. Bwana yesu asifiwe Mimi kwa jina naitwa getrud b . Jariyakurimba nayitaji musanda wamaombi famiri yanyango imenitunuki Mimi pekeyango katika familia nimeokoka na andamwa nafamiliya, eti nahalimbiya vitu vawo. Watuwamungu nayitaji Sana maombi watumishi wamungu muni Bebe katika maombi Hali sizuri sina kwakukimbiliya zaindi kwawatumichi wamungu nawatu wamungu mutakapo sikiya massg yangu mungu awabaliki
Amen mutumishi wa mungu barikiwa sana napenda sana mafundisho yako yananipa nguvu nahitaji namba yako naguswa sana mungu ahendelehe kukutumia kama chombo cheke namba yako nahitaji sana
Be blessed pastor for this amazing message
.
Bwana yesu asifiwe Mimi kwa jina naitwa getrud b . Jariyakurimba nayitaji musanda wamaombi famiri yanyango imenitunuki Mimi pekeyango katika familia nimeokoka na andamwa nafamiliya, eti nahalimbiya vitu vawo. Watuwamungu nayitaji Sana maombi watumishi wamungu muni Bebe katika maombi Hali sizuri sina kwakukimbiliya zaindi kwawatumichi wamungu nawatu wamungu mutakapo sikiya massg yangu mungu awabaliki
Nimeanza kumsiliza hivi karibuni nakiri kuwa Roho wa Mungu yupo nae kila nikimsikiliza ni kama ananiambia mimi Baba ubarikiwe sana!
Barikiwa sana mchungaji,maubiri yako yamenifariji kila ichao,tangu nikujue nimeona mkono wa bwana yesu,mungu akubariki sanaa na uzao wako wabarikiwe❤
Amen amen amen amen amen amen amen 🙏🙏💖🙏
Amen🙏🙏🙏 glory to God 🙌🙌be blessed pasta
Namba pastor 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amina🙏
Amen Amen mtumishi. Wa mungu
Ninashukulu kwamafundisho yaku nisima Misha kwenye maombi mafunisho mazuri mungu akubariki mutumishi wamungu kwamafundisho .nikweri nilikuwa sijui jisi yaku simama mumeni ponya kwajili yamafundisho nayafatiliya Sana naona maba ndiliko ndaniyago mungu awabaliki
Asante sana Kwa somo na maombi ya nguvu
From Bujumbura tunakusikia Pastor
Umenifungua sana
Mahubiri yako
Amen
UBarikiwe sana Baba
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana na mafundisho yako
Aaaaaaaaaamen Napokea bawa za tai nipae juu juuu kwa utukufu wa jina kuu la YESU
Hali Mungu akubariki Padtor George you are the best servant of God
Ubarikiwe Sana pastor nabarikiwa sana kupitia mahubiri Yako kiwango changu chaImani kimeongezeka zaidi
Asante baba kwa mafundisho nyeti sana hayapatikani kwa watumishi wa mchongo
Asante mtumishi wa mungu kwa mafundisho mazuri
Amina mtumishi wangu
Imenigusa sana hilo
Somo
Shalom! Kwa kweli najifunza sana kupitia mtumishi wa Mungu huyu. Ningependa kujua huduma hii ilipo na mawasiliano yao.
Yuko vizuri anahubiri ule upentekoste wenyewe
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.unanibariki sana
Asantemungu kwanenolako naombalikanijenge ktkmaishayangu🙏🙏
Najifunza mengi hapa.Barikiwa Pastor
tunabarikiwa sana naww pastor G
Mungu akubariki sana pastor mafundisho yako ni manzuri sana
Nipenda kujua hudumahii inapatikanawapi, nazidikujengeka kiimani pastor, munguazidikukufulia maono uzidi kutufundisha namnaya kumjuamungu
Inapatkana Mwanza
Ameen
Hallelujah...mafundisho mazuri nabarikiwa nkiwa Saudi Arabia
Nimebarikiwa Sana mtumishi
Amen Amen
Ubarikiwe paster sana paster naomba namba zako za sim please from USA
Ubarikiwe mtumishi mafundisho mazuri, naomba namba yako mtumishi ninfuatilia sana mafundisho yako na yamekua msaada. Naomba namba yako ya mobile ninahitaji kuonana nawe.
Where is JRC in TZ?
Mwanza
Amen and amen 🙏🙏
Amen
Amen Amen Amen
Amen amen papa
Amen mutumishi wa mungu barikiwa sana napenda sana mafundisho yako yananipa nguvu nahitaji namba yako naguswa sana mungu ahendelehe kukutumia kama chombo cheke namba yako nahitaji sana
Amen Amen