MR BLUE ANAVUNJA UKIMYA/ SIRI NZITO/ UMASIKINI ULIVYOITESA FAMILIA YAKE/'NIMEDHULUMIWA SANA'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • #STORYANDRHYMES #MRBLUE
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

ความคิดเห็น • 122

  • @adidjahim748
    @adidjahim748 ปีที่แล้ว +11

    Mr Blue is the best. Legend❤️He's so intelligent and full of wisdom despite the fact that he dropped out of school.

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 ปีที่แล้ว +9

    Young legend...Huyu jamaa alifanya maajabu mengi sema wakati ule mambo na TH-cam na IG ilikua hakuna...🇧🇭

  • @h.jrugashaula1296
    @h.jrugashaula1296 ปีที่แล้ว +29

    Moja ya Wasanii ninaowapa respect ni Mr. Blue

  • @timothymikola2317
    @timothymikola2317 ปีที่แล้ว +19

    Ulifanya mziki wa bongo fleva uwe mtamu respect Sana

  • @AboveandBeyondAviation1
    @AboveandBeyondAviation1 ปีที่แล้ว +4

    Legend tunakutambua sana Kenya 🇰🇪🇰🇪..Mapozi

  • @athumaniomary1245
    @athumaniomary1245 ปีที่แล้ว +13

    Mtangazaji yupo vzuri na blue yupo vzuri kwenye kujibu maswali...Safi sana Big up ..MR BLUE ulituvutia wengi kufanya mziki

  • @zitongwang6278
    @zitongwang6278 ปีที่แล้ว +4

    This guy is very Humble 💯🔥respect big time mr Blue , am your big fun

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 ปีที่แล้ว +3

    Blue, Babylon byser, mr Blue, uko Open sn kweny interview
    Much respect bro

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free ปีที่แล้ว +7

    Daaah 2003 hadi sasa vile vile 👊👊👊 Young Legendary

  • @michaelkazungu1987
    @michaelkazungu1987 2 หลายเดือนก่อน

    Best legend ever.. shout out Mr blue mziki umefika mbali

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 ปีที่แล้ว +8

    Huu Ni utaratibu niliojiwekea mm kwenye pub yangu kila cku lazima nipige angalau nyimbo moja ya Mr Bizzy Babylon 💓💓💓💓

    • @sumadashsumadash-yx8eb
      @sumadashsumadash-yx8eb ปีที่แล้ว

      Unanya kitu kizur sana Nelson huyu Mr Blue anastahili kupewa heshma yake kivyovyote vile

  • @aishaz1
    @aishaz1 ปีที่แล้ว +1

    Blue..uko..sawa..sauti..yako..ni..yako..pekeako..bro..❤❤❤..kuanguka..na..kuinuka..kawaida..sana....

  • @beatricemtui3766
    @beatricemtui3766 ปีที่แล้ว +2

    Ireal like Mr blue no scandles,humble, talented,respect bro

  • @godnhosimon7581
    @godnhosimon7581 ปีที่แล้ว +13

    Msanii wangu wa Maisha, muimbaji wangu Bora wa dunia

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 ปีที่แล้ว +5

    Kwel Snoop is big gengstar in world Bt heve respect

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 ปีที่แล้ว +4

    Respect!

  • @abdoulyabdalah1556
    @abdoulyabdalah1556 ปีที่แล้ว +5

    Mnyama mkali byser msanii wangu bora wa mda wote

  • @erqmusic5973
    @erqmusic5973 ปีที่แล้ว +2

    Inakuaje nikufwate tena na bakuli... respect mjomba 🔥🔥

  • @opioandrew1624
    @opioandrew1624 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli nimependa ndugu mwanahabari anavyouliza maswali ya kiakili lakini pia na blue anavyojibu maswali serious he is really Legend

  • @anganilekajigilikajigili2641
    @anganilekajigilikajigili2641 ปีที่แล้ว +1

    2003 nipo darasa la 3 Mungu tujalie tumetoka mbali kama nyimbo ya mr blue🧡

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 ปีที่แล้ว +3

    Much love mdogo wangu Mr. blue...kabaiser❤

  • @nelsonbilali3888
    @nelsonbilali3888 ปีที่แล้ว +8

    Mad love from 254 🇰🇪

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +2

    Duh mtangazaji sauti yako iko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ommie_nyzer
    @ommie_nyzer ปีที่แล้ว +4

    Nyani zee 📌 respect 🙏🏾💯🏁

  • @ehsantv7740
    @ehsantv7740 ปีที่แล้ว +7

    Upo vizur sana kwenye maswali ndugu mtangazaji

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 ปีที่แล้ว +1

    Byser is the best Rapper 👍👍👍💪💪, hata km hujapata tuzo bro we ni Mkali zaidi yao

  • @kiumbesimba7493
    @kiumbesimba7493 ปีที่แล้ว +1

    Can't stop listening n see young legendary shine

  • @israelnibigira4990
    @israelnibigira4990 ปีที่แล้ว +8

    My favorite musician

  • @ferdinandimani1517
    @ferdinandimani1517 ปีที่แล้ว

    Respect sana Babylon buzy.hata Congo DR we love you bro

  • @David-lr9zr
    @David-lr9zr ปีที่แล้ว +3

    Mr blue you are intelligent man nikikusikiliza mawazo yako ni zaidi ya wenye degree

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤Penda sana mr blue

  • @godlistenvalentine1642
    @godlistenvalentine1642 ปีที่แล้ว +2

    Katikat ya clip voice imechange hamsikiki vzur kama mwanzo so producer ajaribu ku maintain good voice ..

