MKUTANO WA INJILI VIWANJA VYA T.A.G RUAHA-NYAMHANGA A. IRINGA TZ|MHUBIRI MCH.KATEKELLA 31/07/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @anausseni6844
    @anausseni6844 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @ERICAHMWAKILUNGU
    @ERICAHMWAKILUNGU 4 หลายเดือนก่อน +8

    Yaan kupitia huyu mtumishi nimejifunza mengi mno...Kuna mambo sikuwa nayajua ... Utashangaa Kuna watu hata Kwa ushuhuda huu mkubwaaaaaa hawataki kuokoka...like neno linatimia alilosema ibrahimu wakati Lazaro Yuko kifuani kwake akimjibu yule tajiri kuwa hata mtu alitoka huku hawatamuamini....Mimi nashukuru mno mchungaji katekela kweli umeinua Imani yangu Kwa huyu Yesu niliyekuwa namfahamu siku nyingi ni kama nimemjua jana au leo..hakika nikikusikiliza mchungaji naona hii Dunia tunaishi Kwa neema tu...yaan kama siyo Yesu sisi wengine sijui tungefanyaje...Kwa jinsi adui anavyotuwinda na hatujui...alafu tunaishi kumbe Kuna ulimwengu wa Giza unaotisha na wenye nguvu....wewe Yesu utabaki mshindi na mwamba wetu...Mungu akutunze baba katekela...hakika umefanyika baraka kubwaa wewe ulindwe na huyu Yesu ili tuzidi kusikia na yamkini wengine waokolewe kupitia shuhuda na mahubiri yako ya injili ya kweli isiyi na makandikando ya uwongo...Mimi nakuelewa mno ..siku hizi nalala na you tube nasikiliza shuhuda zako na mahubiri najikuta saa 9 usiku Niko macho ..loooh nimekuwa muombaji Kila ulimaliza kuhuburi nasikia kuomba kuomba kuomba hata najishangaaa ...barikiwa sana ndugu...kazi yetu ni kukuombea zaidi ulinzi wa Mungu na Roho Mtakatifu aendelee kukutumia Leo na kesho ameeeni ameeeni

    • @charleskiondo847
      @charleskiondo847 4 หลายเดือนก่อน

      Siri za upande mwingine hatuzijui ila Mungu mwenyewe ameamua kutufumbulia kupitia watumishi wake

  • @EdgarMagogozwa
    @EdgarMagogozwa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe muchungaji mungu akuongezee maisha uzidi kuerimisha kondoo wamungu

  • @tibaromwald7643
    @tibaromwald7643 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze mtumishi maana imani yangu inazid kuwa kubwa kwa YESU kupitia mahubili yako ubarikiwe sana na BWANA YESU

  • @MarthaHerman-sm9wr
    @MarthaHerman-sm9wr 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumish 🙏

  • @JaneNgure-k3f
    @JaneNgure-k3f 4 หลายเดือนก่อน

    Hi kipitia huyu mtumishi nimejua mingi kuhusu jia za mungu jane from Kenya

  • @joshuabajuta8602
    @joshuabajuta8602 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu

  • @IsaacNdalu-r5q
    @IsaacNdalu-r5q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi WA Mungu

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuhifadhi

  • @HenryMaganga-e9p
    @HenryMaganga-e9p 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mtumishi Mungu akubariki sana

  • @beatriceashule8769
    @beatriceashule8769 4 หลายเดือนก่อน

    Amen.!!! Yesu Hana upendeleo ❤❤

  • @faustindismas
    @faustindismas 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuifadhi nafsi uhai wa kutosha mtumish wa bwana

    • @upendomhagama3236
      @upendomhagama3236 4 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe mtumishi na tamani kufika Iringa lakini ninamgonjwa mama mzazi nauguza maombi yako yananipata huku huku nilipo kyela

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeen

  • @wnrachel9979
    @wnrachel9979 4 หลายเดือนก่อน

    Shalom, naweza pata usomi ambayo mtumishi alisoma. Nimesikiya yeremia 5:7-10. Ndiyo ivo ama nimesikiya vibaya.
    Asante

  • @vailetlemenya6576
    @vailetlemenya6576 4 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🙏🙏💪

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 4 หลายเดือนก่อน

    Amina kweli kabisaa

  • @ChristineDama-wf3sd
    @ChristineDama-wf3sd 4 หลายเดือนก่อน

    Aminaaa

  • @LidyaPeter-nl9bt
    @LidyaPeter-nl9bt 4 หลายเดือนก่อน

    amen

  • @upendomhagama3236
    @upendomhagama3236 4 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @AdrofinaRaymond
    @AdrofinaRaymond 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika tunazid kuuona ukuu WA MUNGU.

  • @wemangota8945
    @wemangota8945 2 หลายเดือนก่อน

    tunakuomba uje na njombe tukombolewe