Ila ushaur kwa shuu sio sawa kumpaa mume mtoto kila siku kuwa na mama tofaut haimjeng vizur mtoto kiakil leo anajua mama angu mzaz shuu ila nina mama cecy leo anatoka out na mwanamke mwingine sio sawa kabisaa kwa mtoto kwa maono yangu lakin msinichambe 😳😳🤔🤔
hayaoni yake kila siku anaachika Dida lkn yy number 1 kuwa kungwi kwa ndoa za watu mshauri mzuri kama ushauri anaowapa watu anautumia yy bac angeishi ktk ndoa miaka 100
Uyo @shuumimi nae ameingia pabaya, asione yupo salama... Majanga matupu! Uyo mwanaume wake wa sasa Alikuwa kwa @ibitoke na akawa analelewa na mwanamke uko Nje ya nchi Dooh makubwa kweli Dada yangu una bahati mbaya kweli😴😴😴😴😴
@lukamba sawa anaonekana leo sio mtu, Je upande wa pili wa shilingi kwa bishoo wetu @djstarboy... leo kwa @shuu_mimi jana ebitoke sijui mara mama lenye fwedha zake uswizi! nae shuu_majanga tuu kavamia kiben10 cha watu
Shuu na Cesy wote ni wadangaji sema udangaji wa Cesy ni ule wa kulishwa mavi dubai.. Shuu yeye anadangia hapa hapa TZ ukiwa na laki.1 yako mkoani anakuja unamdinya na anarudi dar🤣🤣
Mmmmmmmmmmmm hawa wabongo bwana na hao watangazaji nao huyo dada tu anavyoongea kwa mtu anayetumia anayetumia akili unajua tu hajielewi wanatafuta kiki tu haende huko kama bado anamtaka huyo mume wake amtafute
Dida you are the funniest presenter. Love from Canada
Shukran khadija mzee kwa kutusomeya habari
Nakupenda sana Shuu Allah atakulinda umepokea mengi wakati bado mdogo.
Shuu mm mzuri sana masha Allha 💓🔥
Shuu anajitambua sana huyu dada
Niko kitako natazama kutoka kisumu Kenya wasafi tv Iko safi
Shuuuu wew ni mwanamke na nusu 😍😍😍😍😍😍
Yaan nimecheka mno eti kama Dubai nimeshakujua kupitia baba levo😂😂😂😂
Wallahi tena
Ameen mungu amueke pahali pema palipo na wema peponi Ameen
Weuweeeeee shuu nakukubali kwa kweli
Vijana msikimbilie ndoa kabla hamjasimama kiuchumi mtachovewa mke na Amna kitu yoyote mtayofanya 😢😢😢😢
Shuu mzuri sana
Huyo dida anaudhi kuongea ongea saaaana pia yaudhi awape lokole pia waongee nkt!!! Watching from kenya
Dida nakukubali sanaaaaa mpk mtaani naitwa dida masham sham
Mjinga kuja kuongez ujinga atombwe na jux asitombwe inakuhusu nini si bado alikuwa nae huyo X wako wewe ngoja uletewe kila mbwa Malaya Kwa nyumba yako
Unajielewa sana shuu
Dida u the best 😂😂😂😂😂
these guys are crazy 😜
Duh kumbe Shuu kaenda kuubeba ule mzigo wa Ebitoke Dj mitatoo duh kazi ipo bado hajapata bwana aendelee kutafuta
🔥🔥🔥🔥🔥
uyu Shuu yuapenda kujionyesha vile yeye wa muhiiiimu sana kwa Lukamba...nkt.bure tu
Jamani shumimi haipendezi rudi kwa lukambaa but nayo kila ukirudisha ya nyuma ruho haiwezi kurudi Lakini mume pendezana Mashallah
Nawaelewa mashamsham
wadada wanajua kupambana awaa lukambaa😂😂
Kwann wasichukue lodge wakalala Asubuhi waende kwao? Sio heshma hiyo yaani ni kama zarau flan hivi...
