Rais pekee aliyejenga uchumi jumuishi wa nchi wa wakati wote na aliyeweka sawa hali ya ajira kupitia sekta binafsi na anayekiri kufanya makosa kupitia ubinafsishaji. Hongera mno. Mungu akupe maisha marefu ya neema na rehema kutoka kwa Mwenyezi Mungu Benjamin William Mkapa!!!
Nakushukuru Baba kwa maneno yako ya busara. Mwalimu wangu wa shule za kati (middle schools) alinitabiria nafasi hizi : Nafaa kuwa Mwanasheria, Nafaa kuwa mwuuguzi, Nafaa kuwa mwalimu. Hakyamungu nilipata nafasi moja kati ya hizo. Nilifanya kazi kwa uadilifu mpaka bosi wangu ananipa off nipumzike lakini nilimsihi kuwa nitakuja nitafanya kazi ila nitawahi kuondoka!! Nimefurahi mmmnnoo kukuona ukiwa hai na unaongea ukweli mtupu. Mungu akubariki Baba yetu Benjamin.
Kweli kabisa baba maisha ya binadamu ni fumbo kubwa.Tumtegemee Mungu.Umekuwa mkweli kupitiliza ktk kitabu chako.Wanaokubeza hawajielewi urais wa kazi ndogo kama wengi unavyofikiri.
Binafsii mimii nakuunga mkooonoo mzeew maneno yakoo ni ya busaraaa sanaa ila mimi nakumbukaaa nasaaa za babu yanguu ameshanitabiriaaa vitu viwiliik maishaniii mwangu mojaaa 1.kuwaa daktariii kwa ajilii ya kusaindiaaa watu na mpaka sasa sanaaa nimekuwaaaa na ninasaindiaaa watu kuwatibu kupitiaa maonoo yakee 2.kuja kuwaaa raisii wa nchiiii hiyooo do ndoto ya mwishoo ya babuu nayooo naiwaziaaa sanaa kujaa kuitimizaaa ilii nitimizee zamira yakeeeee
Hakuna binadamu asiyekosea lakini sio kila binadamu anaweza kukiri madhaifu yake hadharani. Ndio maana kuna watu wanakosea lakini wangepewa uraisi wao nchi yote ingekuwa imeshawaka moto zamani. Huwezi kuwa rais wa nchi kwa miaka 10 au hata mwezi 1 ukafanya vyema bila mtu kukulalamikia
Kwa kweli naona mzee katoa ya Moyoni, kumbe hawa watu wanaoitwa washauri wakati mwingine sio wa kuwasikiliza, lakini nionacho kitabu hicho kingeandikwa kwa kiswahili maana kinatuhusu sisi wa Tanzania zaidi na wakikitaka wazungu ndo wangechapishiwa
Emmanuel Lesilwa Sijui kwa nn wamekipiga kwa lugha za watu. Labda wanataka kisomwe na waingereza zaidi 😀. Nimependa maamuzi alochukua ya kuandika kitabu
Kama hakipo , bado tuko kwenye box LA utumwa wa lugha. Alimlenga nani haswa mtumiaji wa kitabu? Siyo wananchi wa kawaida au siyo. Aliwaandikia marais ama siyo
Yani mtu anakuzulumu halafu wewe huna pakwenda wala huna cha kumfanya,,tabaka la watawala na watawaliwa,,hii ndio tz yetu ,,lazima watawaliwa tujikomboe kwa hili
Rais pekee aliyejenga uchumi jumuishi wa nchi wa wakati wote na aliyeweka sawa hali ya ajira kupitia sekta binafsi na anayekiri kufanya makosa kupitia ubinafsishaji.
Hongera mno. Mungu akupe maisha marefu ya neema na rehema kutoka kwa Mwenyezi Mungu Benjamin William Mkapa!!!
Genius hilo
Nakushukuru Baba kwa maneno yako ya busara. Mwalimu wangu wa shule za kati (middle schools) alinitabiria nafasi hizi : Nafaa kuwa Mwanasheria,
Nafaa kuwa mwuuguzi,
Nafaa kuwa mwalimu. Hakyamungu nilipata nafasi moja kati ya hizo. Nilifanya kazi kwa uadilifu mpaka bosi wangu ananipa off nipumzike lakini nilimsihi kuwa nitakuja nitafanya kazi ila nitawahi kuondoka!! Nimefurahi mmmnnoo kukuona ukiwa hai na unaongea ukweli mtupu. Mungu akubariki Baba yetu Benjamin.
