By the way "WHAT GOES AROUND COMES AROUND" ukila cha mtu na chako kitaliwa na maumivu itaku triple cause malipo ni hapa hapa duniani Mbiguni ni hesabu tuu !!! 🙏🏼
Bible imeandika vizuri sana proverbs, kucheza na bibi ya wenyewe ni kujitaftia kifo, daktari jalas umeapeana advice poa alafu ukaharibu mwisho mwisho ati asome katiba ya mwisho 😀😀😀😀hapo ndipo atashikwa
First to comment all the way from doha qatar...nipewe like🌹🌹🌹
Never mess with someone's wife whatever the situation. He should leave that women and go find love somewhere else
😂😂😂😂eti soma ya mwisho😀😁😂😂
You guys mmenimaliza eti a some Mara ya mwisho ghai mwadhani Jesu
Ati soma ya mwisho 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Read the word of God, it will help you
wah hii nikali
Asome tu ya mwisho na ajitoe
@@Robeztv 😂😂😂😂
Hhhhhhhhhe hii story ya kuingia kwa mapenzi na mtu hajui is common sana 🤣😅🤣😅🤣🤣🤣🤣
soma ya mwisho na uwache kabisa😂😂😂
soma ya mwisho haha haha
🤣🤣🤣
Marehemu mtarajiwa.. Soma Mara ya mwisho na upotelee mbali
Pwahahaha etii
Bwanake akijua si itakua mazishi! 😂
Ni daktari jalas mwenyewe ebu nipatie sida yako😁😁
😂😂😂 aki you guys are crazy
Woi!!! Someone's wife jamani daktari... anampa nini Hii ambayo haezi pata kwengine😂😂😂😂😂😂
Usome ya mwisho na hiyo ndo siku unashikwa
collince otieno 😂😂😂
Hehehe
😂😂😂😂😂na isiwe ni ya siku 40🤗🤗🤗
@@estheralbrechtsen8999 🤣🤣🤣🤣 ee but a some bila macho nne 🤣🤣🤣😜
@@fl0rencemutuku40 hapo sawa😎
Idle kenyans hamtawahi wacha nicomment wakwanza.🙉🙉🙉
😂😂😂another idler detected
@@euniceevans7780 hahaaa ata chance hamnipei bana😂
Jaribu kesho 9:30
Bibi ya wenyewe no go zone
Really Jalas,eti asome ya mwisho halafu 🤣🤣🤣🤣
By the way "WHAT GOES AROUND COMES AROUND" ukila cha mtu na chako kitaliwa na maumivu itaku triple cause malipo ni hapa hapa duniani Mbiguni ni hesabu tuu !!! 🙏🏼
Kweli lazima awa watu tuwangalie vizuri,
Enyewe asome mara y mwisho
Soma ya mwisho eh😘
Uwa nawapenda sawa Alex na Jalas masuwali mazuri ..Kweli kama ni bibi yake angeuwa mwenzake achunge sana huyu fala
Tuko uku masingle mnataka tuolewe na akina nani mkishare wanawake 😏😏😏
leta number
@@franciskaranja2837 inbox yawa
@@lucywanjeri6023 wapi sasa mzimie
Nashangaa
Akina tuko hapa single and searching na hatupati kumbe wanashare bibi wa wenyewe
Bible imeandika vizuri sana proverbs, kucheza na bibi ya wenyewe ni kujitaftia kifo, daktari jalas umeapeana advice poa alafu ukaharibu mwisho mwisho ati asome katiba ya mwisho 😀😀😀😀hapo ndipo atashikwa
Jalango harusi yako ni lini 😁😁😁
bibi ya wenyewe is no go zone ati asome ya mwisho jalas aki wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Alafu kichwa kipatikane dandora!jalas atasema?
Jelas iyo kitu ni gani😂😂😂😂
Hati asome ya mwisho looool😂😂😂😂
Jalas nikuulize hii mambo ya bb ya wenyewe do u mean mwanaume ndio mwenye makosa?me I blame mwanamke kwa nn anakubali akikatiwa?
Kweli wewe ni daktari the good advise you give him..
Lovely
Mke wa mtu sumu
hahahaha eti onja ya mwisho kabla hujaondoka.... inakuaga tamu hiyo ya mwisho ila hutaamini hiyo ya mwisho ndo watu wanakamatwaga nayo..
Woi ati soma ya mwisho...kanyaga kubwa kubwa nani
Aki jalas unaonatu wewe 😂😂😂😂😂ati arudi asome katiba ya mwisho 😂😂😂😂😂
🤔🤔🤔
Hyo katiba ya bb ya mtu ni nguuuumu kuwacha juu anakupea yote, but its always a death trap, achana nayo kabisa.
Hehe ati soma ya mwisho
What about married pple u both know ur married secret lovers.
Soma ya mwisho
😂😂😂😂jalas yawaa,, bado unambia asome ya mwisho hahaaa
Doc Leo umeska ya MTU umenyea hahahaha
😂😂😂 kichwa ikiwa dondora
Wacha asome ya mwizo hiyo kichwa itakuwa doroo
Soma ya mwisho na uwache kabsa 😂😂😂
Mangle tuko shida ikowapi yawa
Jalas eti asome ya mwisho na achane naye mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣
pwahahaha ati soma ya mwisho na uwache kabisa hapo kanyanga kubwa kubwa
wachana na bi ya wenyewe hakuna mapenzi apo
crazy
Jalas bibi ya mtu ni mtamu jo iko nn 😂 😂 🏃
😂😂😂😂😂😂
Umesemaje
Wambie😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Why would you allow a married woman take you for a ride naniiiiiiiiii. Utapigwa!!!!!!!!!!!!1
This voice sounds familiar🙆,,,ni pesa inamweka c mapenzi haswa I highly suspect...😀stay away from someone's wife period nkt
jalas yawa!!! kifo yake inakuja???? mwambie tena
Mwenye anajiita dactari kuadvice wengine hana hata bibi aliachana na yeye.
Kwani kuwa n bibi n nini
My brother, leave that woman and run away. She will also cheat on you
Mke was mtu Ni sumu Kaka tafuta msichana ukaoe ama ungoje kifo.
Out of sight,out of mind.
Jalango wacha ujinga eti vitu, shamba si ruto anaibia watu shamba kila siku
Bibi ndio shida mbona anafanya hivo
Kamûtî..... otherwise this is total rubbish! Someone’s wife ?
Soma ya mwisho