Dida mtakuja kutuchoma sindano ya ng'ombe 😀😀😀
Daaa Dida kiboko kwa kuponda ex wa bwana wako 😀😀😀😀😀
Lukamba hana ela wala akili na wewe dada ukirudiana na huyo kaka atakufanyia mazito kuzidi ya kwanza
afu ye anaona raha ajui 😅😅😅
Ila ushaur kwa shuu sio sawa kumpaa mume mtoto kila siku kuwa na mama tofaut haimjeng vizur mtoto kiakil leo anajua mama angu mzaz shuu ila nina mama cecy leo anatoka out na mwanamke mwingine sio sawa kabisaa kwa mtoto kwa maono yangu lakin msinichambe 😳😳🤔🤔
Njaa sasa afanyajee na yeye anataka miletezo
Uyo chou asiwacamganye Yuko n'a Lukamba hhhhhh niyeye uyo uyo hhhhhh myezi mi 5 wamerudiana
😂😂😂😂😂😂😂🤣😂jameni baba levo kumbe mwalimu hvyo🤣🤣🤣🤣🤣
Shuu mimi wamoto
UKIONA MWANAMKE ANAMCHAGULIA MWANAUME ALIYEKUWA MUME WAKE,HUYO MWANAUME NI "USELESS".
Kwan hcho kiti Cha kifalme hapo nyuma anakaa nani?
Cha Mzee Yusuph eti 😂
Dida dida 😁😁😁😁wapambe
Ati bongo bahati mbaya😂😂😂😂😂
Shu ni mkali inaonekana ila nakushauri msirudiane na lukamba sababu hajatuliya
Anaonekana mkali kbs
Yani kuoa wake wawili na hauna hela ni kufanywa kituko tuu
ndo wanaume wengi wa watz wako ivyo na Wanamake wanakua wajinga wanakubali kuolewa
Dida nawewe rudi kwa mumewe usitowe ushauri nawewe mambo yako ni hayo😂😂😂
hayaoni yake kila siku anaachika Dida lkn yy number 1 kuwa kungwi kwa ndoa za watu mshauri mzuri kama ushauri anaowapa watu anautumia yy bac angeishi ktk ndoa miaka 100
Sasa kwa mumewe au kwa mumeo
Umeonaee
Hahahahaha my shuu safi sanaaaaa
😅😅😅😅wambea nyie khaaaa
.makubwa
These guys are crazy 😂😂😂
😅🤣🤣🤣🤣🤣sana tu
😀😀😀
Shuuu mkali hatali lukaba pole huko uliko
Achana nae uyo dada weee Hafai ni panya bukuuu uyoo. Mleee tuu MTOTO BASI
SAWA DIDA. M M M AYAAA BWANA KAZI YA MUNGU. MAMA WEEE
True very true baby
Mi miez minne sasa napata maumivu ya mguu makali kwa ajili tu ya sindano
Sindano ya vip dada
operation nahic kaamanisha
Sasa mbona comment yako na hii story ni tofaut 😂😂😂
@@zainabusabas7421 amesema pengine yuaskia vibaya yuahitaj usaidiz
🤣🤣😂😂😂🤣😂ila watu mmepinda
Anamsaidia kuflash ... Heeehee ... Lokole bana
Uyo @shuumimi nae ameingia pabaya, asione yupo salama... Majanga matupu! Uyo mwanaume wake wa sasa
Alikuwa kwa @ibitoke na akawa analelewa na mwanamke uko Nje ya nchi
Dooh makubwa kweli
Dada yangu una bahati mbaya kweli😴😴😴😴😴
Dida nawewe rudi kwa Kumbi la Moto😂😂
🤣🤣🤣
Kashuu nakapenda balaa
Dida anashaeishi,,,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha Juma bhana et Beyonce wa buza
@lukamba sawa anaonekana leo sio mtu, Je upande wa pili wa shilingi kwa bishoo wetu @djstarboy... leo kwa @shuu_mimi jana ebitoke sijui mara mama lenye fwedha zake uswizi! nae shuu_majanga tuu kavamia kiben10 cha watu
Wewe unayesoma comment ulikuwa unajua cecy ..hahhahhahahhHH
Didaaa 😂😂😂
Shuu na Cesy wote ni wadangaji sema udangaji wa Cesy ni ule wa kulishwa mavi dubai.. Shuu yeye anadangia hapa hapa TZ ukiwa na laki.1 yako mkoani anakuja unamdinya na anarudi dar🤣🤣
Wacha kuchafua watu
Ulimdinya wewe nguruwe weeeeee
Ila nyie ha ha ha ha ha haaaaaaaa haaaaaaaaaaaaa
nonsense
Yani shuu mimi jaman kifua hana
😂😂😂😂😂
Naomber number ya simu ya mgonjwa

🔥🔥🔥