Kabisa kabisa maana katukera lamata kumtoa maria na kuweka mtu mwingne Anakosea TZ tuige movie za wenzetu Yaan wenzetu watu weupe wanatoa movie wanaigiza toka utotoni had uzee awajawah badili muhusika hata kama muhusika anakumbikia maisha yake ya zaman unakuta sura ndio ile ile aijabadika yaan kitu org. Ila mbongo character moja wanaigiza watu elfu Sura ya utoton nyngne ya ujana mtu mwingne uzee mtu mwingne yaan had movie inakosa muelekeo na uhondo Sa kama jua kali naila wako waiwil Bill wawili Maria wawili Duuu character moja wahusika mia moja
Kweli shishi hata mimi nampenda sana Samia.Tena tunamuomba wastaafu atuonee huruma mwezi July.Mishahara tunapata kidogo sana'tunashindwa kulipa maji'umeme.
Ubarikiwe shishi kwa kusaidia watoto yatima.lakini shishi mi najiuliza mbona unapokuwa kazini kwako pale shishi food unakuwa na muonekano mwingine.na ukiwa mitandaoni unaonekana vingine? Au ni camera ndio zinakun"garisha unabadilika?au ni mikiaji.ebu tupe siri ya urembo.maana nimeshakuja mara nyingi hapo shishi food kupata lunch ninavyokuona pale na ninavyo kuona mitandaoni tofauti aiseeee
Atumkatai lulu angepewa uhusika wake tofauti Maria wetu arudishwe 🙌🙌🙌
Kabisa kabisa maana katukera lamata kumtoa maria na kuweka mtu mwingne
Anakosea
TZ tuige movie za wenzetu
Yaan wenzetu watu weupe wanatoa movie wanaigiza toka utotoni had uzee awajawah badili muhusika hata kama muhusika anakumbikia maisha yake ya zaman unakuta sura ndio ile ile aijabadika yaan kitu org.
Ila mbongo character moja wanaigiza watu elfu
Sura ya utoton nyngne ya ujana mtu mwingne uzee mtu mwingne yaan had movie inakosa muelekeo na uhondo
Sa kama jua kali naila wako waiwil
Bill wawili
Maria wawili
Duuu character moja wahusika mia moja
Nakupenda bure shishi
Shishi baby kukupenda forever Acha tu ni seme shishi kiboko yaoooo❤❤❤
Nakupenda sana shishi
Kweli shishi hata mimi nampenda sana Samia.Tena tunamuomba wastaafu atuonee huruma mwezi July.Mishahara tunapata kidogo sana'tunashindwa kulipa maji'umeme.
Lulu mrembo pia n star bhn❤❤
Ni kweli ila hatumtaki
Haki luku mbona tuna muzoea toka angali mutoto hajawa kutuangusha. Nina yimani tumpe mda. ❤❤❤
Mmmmmh hapana mars is the best kwenye uhusika wa maria
Shishi nakupenda bre umewachana wanaume
My dada shishi
Lulu tunampenda na maria pia ila mpe lulu uhusika wake na maria arudi mambo yaendelee vzr
Lulu angepewa uhusika wa sarah
Yaan lishishi huwa liko real (halisi)
Maria bby aje
Sasa hapo mama kafikajee😂😂😂uuuuwiiii
😂😂😂 filam aina wachawi Wala mganga ingia shishi ushike nafasi Moja
Mbona jina la mama linakuwa kero kwa watu ..jamani ..mjiulize sasa...
Kwakwel Lulu ataaribu sjapenda maria arudi
Uniite basi dada ukifika tujumuike pamoja. Nakupenda dear❤
Shukurani nyingi zimfikie Mama Samia suluhu Hassan.😅
Shishi mnafki kwann umwambie eti tumpe muda .. ww ulitakiwa kupiga cm na kuuliza swali basi
Yaan Boralulu angempa uhusika wa Sahar
Kweli kabisaaa
😂😂😂😂 ila Shishi
Mimi naomba unishike mkono majina wangu
Vidole avijang'ara
Nan kasikia skelatun😂
😂😂😂😂jini
Anauwa wote na jua Kali inaisha😂😂😂
😂😂😂Shishi. mjinga WW et jin atakuwa wote
Lulu anajua bwana
Sasa ww shishi kwahy huyo lamata umemuulza au ndio nn
Kauliza na kamjibia ovyooooo
Mtamzowea tu
Wewe nawe na mama ako ndio maana unazushiwa
Anazushiwa nn?
Anazushiwa nini?
Raisi my foot😊
Yaani mtu anahojiwa vingine,anajibu vingine, huyu mama kafikaje hapo? raisi kwenye majukumu yake alaa!!!!
Shishi unabidi utufundishe kupika na ss
Ubarikiwe shishi kwa kusaidia watoto yatima.lakini shishi mi najiuliza mbona unapokuwa kazini kwako pale shishi food unakuwa na muonekano mwingine.na ukiwa mitandaoni unaonekana vingine? Au ni camera ndio zinakun"garisha unabadilika?au ni mikiaji.ebu tupe siri ya urembo.maana nimeshakuja mara nyingi hapo shishi food kupata lunch ninavyokuona pale na ninavyo kuona mitandaoni tofauti aiseeee
Yupo hivyo Hi yo unavyomuona ,hiyo siku huwa unamwangaalia kiuoga
😂😂😂
Lulu ni mcharuko hafai kwenye nafasi hiyo
Na wee kunia ulale twapenda lulu wewe mcheruko mwenyewe
Sasa hiyo miwani ya nini? Toa tukuone.
shishi muda mwingi una raha
Kwakweli mi sikion anachokifany huyo rais wake kwakwel
Mimi mwenyewe natamani ningezaliwa Tanzania tu juu Kenya viongozi wetu
wana
roho zatamaa roho zakishetani kenya yetu haina maendeleo tena
Dah yani nilikuwa nimesubiri kwahamu nimuone maria mwisho wake dah yani lamata amenipiga kitu kizito kweli kweli
Shenzi kbsa. Na kipini chako hicho puani
😂😂 jaman