@@FatmaRashid-i3hNimeshangaa sana kuona jina lako... Eti Fatma, jina la miongoni mw wanawake 4 WATUKUFU ktk Uislam Unaongelea mahusiano, kweli? Yeye ni Muislam, kuna mahusiano gani ktk Uislam zaidi ya MKE na MUME. Km ana mke atulie na mke wake, km hana aoe. Nje ya hapo ni tatizo na huko kuporomoka inaweza kuwa ni athari ya hilo. Ww mwenyewe jiulize huda dada amedate wanaume wa ngapi hadi sasa? Akija kuachwa au kugonganishwa anapata stress... Nani anakuwa na stress kisha akawa na ufanisi kw anachokifanya! Hebu muone hisia zake kw kitendo ch Hamisa kupay attention kw Alwatan? Tusubiri tu hiyo siku itokee! Alipaswa azingatie sana kilichomleta.
Umependeza sweet heart Mzee ni handsome
Ivi mnazan hamisa ana mapenz ya kwel kwa azizi au ni pesa tu kazipenda mwisho wa siku azizi aangalie asilie dada wa taifa uyo
Huyo ana mke hip sio mzuri kwenye miedia
Wewe hamisa umalaya unatapeli wanaume
Huyu kijana ataporomoka sana kwenye mpira,kiwango Cha uchezaji kitashuka
Mmh kwaiyo asiwe kwenye mausiano
@@FatmaRashid-i3hNimeshangaa sana kuona jina lako... Eti Fatma, jina la miongoni mw wanawake 4 WATUKUFU ktk Uislam Unaongelea mahusiano, kweli? Yeye ni Muislam, kuna mahusiano gani ktk Uislam zaidi ya MKE na MUME. Km ana mke atulie na mke wake, km hana aoe. Nje ya hapo ni tatizo na huko kuporomoka inaweza kuwa ni athari ya hilo. Ww mwenyewe jiulize huda dada amedate wanaume wa ngapi hadi sasa? Akija kuachwa au kugonganishwa anapata stress... Nani anakuwa na stress kisha akawa na ufanisi kw anachokifanya! Hebu muone hisia zake kw kitendo ch Hamisa kupay attention kw Alwatan?
Tusubiri tu hiyo siku itokee! Alipaswa azingatie sana kilichomleta.
Maneno yenu wabongo wivu kibao acheni wale vyao acheni wivu.
Nikita kama mzazi sijapenda hiyo viongozi angalieni hiyo ya amisa sio zuri Sana kwa wachezaji
Fei toto kucheza vyote vile hajapewa tunzo yyte dah 😮😮 sio poa au fei kwakuwa anatoka Zanzibar
Fuatilia vizuri Feisal amepata naye.
Zanzibar inahusikaje hapa?
Huyo dada mganga wake amsaidie na Zuwena wa Diamond Platnumz😂😂
Cheki anavo mouonea aibu ally kamwe😅😅😅😅
Aziz Ki na Hamisa
😂😂😂new couple in town
Ali kamwe alipigwa kibuti na hamisa roho inauma kuchangia na dem na mchezaji wako
Wengine ndio wanaitwa majina mengi ila huyu anavybadilisha hao Wanaumme sjui ataitwa jina gani?au ndio anabahati 😅
Huyu Misa ni noma.
But the boy isn't healthy...
Ali kamwe wacha kumshika mtt owa kama kakupendezza
Akiachwa tena hyu asifanye tena jamani.
Azizi ki atapata stress sana muda siyo mrefu, amejiingiza kwenye maguruneti hatari sana
Mwenyezi Mungu mnusuru huyu kijana mapema