Na Hawa wamama ukiwaambia watoe ushuhuda watatoa mkubwa kama kamba ya kuni. YESU Ni Bwana!!!!! We should preach through action. Hapo kijana ndiye anajua YESU.Abarikiwe sana
Roho ngumu kwa hii miaka lo.... mnyama ni mgumu na uchungu ameusikikia kwa roho amekosa hizo pesa hata mabwoni ni zake usiku kusinzia kwa kazi sip yake,🙄🙄🙄
Waaah can't imagn huyu cucu akikulelea watoto ukiwa umekufa 😢😢😢😢😢,cucu anafaa kua na huruma
Imagine wanaweza teseka sana
😂😂😂😂😂
That's how people miss God's blessings by hardening there hearts be blessed Dan wema
Waah! Na hivo ndio watu hupoteza baraka, huyu mama amesikia vibaya juu 1k imempita.
Shosh amesikia mbaya juu amefeel guilty 😂
😂😂😂 usiku kucha atawaza na kufikiria hiyo pesa amemiss😂😂
Yaani shosh amekataa kupeane Ile gwaci imelipwa 🤣🤣haki wewe cucu Mungu anakuona
🤣🤣🤣🤣enyewe ni kubaya, shosh anahisi kupasuka mtima
Uwiii comment yako ndugu hatri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Roho mbaya kabisa. Wivu umwemwingia.
Wah can't even imagin akiwa shush yangu.ana roho ngumu kweli na machungu tele.thats why analala kazini😂😂😂😂
Waah the shosh face looks itself
Mama roho chafu kabisa, watu wengine hawawezi saidika
Aki satan is real.. 🤣🤣🤣🤣 huyu shosh ni wa kina nani.. 🤣🤣 alafu huyu mathe anakula kaangumu amefeel guilty pia.🤣🤣
Shosh roho chafuuu
Huyu shoshinsa ata daughter inlow wake ako na problems 🤣🤣🤣
You spoke my mind. Daughter in-law ako na taabu sana
Don't give up no matter what you face on your way while spreading love
Yaani kukhu surely, badala unisaidie na wewe nimeona mengi. Huyu ni kukhu mchoyo
Shosh amesema shindenya amakhuwa tawe... 😂😂
shosho roho mbaya sana
Shosh ataungia binguni😂😂
Yeye ndio kimemramba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwa hii dunia Kuna watu wako na roho mbaya aky Mungu atusaidie
Na Hawa wamama ukiwaambia watoe ushuhuda watatoa mkubwa kama kamba ya kuni. YESU Ni Bwana!!!!! We should preach through action. Hapo kijana ndiye anajua YESU.Abarikiwe sana
😂😂😂Ngai tiga guthekia. Ati uira muraihu ta mukwa wa ngu.😂. Hahaa umenichekesha sana. Roho chuma.
Shosh balaa
Amen jama kwa Nini mwachie ngwanzee🤣🤣🤣
Wah shosh ameona vibaya but that's life 😅😅
Shosh ameumia sana aisee
😅😅😅😅😅😅shosh 😅that,s how we miss chances congratulations 🎉❤Dan
😂😂😂 after kukosa pesa makasirko inakuja
Wooyeeee shosh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aki iyo ni Roho kweli
Hawa wamama ndio huwa wanaroga watoto wa wenyewe
Sasa shosh kuliko uombe msamahaa unakua mkali jamani roho ngumu kweli illa mungu amusamehe dunia hatufanani
😂😂😂😂cucu
Msingetoka mapema agekufa huyo shosh bad mama, naombea mamaangu asiwe hivo
Mama amejam sana 1k imemupeta😂😂😂
Walai shosh 😂😂😂😂
Kukhu moyo kwa imbotokha🤣🤣🤣🤣
Ati omwoyo kwa shina?😂😂😂
Aki this boy kind -hearted
Barikiwa sana kijana❤❤❤
Apostle Dan when are you coming to Eldoret
🤣🤣🤣🤣🤣🤣shosho alifeel guilty mbinguni n ya wachache why pple harden their hearts imagine na apostle alimwambia n mayatima
Shosh nahio umuri wako huwezi saidia hata mtu nimekuogopa shosh
Amekataa kufunga na amelipwa😂😂
Waah huyo shosh ni WA roho mbaya sana,Akifanya hivo biz wateja watahepa
Hata ndio kwa sababu anasinzia kwa soko😂😂
Ndio umasikini iko kila pahari
Be blessed M2mishi ❤❤
❤❤
Uuuwiii shush😂
Roho ngumu kwa hii miaka lo.... mnyama ni mgumu na uchungu ameusikikia kwa roho amekosa hizo pesa hata mabwoni ni zake usiku kusinzia kwa kazi sip yake,🙄🙄🙄
Shush kabaya hivi hata kusikiza ni shida.
Dan leo kimekilamba waaa...shos
Huyo shosh anajutia walai
6:53 😂😂😂😂😂
Shosh vane vakhulipile amapesa sovoya tawe 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂kukhu abola ndenya makhuwa taa
@@senjeschola1921 but ako na roho ngumu aki
Ni kama ulikua na huyu jamaa aki siamini hii social test kabisaa
Wacha roho chafu
Ata shosh hawana huruma gaaaiii alafu anasikia vibaya kijana kupewa 1k kweli kila mtu aliumbwa Na roho yake tu 😂😂😂
Shosh kaumia sana😂😂😂
Shosh hataki😂😂😂😂😂
Aii huyu shosh aki nimemwogopa
Hapo ni Bukura 😂😂😂
Shosh amejam waaa
Shosh amejam😂😂
Shosh amesikia vibaya sana woyee
Shosh siyenya amakhua tawe
Uuiii shosh roho chafuu sana😢😢😮
Waaaaa
At that age uweh!
Hiyo pesa imeuma huyo mama
Amekatalia mapwoni 🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
Wallahi Hutu anakaa tuu mchawi.
😅😅
Wacha ashinde hapo na roho mbaya haezi songa
Shosho😂😂😂😂
At some age we don't expect this from such a shosh. Huyu pia mungu akimchukua unaona kuna watu wanalia kwi kwi kwi 😁😁
😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Huyu shosh ni mchawi
Kuna watu wakona roho ngumu sana
Shosh🤣🤣🤣🤣🤣
Shosho🤣🤣🤣🤣🤣
Aaash amefeel sad
, waaaaaaah
Just imagine 😅😅
😂😂😂😂 weeee
Biashara baridi
Weeeeeeeh
Waaah endelea kukon watu...mtu husaidia na kuenda..so tena kueka number utumiwe doo
What do you mean??
At her age i don't expect this.she is sooo inhuman
Mungereverse 🤣🤣
Sitaki mochezoo😅😅😅😅😅😅😅😅
Understand them wakizeeka akili ni ndogo
😅😅😅😅
No excuse here even if you reach 90yrs if you are a person that gives you will still give.
Hio n roho yake tu,hakuna cha uzee apo
Matata
😂😂😂😂😂
Evil woman nkt
😢😢😢😢😢😢
Shosho 😂😂😂