Hongera saana
Kama umemwon kikwete akirecord like apa
Asante mzee wetu wa busara
Mungu azidi kukupa maisha marefu
Jamani nipeni na me like uyu ni wajina wangu me
Twemma lelo
Hongera sana mhe. Rais Mstaafu ,mzee wetu mpendwa kwa kuandika kitabu hicho chenye maandishi mazuri sanaaa, My life,my purpose. Hongera sana mzee wetu
Uwe mfano wa kuigwa na viongozi na watu wengine ,mungu azidi kukuzidishia maisha marefu mzee wetu
Hongereni viongozi,neno hekima hekima wengi walitafakari.
Ulikuwa raisi ww ,pamoja na kikwete mwanadiplomasia aliyetukuka mwenyez Mungu ampe baraka pamoja na ww mkapa
Hivi Hawa maraisi wa Zanzibar sio maraisi.maana mkapa anasema ata ukiuliza wenzangu watatu....
Kweli kabisa baba maisha ya binadamu ni fumbo kubwa.Tumtegemee Mungu.Umekuwa mkweli kupitiliza ktk kitabu chako.Wanaokubeza hawajielewi urais wa kazi ndogo kama wengi unavyofikiri.
Binafsii mimii nakuunga mkooonoo mzeew maneno yakoo ni ya busaraaa sanaa ila mimi nakumbukaaa nasaaa za babu yanguu ameshanitabiriaaa vitu viwiliik maishaniii mwangu mojaaa
1.kuwaa daktariii kwa ajilii ya kusaindiaaa watu na mpaka sasa sanaaa nimekuwaaaa na ninasaindiaaa watu kuwatibu kupitiaa maonoo yakee
2.kuja kuwaaa raisii wa nchiiii hiyooo do ndoto ya mwishoo ya babuu nayooo naiwaziaaa sanaa kujaa kuitimizaaa ilii nitimizee zamira yakeeeee
asante mh.Mkapa
Nakukubali baba Mkapa mapungufu mengine no ubinadamu tu ambao kila MTU anao
kuna mtu nimemuona anachukua video na simu
Tecno j7
Tunajua pia UFISADI ulianzia kipindi gani😀😀😀😀😀
Hakuna binadamu asiyekosea lakini sio kila binadamu anaweza kukiri madhaifu yake hadharani. Ndio maana kuna watu wanakosea lakini wangepewa uraisi wao nchi yote ingekuwa imeshawaka moto zamani. Huwezi kuwa rais wa nchi kwa miaka 10 au hata mwezi 1 ukafanya vyema bila mtu kukulalamikia
salut
ok
Kwa kweli naona mzee katoa ya Moyoni, kumbe hawa watu wanaoitwa washauri wakati mwingine sio wa kuwasikiliza, lakini nionacho kitabu hicho kingeandikwa kwa kiswahili maana kinatuhusu sisi wa Tanzania zaidi na wakikitaka wazungu ndo wangechapishiwa
Emmanuel Lesilwa
Sijui kwa nn wamekipiga kwa lugha za watu. Labda wanataka kisomwe na waingereza zaidi 😀.
Nimependa maamuzi alochukua ya kuandika kitabu
Safi sana wazee wetu
Maneno ya mtu mzima dawa kwa sababu anajuwa yote yanayotusibu raia ake
Mungu azidi kukutunza wewe pamoja na familia yako. Hongera sana Baba MKapa
Nice one
Kipo na Cha kiswahili au?
Hapana
Kama hakipo , bado tuko kwenye box LA utumwa wa lugha. Alimlenga nani haswa mtumiaji wa kitabu? Siyo wananchi wa kawaida au siyo. Aliwaandikia marais ama siyo
🇹🇿 ONe
Uyu rais ambae analawama na Mt
Umenena hekima hekima rais mkapa
Tunaomba na cha kiswahili
MANENO YA HEKIMA NA BUSARA KWA KIONGOZI WETU... MUNGU AWAPE NGUVU NA HEKIMA
huna lolote subir Mungu anakusubiri akakutie adabu umeua sana pemba mdudu wewe nyati
Yani mtu anakuzulumu halafu wewe huna pakwenda wala huna cha kumfanya,,tabaka la watawala na watawaliwa,,hii ndio tz yetu ,,lazima watawaliwa tujikomboe kwa hili