หลายเดือนก่อน

    Tayar hatua ipi inafuata

  • @triphoniakawishe228
    @triphoniakawishe228 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba no yako pls

  • @user-rc7bm1fe5y
    @user-rc7bm1fe5y 7 หลายเดือนก่อน

    Asant sana kiongozi

  • @user-mr2rt1pe1d
    @user-mr2rt1pe1d 8 หลายเดือนก่อน

    hakika unasifa ya ujasiri acha nikupe maua yako kaka, na asante sana kwa elimu. Na pia nakuuliza hivi instagram watakuchaji pesa kwakila unapo post❤

  • @josephherman8641
    @josephherman8641 8 หลายเดือนก่อน

    Thanks so much for good lesson

  • @blackshata7718
    @blackshata7718 8 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana bro mafaniikio nimeyaona

  • @user-uy5fx1nm4z
    @user-uy5fx1nm4z 9 หลายเดือนก่อน

    Okay asante mkuu kwa masomo mema na yenye kutujenga xx vijana

  • @ashyqueen9821
    @ashyqueen9821 9 หลายเดือนก่อน

    Nishafungua page je nawezaje kutuma tangaz lika pata watu wengi

  • @user-uy5fx1nm4z
    @user-uy5fx1nm4z 9 หลายเดือนก่อน

    Okay shukuran mkuu kwa mafundisho yenye kujenga

  • @user-dd5rx8io5v
    @user-dd5rx8io5v 9 หลายเดือนก่อน

    Ninawezaje kutuma matangazo ya biashara yangu mtandaoni help please

  • @FarhatAli-cn1ib
    @FarhatAli-cn1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Nishatengeneza page

  • @cosmasielias956
    @cosmasielias956 10 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉

  • @goodlucksimon6120
    @goodlucksimon6120 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka Ukiweka matangazo mengi kwenye pages kuna shida kama me nimeweka matangazo kibao nataka kuyatoa nifanyeje kaka

  • @CatherynepeterchifupaCat-wr4ht
    @CatherynepeterchifupaCat-wr4ht ปีที่แล้ว

    Tayali nimejiunga

  • @haidaritvonline6648
    @haidaritvonline6648 ปีที่แล้ว

    Shuklani Sana kiongoz

  • @IreneMhoja-nl3qo
    @IreneMhoja-nl3qo ปีที่แล้ว

    Asanteeee sana kwa elimu nzur kaka chitumbi lakini tunasubir Sana ile ya kufanya closing especially mm binafsi coz napata changamoto Sana kwenye closing either kwa wateja au kwa prospect

  • @farajamsigwa1304
    @farajamsigwa1304 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kwa elimu na mbinu ulizoshare nasi za kukuza biashara. kiukweli bila plan ya siku,wiki,mwezi, na mwaka hutajua kama kuna mahali unatakiwa upafanyie marekebisho utajiona kama uko sawa kwakuwa hakuna kinacho kuongoza kwa kukuonesha kuwa hapa siyo au hapa ndiyo, unafanya kwa mazoea na Huna CONSISTENCE ya kufatilia utendaji kazi wako kujua changamoto na namna ya kuzitatua.Comfort zone ndo inakwamisha ushindwe kusonga mbele hakika nimepata kitu❤

  • @Online_clinic1286
    @Online_clinic1286 ปีที่แล้ว

    ,✍️✍️✍️✍️

  • @uzazinamagonjwayote7069
    @uzazinamagonjwayote7069 ปีที่แล้ว

    Ninakuelewa sana mwalimu

  • @floramarco255
    @floramarco255 ปีที่แล้ว

    Asante sana Kiongozi 🙏

  • @asifa6622
    @asifa6622 ปีที่แล้ว

    Nimeshategeneza page

  • @uzazinamagonjwayote7069
    @uzazinamagonjwayote7069 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana mwalimu

  • @uzazinamagonjwayote7069
    @uzazinamagonjwayote7069 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @officialkhudhey6079
    @officialkhudhey6079 ปีที่แล้ว

    Habari kiongoz unapatika kwa whatsp number ipi??

  • @uzazinamagonjwayote7069
    @uzazinamagonjwayote7069 ปีที่แล้ว

    Safi sana mwalimu

  • @DianaAgustino-kd4yh
    @DianaAgustino-kd4yh ปีที่แล้ว

    Mimi ND nataka kuanzisha biashara lakini sijajua jinsi ya kuposti

  • @DianaAgustino-kd4yh
    @DianaAgustino-kd4yh ปีที่แล้ว

    Unafundisha vizur xana

  • @faizaally347
    @faizaally347 ปีที่แล้ว

    Mm nimeshindwa naomba unifungulie unanifungulia Kwa bei gn nikufuate

  • @FredrickJoseph-uz9hd
    @FredrickJoseph-uz9hd ปีที่แล้ว

    Nishafungu tayari page na nishajiunga na magroup nataka nijue kupost kwenye page yangu

  • @djzombekiller9792
    @djzombekiller9792 ปีที่แล้ว

    Kwenye kulipia kwangu unazngua

  • @winniejuma-mt4ey
    @winniejuma-mt4ey ปีที่แล้ว

    kaka km kitambulisho nipo mbali nayo je

  • @farajamsigwa1304
    @farajamsigwa1304 ปีที่แล้ว

    Thanks a lot

  • @stellahpeter1808
    @stellahpeter1808 ปีที่แล้ว

    Yangu imekataa

  • @Mrcmelody
    @Mrcmelody ปีที่แล้ว

    Nisha maliza mimi

  • @shadrackdeogratius6760
    @shadrackdeogratius6760 ปีที่แล้ว

    naomba namba Yako bas unisaidie kufungua accaunt yangu