Amen 🙏, Mungu tunakuomba ukaondoe jiwe la magonjwa yote yanayomsumbua mtumishi wako Mathias Isaac Makoi asubuhi ya Leo pale hospital alipolizwa kwa damu ya Yesu
Mungu akubariki sana mtumishi wangu umekuwa baraka sana ktk masomo yako maana una mifano ya uhalisia na pia shuhuda zako zinatia moyo sana mungu akubariki sana.
Yes! God will provide for himself. Thanks much Father. Your teachings and testimonies are so powerful. May God raise you every day from glory to glory. Stay blessed
Waefeso 6: 17 Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu; *TAMKA NENO LA MUNGU SIKUZOTE, NA USALI KWAMBA WATU WA MUNGU WAIMARISHWE NA KUTIWA MOYO WA KUENDELEA DAIMA KUSHIKA HATAMU KATIKA NAFASI ZAO KAMA MAWAKALA WA MABADILIKO ULIMWENGUNI!!!*
Bwana Yesu asifiwe sana, hizo shuhuda zimenitia moyo sana kutokana na kipindi ninachopitia lakini ninaamini Bwana ataliondoa jiwe ,Bwana Yesu apewe.sifa milele na milele anastahili
Mathayo 9: 37 Ndipo alipowaambia wanafunzi wake, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache. *MAVUNO NI NAFSI ZA WATU KATIKA ULIMWENGU WA WENYE DHAMBI. INATUBIDI TUCHUKUE HATUA KUZIFIKIA!!!*
Yule Mungu aliyeliondoa jiwe kaburi akariondoe jiwe kwenye maisha yangu kwenye biashara yangu jiwe langu liondolewe
Amen 🙏, Mungu tunakuomba ukaondoe jiwe la magonjwa yote yanayomsumbua mtumishi wako Mathias Isaac Makoi asubuhi ya Leo pale hospital alipolizwa kwa damu ya Yesu
Mungu akubariki sana mtumishi wangu umekuwa baraka sana ktk masomo yako maana una mifano ya uhalisia na pia shuhuda zako zinatia moyo sana mungu akubariki sana.
Mbarikiwe mtumishi mungu akuzidishie
Amen amen. Mungu akanipe nguvu ya uelekeo wa kuondoa mawe ktk maisha yangu
Bwana ataliviringa jiwe mbele yang enda nami Baba
Bwana ameliviringisha jiwe lililokuwa mbele yangu,
Amen
Mungu azidi kukuinua mtumishi, ninamtukuza Mungu ndani yangu ninaamini mafundisho yatanitoa hatua moja kwenda nyingine
Mungu akuzidishie baraka na neema mtumishi kimaro
Amina mtumishi nibarikiwa sana mungu akutunze maisha yako yote nabaraka zisipungue milele kwako
Mimi ni jeshi linalosonga mbele ktk jina la Yesu
distance is not a hindrance,here via u tube i feel like in the church.......in Jesus name amen
Yes! God will provide for himself. Thanks much Father. Your teachings and testimonies are so powerful. May God raise you every day from glory to glory. Stay blessed
Waefeso 6:
17 Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu;
*TAMKA NENO LA MUNGU SIKUZOTE, NA USALI KWAMBA WATU WA MUNGU WAIMARISHWE NA KUTIWA MOYO WA KUENDELEA DAIMA KUSHIKA HATAMU KATIKA NAFASI ZAO KAMA MAWAKALA WA MABADILIKO ULIMWENGUNI!!!*
Bwana Yesu asifiwe sana, hizo shuhuda zimenitia moyo sana kutokana na kipindi ninachopitia lakini ninaamini Bwana ataliondoa jiwe ,Bwana Yesu apewe.sifa milele na milele anastahili
Aminaaaaa, Aminaaaaa,ubarikiwe na BWANA mtumishi,kwa somo zuri,Yupo Wa kuliondoa jiwe.
Ameen nabarikiwa sana
Im in Arusha .God will provide Himself.
Amina barikiwa na bwana mtumishi wa Mungu
Nabarikiwa sana kwa neno, kupitia youtube
Sure my pastor
WOW YES NASONGAMBELELE GOD PROVIDER
Amen God provide for me tonight
Glory to Jesus.....
Amen God you will provide himself,
Mathayo 9:
37 Ndipo alipowaambia wanafunzi wake, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache.
*MAVUNO NI NAFSI ZA WATU KATIKA ULIMWENGU WA WENYE DHAMBI. INATUBIDI TUCHUKUE HATUA KUZIFIKIA!!!*
Yes, there's devine providence to them tht believe, confess n posses, hallelujah 🙌truely we serve Jehovah Jireh
...ameeeen
Amen, hallelujah...
Glory to God
Ameeeen
Amen
amen
Amen
Ameeeen
Amina
Amen 🙏
Amen
Amen
Amina
Amen
Amen