Hongera sana Dickson kwa kweli maelezo na hiyo keji ya kuku mia mija zimenivutia sana. Nimetamani ningetengenezewa ya kwangu kama hiyo ila sijajua bei yake ni kiasi gani? Bahati mbaya hata mkiulizwa bei hamtaki kusema kwani shida iwapi? Kwani hamuoni kuwa wstu wakijua bei mtapata wsteja wengi? Tafadhali kuweni wa wazi mtuambie bei zenu. Je hiyo keji inafaa kufugia kuku wa nyama? Na wanaingia wangapi?
Nzr kweli izi keji zenu kama hii uliyo sema.ina beba kuku mia ina upana gan na uref gn nimependa pia mim ni fundi naoona mbao kwa sasa kwa sehm nilipo nigarama sana tofauti na chumaa
Naitaji bei gan
Habari mkulima smart. Mbona hamushiki simu
imegharimu sh ngap
Hongera kijana
good
Kej ya kuku mia mbil inapatkn kwa beh gan
Your new subscriber! good job❤
Naomba kujua kama unaweza kuweka kuku wa kienyeji
Je Mbeya mna ofisi na Ziko maeneo gani?
Bei
Hongera sana Dickson kwa kweli maelezo na hiyo keji ya kuku mia mija zimenivutia sana. Nimetamani ningetengenezewa ya kwangu kama hiyo ila sijajua bei yake ni kiasi gani? Bahati mbaya hata mkiulizwa bei hamtaki kusema kwani shida iwapi? Kwani hamuoni kuwa wstu wakijua bei mtapata wsteja wengi? Tafadhali kuweni wa wazi mtuambie bei zenu. Je hiyo keji inafaa kufugia kuku wa nyama? Na wanaingia wangapi?
Kenya mwapatikana wapi
Vp
Niko kenya naitaji , naweza pata aje?
Ni bei gn iyo
Mbona hupokei cm?
Habari naomba contact zenu hamjaweka
Mnatengeneza Kwa bei Gani?
TUMA UJUMBE WHATSAPP +255 713 178 868
Habari zenu! Hongera sana na je hiyo cage sh. Ngapi ntawapataje?
tuma ujumbe whatsApp 0713178868
Waeza kuja kenya
Kiasi gani Kama hiyo
Hiyo caje ya kuku 100 inaweza kuptikana kwa sh ngapi pia ina gani kwa urefu na upana
Nzr kweli izi keji zenu kama hii uliyo sema.ina beba kuku mia ina upana gan na uref gn nimependa pia mim ni fundi naoona mbao kwa sasa kwa sehm nilipo nigarama sana tofauti na chumaa
WHATSAPP US 0713178868
@@MKULIMASMART
Banda
Iyo cages ni ngapi mimi naitaji Rwanda
Tunaomba mawasiliano yenu
Nawapataje?
Naomba contact zenu hamjaweka hapo
Tuma ujumbe whatsApp +255 713 178 868 ili upate makadilio ya gharama
Mbona hapeani bei
Dodoma nawapataje na na keji ya kuku mia wamayai nishingapi
Naomba contact zenu tafadhali
Tuma ujumbe whatsApp +255 713 178 868 ili upate makadilio ya gharama
Naomba vipimo be vya hiyo cage ya kuku 120
Namba zenu plz
0713178868
Ya kuku 500 bei gani