  • @hamisisaid-gy3eg
    @hamisisaid-gy3eg ปีที่แล้ว +1

    Mm namuita Heri Sameer lajab aliye kwenye level yake siku zote hajawai kuitwa basata hatasijumoja

  • @chancekivuruge
    @chancekivuruge ปีที่แล้ว +1

    RESPECT BYSER❤

  • @kingradji6324
    @kingradji6324 ปีที่แล้ว +1

    Napenda kusikiliza Blue ni teacher

  • @uwezoaman493
    @uwezoaman493 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jama nilikutana nae kariakoo nikamwita alinichangamkia kama ananijuwa na ilikuwa kwamala ya kwanza kukutana nae kwahio akisema ni mtu wawatu anamanisha kiufup nimwanamziki ambae halingi wanaita kuvimba vijana

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc ปีที่แล้ว +1

    Legend Byser. Mnyama sana

  • @jeremiahmsemwa8323
    @jeremiahmsemwa8323 ปีที่แล้ว +1

    So smart in his mind

  • @mmn7480
    @mmn7480 ปีที่แล้ว

    Sema mtangazaji unavo onekana unajua mapenzi aiiiiiiii😋😋😋😍😍😍

  • @jumazahoro3537
    @jumazahoro3537 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji unajua Sana kuuliza maswali

  • @haidarywenge3607
    @haidarywenge3607 ปีที่แล้ว +1

    Good interview

  • @maryaika9645
    @maryaika9645 ปีที่แล้ว +3

    Respect in abundance brother Dr Heri

  • @johnjaimejoseukoti4174
    @johnjaimejoseukoti4174 ปีที่แล้ว +4

    Respectfully kaka Kheri Samir Rajab a.k.a Kishingo huyu tulikuwa naye pale gerezani na alikuwa mzuri shuleni pia tulishiriki kikundi cha ngoma,
    Kwa kweli huyu kaka sijui ilikuaje mpaka kuwa msanii maana kipind hicho hakuonyeshe kuwa ni mpenzi wa mziki.
    Nampa hongera sana kwa kazi zake.ila hakumbuke za Katapala,Katunzi,Mshana,Seif,Kibwana nawingine😁😁

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 8 หลายเดือนก่อน

    Legend

  • @nassorsalum3846
    @nassorsalum3846 ปีที่แล้ว +2

    mr blue🙌🏾 alikua mnyamwezi kama lil bow wow wa America🇺🇲

  • @mustafaameir8186
    @mustafaameir8186 ปีที่แล้ว +1

    Respect ❤

  • @maombikisenya1843
    @maombikisenya1843 ปีที่แล้ว +1

    Studio session is fire

  • @hafsashayo1713
    @hafsashayo1713 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda huyu kaka sana

  • @herryochola2650
    @herryochola2650 ปีที่แล้ว

    Respect.!..Mr BLUEE

  • @beatricemtui3766
    @beatricemtui3766 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji anasauti Kama milard ayo

  • @meddyhamidu713
    @meddyhamidu713 ปีที่แล้ว

    Nyani zee! 💯🔥

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh ปีที่แล้ว +1

    Nelly wa X-Plastaz, Zilla wa Salasala, Ngwea leo ume...Umemuacha dark Master...🥹🔥🙌🏾

  • @barretobacca9754
    @barretobacca9754 ปีที่แล้ว +1

    Mr. Blue ❤

  • @mackamehassani201
    @mackamehassani201 9 หลายเดือนก่อน

    Enheeeeeeeeee!!!! Ilo goma iloooo ilo shuzi iloooooo😂😂😂😂😂😂

  • @siamejerry9239
    @siamejerry9239 ปีที่แล้ว

    Big up legendary

  • @aishaz1
    @aishaz1 ปีที่แล้ว

    Penda sana bro saut yk n smart mr blue

  • @dinyoabeli9028
    @dinyoabeli9028 ปีที่แล้ว +2

    Biziiiiiiii🔥

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 ปีที่แล้ว

    Mr blue my favorite ❤

  • @kelvintiba9412
    @kelvintiba9412 ปีที่แล้ว +1

    Blue is one of the best we ever have. Nigga so real.

