CHADEMA yapata pigo Kondoa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Baadhi ya viongozi wa vyama pinzani jimbo la Kondoa wamefanya maamuzi ya kuhama vyama vyao na kujiunga na chama tawala, CCM. Hizi ndizo sababu za kuhama kwao.

ความคิดเห็น • 18

  • @zainabzainab7469
    @zainabzainab7469 3 ปีที่แล้ว

    Mungu tuongoze

  • @victorhamli3835
    @victorhamli3835 5 ปีที่แล้ว

    Ktk ccm kuua upinza ndo maendeleo makubwa wanayojivunia. Bila hta haya 4 sure this is Tanzagiza!!!

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 6 ปีที่แล้ว +7

    NDIYO MAANA MAFISADI KAMA LOWASSA WANATAMANI WATU WALETE FUJO ILI WATUMIYE LAWAMA SERIKALI , BADALA YA KUKOSA SERA.

  • @ungonelamapunda4908
    @ungonelamapunda4908 6 ปีที่แล้ว +4

    maendeleo hayana chama . teh teh...

  • @zakiamaungazakia720
    @zakiamaungazakia720 6 ปีที่แล้ว +2

    Ccm oyeeee

  • @kisigaanna3422
    @kisigaanna3422 6 ปีที่แล้ว +3

    ccm oyeeeeeeee duhh mitahamia mbinguni

  • @alutosanga1217
    @alutosanga1217 6 ปีที่แล้ว +1

    Watapata tabu sana

  • @mamyabdalah885
    @mamyabdalah885 6 ปีที่แล้ว +2

    Chezea anco magu weeee

  • @jumamwenda1139
    @jumamwenda1139 6 ปีที่แล้ว +6

    CCM oyeeee.

  • @habilmselemu4610
    @habilmselemu4610 6 ปีที่แล้ว +2

    Mtaendelea kusifu na kutengeneza watu eti wanahama mkitaka tujue hayo mnayosema mngeacha vyama vifanye.mikutano sasa mnawabana wenzenu halafu mnajiita washindi wao watajulikana vipi iwapo mmewazuia kufanya chochote hatuwaelewi waacheni muone moto

    • @kijuuborongo6405
      @kijuuborongo6405 6 ปีที่แล้ว

      Habil Mselemu mikutano subri 2020sasa nikazitu

    • @victorhamli3835
      @victorhamli3835 5 ปีที่แล้ว

      Kwel jombaa nmekuelewa

  • @uswaamambauroki5426
    @uswaamambauroki5426 6 ปีที่แล้ว +1

    kwani maendeleo yana chamaa? iyo ni njaa tu ya madaraka inawasumbua,

  • @issahyohana7986
    @issahyohana7986 6 ปีที่แล้ว

    njaa mbaya chadema haina mwkiti Wa jimbo wala Katibu Wa jimbo endeleeni kumdanganya asieelewa

  • @yousufhaji9810
    @yousufhaji9810 6 ปีที่แล้ว +1

    Maskini nchi yangu miaka yote maendeleo kwetu ni barabara

  • @yohanakishosha6542
    @yohanakishosha6542 6 ปีที่แล้ว

    Ww mungo cdm haikuwa na mwenyekiti wa jimbo wala katbu wa jimbo ww mungo na uache kusaidia shetan kazi

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 6 ปีที่แล้ว +3

    Ccm oyeeeee