WEBSITE 5 ZA KUTENGENEZA PESA ONLINE 2021,KUANZIA 200,000/= ($100) NA KUENDELEA KILA MWEZI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 44

  • @kasegatv
    @kasegatv ปีที่แล้ว +1

    Ok nimeipenda

  • @omariomari7970
    @omariomari7970 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali

  • @mwalimuTheophilAcademy
    @mwalimuTheophilAcademy 3 ปีที่แล้ว +2

    Thank you bro

  • @helencasmir5457
    @helencasmir5457 7 หลายเดือนก่อน

    I like it

  • @streetonemedia
    @streetonemedia 3 ปีที่แล้ว +3

    umetisha sana ndugu yangu safi chimba lete vitu vya ukweli maana kuna baadhi ya watu hawana vitu vya ukweli kama hivi wanacho taka ni kuweka video tu wapate views tuuu letee mamboo

  • @MOTecnology
    @MOTecnology 4 ปีที่แล้ว +1

    Thnks Brother

  • @Lnewtwaxx
    @Lnewtwaxx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wo

  • @arenjm5735
    @arenjm5735 9 หลายเดือนก่อน

    Ikopoa

  • @ericjonstz3120
    @ericjonstz3120 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante kaka, am u'r member

  • @EzekielEmmanuel-b1k
    @EzekielEmmanuel-b1k 24 วันที่ผ่านมา

    Hi

  • @ShehaHamis
    @ShehaHamis 8 หลายเดือนก่อน

    Nataka Nampa yako

  • @KIMSwahili
    @KIMSwahili 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukurani sana kaka

  • @BobMathias-p8c
    @BobMathias-p8c 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka nimefurahi kwaufafanuzi

  • @soccerupdates5
    @soccerupdates5 3 ปีที่แล้ว +4

    Naomba namba yako brother umenivumbua kitu kikubwa asee

  • @gozibertkibura2519
    @gozibertkibura2519 2 ปีที่แล้ว

    Mbona aweki mawasiliano yako?

  • @BKSKBio
    @BKSKBio 3 ปีที่แล้ว +1

    Niaje broo

    • @BKSKBio
      @BKSKBio 3 ปีที่แล้ว

      Nawezaje kuitumia fiverr

  • @dankia-ue1um
    @dankia-ue1um 11 หลายเดือนก่อน

    Unaweza kutengeneza pesa mtandaoni

  • @SwahiliWithMaida
    @SwahiliWithMaida 3 ปีที่แล้ว +3

    Pesa zako unatoa kwa njia gani? Nimejarib hii ya Amazon lkn kwny malipo back za Tanzania haikupali? Alafu naomba kuuliza, hivi utaweza kutoa pesa kwa PayPal hapa Tanzania?

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  3 ปีที่แล้ว

      Hapana paypal haifanyi kazi vizuri

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  3 ปีที่แล้ว

      Kwa njia ya bank

    • @MoreneWanjala
      @MoreneWanjala ปีที่แล้ว

      Bank unaeza ibiwa

    • @neolandfarms
      @neolandfarms ปีที่แล้ว

      Kufungua account ya USD kwenye Bank yoyote hapa tanzania halafu baada ya hapo download app ya Payonner ambayo utaweza kulipwa kwenye account yako halafu utaweza kubadilisha kuja Tsh na kujitumia kwenye Mpesa au Tigo Pesa.

  • @msafirimolimoli3667
    @msafirimolimoli3667 3 ปีที่แล้ว +3

    sasa unafundisa au unatoa dondoo?

    • @streetonemedia
      @streetonemedia 3 ปีที่แล้ว

      kakupa ndo ndoo kama ujuzi wa kufanya unao fanya ila kakuletea usio yajua ujue kuwa yapooo

  • @KALIMBULA
    @KALIMBULA 3 ปีที่แล้ว +1

    Poa poa

  • @tukuzomahali4078
    @tukuzomahali4078 3 ปีที่แล้ว +3

    Ninakosaa views kaka naisaidie pls

  • @gracemurinda736
    @gracemurinda736 ปีที่แล้ว

    Mwenye ayuko tanzania aezi fanya iyokazi?

  • @troniciceofficial
    @troniciceofficial 3 ปีที่แล้ว +4

    Tuoneshe withdraw proof

  • @tmpetampeta6339
    @tmpetampeta6339 3 ปีที่แล้ว +1

    asante ndugu lakini mfano mimi nimepata kazi online sasa nalipwaje na ninachojua paypal haitumiki tanzania,msaada kwa hili

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  3 ปีที่แล้ว +2

      Kuna njia nyingi tu za kupata malipo yako, adsense ambayo inaconnect na bank account yako au Western union

  • @irenerahul9034
    @irenerahul9034 2 ปีที่แล้ว

    Kabc

  • @puyapotiger4732
    @puyapotiger4732 3 ปีที่แล้ว

    Kwl

  • @lisamaleko3706
    @lisamaleko3706 3 ปีที่แล้ว

    App gani unatoa pesa kwa kutumia mpesa au kadhalika

  • @DulyKadir-er4bn
    @DulyKadir-er4bn 9 หลายเดือนก่อน

    Nakubali