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 ปีที่แล้ว

    Love you Mr blue

  • @zulfatyabdallah378
    @zulfatyabdallah378 ปีที่แล้ว +2

    tambwe first time natoka karume namkuta mtaa wa bukoba alishaninunulia mishikaki

  • @jibrilmupenziwayezu-sq4mi
    @jibrilmupenziwayezu-sq4mi ปีที่แล้ว

    Much love blue

  • @Ebendentalclinic
    @Ebendentalclinic ปีที่แล้ว

    aisee nimemsikiliza Joslin nikarudi kusikia hii,nikaelewa ile dhahabu record ilikua surprise kwa joslin na kwa mr blue pia

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 ปีที่แล้ว

    Hongerasana mr blue

  • @KalebyHennry-ux7fj
    @KalebyHennry-ux7fj ปีที่แล้ว

    Daaaaa Mr blue

  • @jaystrongmagaboy1633
    @jaystrongmagaboy1633 ปีที่แล้ว +3

    Respect sana Mr Blue

  • @erqmusic5973
    @erqmusic5973 ปีที่แล้ว

    Studio session ni 🔥🔥🔥🔥

  • @khadijasalimulimakatso
    @khadijasalimulimakatso ปีที่แล้ว

    ❤❤ Baisa anafaa

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤BAKI NA MIMI 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @g_forcemusician4242
    @g_forcemusician4242 ปีที่แล้ว +2

    Blue blue

  • @zarrykaidza2359
    @zarrykaidza2359 ปีที่แล้ว +1

    mm nlienda ile nyumba ya mapozi na wee wakati huo nlikua class 5

  • @isaacbarnabas9608
    @isaacbarnabas9608 ปีที่แล้ว

    #MR_BLUE!.. #Bishoo🇯🇲🌿

  • @slimsan3859
    @slimsan3859 ปีที่แล้ว

    ❤respekt

  • @Kapchu-j2g
    @Kapchu-j2g ปีที่แล้ว

    LEGEND

  • @elvisnyaruri
    @elvisnyaruri ปีที่แล้ว

    Superstar

  • @shabanipili4919
    @shabanipili4919 ปีที่แล้ว

    Jamaa ni mnyamwezi sana

  • @dakxirdakxir5897
    @dakxirdakxir5897 ปีที่แล้ว

    Kwa hakika blue aligusa cha mjani....maana sometime kama connection zinataka hivyo yani

  • @sadunabdallah7303
    @sadunabdallah7303 ปีที่แล้ว

    Baisaaa

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว +2

    Nakumbuka kipindi natoka ushagoo yeye ndo handsome pekeyake 😅

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo bora toka kwa huyu jamaa ni
    1. Kisskiss
    2. Sema
    3. Mapozi
    Nilipenda aliimba na kuchana na alikuwa na style furani hivi ila hii styleyake yakuimba saiv bado haijanivutia sana.

  • @benedictbenn2632
    @benedictbenn2632 ปีที่แล้ว +1

    Nyani Zee

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 ปีที่แล้ว

    kumbe blue shule ulikuwaga vzur

  • @yaallaanipesuburaamina3333
    @yaallaanipesuburaamina3333 ปีที่แล้ว

    Nyie ndio mliokuwa wanamusic wengine wote waliobaki ni wasanii tu

  • @CharlesBaltmore
    @CharlesBaltmore ปีที่แล้ว

    💪💪💪

  • @CharlesBaltmore
    @CharlesBaltmore ปีที่แล้ว

    💪💪💪

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 ปีที่แล้ว

    Goooood story big up jah bress you end your familia

  • @msafirikilongo7429
    @msafirikilongo7429 ปีที่แล้ว

    Mbwa koko ✍️

  • @hoseapeter2240
    @hoseapeter2240 ปีที่แล้ว

    Hujui kuuliza maswali ya kumfanya mtu atoe more story

  • @ibrahimdastan8204
    @ibrahimdastan8204 ปีที่แล้ว +2

    Watoa tuzo wajitathimini

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 ปีที่แล้ว +1

    Nimemkubali kukili makosa na kianza upya

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 ปีที่แล้ว

    bizzzzzz babylone

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 ปีที่แล้ว

    Big blue byser

  • @stevenlazaro9176
    @stevenlazaro9176 ปีที่แล้ว

    Kabaisa we Ni umbwa sana

  • @jeylanrashidi1468
    @jeylanrashidi1468 ปีที่แล้ว +1

    Pamba za blue blue

  • @minyatibienfait9117
    @minyatibienfait9117 ปีที่แล้ว

    Mtoto wako wa tatu apende sana shule kukamilisha ndoto yako ya shule.

  • @samirmswahili
    @samirmswahili ปีที่แล้ว +3

    Nyani zee

    • @jenniferrevocatus4406
      @jenniferrevocatus4406 ปีที่แล้ว +1

      Byser nipo nilikuwepo na ntakuwepo since 2003 up to now 2023

  • @agnesschaote5583
    @agnesschaote5583 ปีที่แล้ว

    Sauti ya mtangazaji jomon

  • @salisali3738
    @salisali3738 ปีที่แล้ว

    Hizo pete mmmmmmm maangano nn?

  • @RioIpo
    @RioIpo ปีที่แล้ว

    Babylon killer 😊😊

  • @jumazando8033
    @jumazando8033 ปีที่แล้ว

    Botion of bitozzy