Ccm imeanzishwa rasmi mwaka 1977 February 5 na chadema ikaanzishwa rasmi Tarehe 28 Mei 1992, aisee huyu jamaa anaakili kinoma. Mungu akupe umri mrefu kaka uzidi kutuelimisha
@@AmosMwijonge Sijawahi kushusha kile unafanya hata siku moja, maana kila uwekapo kitu ni kipya na wala sikuwahi kukiwaza kwa mtazamo wako. Wewe ni zaidi ya zaidi.
nimekupata sanaa alie elewa kama mm aweke likee zake na coment😊
Ccm imeanzishwa rasmi mwaka 1977 February 5 na chadema ikaanzishwa rasmi Tarehe 28 Mei 1992, aisee huyu jamaa anaakili kinoma. Mungu akupe umri mrefu kaka uzidi kutuelimisha
Amina
Huyu jamaa shikamooo umejua jui Pasua siasa ya Tz. Napenda mafundisho yako.
Unajua Sana mwijonge...izi siasa izi ebu subiri nipande Basi ili ambalo sijawahi kupanda lenye rangi za kaki nione huduma yake
Serikali zetu hazifai kabisa . Leo utasikia mpinzani akichukuwa madaraka naye anakuwa dereva wa basi asiye jihelewa
Siasa ya Tanzania hiyo,big up Mwijonge.
Heshima kwako Mwalimu..!! Mungu azidi kukubariki Afya, Nguvu na umri mrefu ili tuendelee kufaidika toka kwako.
CCM NA CHADEMA🙌🙌
Chadema sio Ya familia we mshamba....Hakuna chama cha mtu.....Enewei Chadulu is Ma'hood ✌✌
Hongera sana Kaka kipaji kikubwa
Kaliii sanaaa hiyooo bro your so bright
CCM v CHADEMA 🙌 SANAA
Mabasi mawili ni CCM na CHADEMA.
Asant sana kwa ushauri wako mzur mwalim Amos Mwijonge
Salute kwako mheshimiwa🤝🤝🤝
Mungu akupe upeo zaidi Mwalimu Kila unacho toa chuuma ila inahutaji akili Ili ujue maudhui ya hii video
Amen
Kijana mdogoo akili kubwaa safi sanaa❤❤❤
Salute Mwijonge. Yaani umeweza sana hii. Siasa zetu za Africa ndio zilivyo SALUTE
Tulio muelewa Mwalim Amos basi tugonge like zakutosha🎉 kuhus ili basi lakasikasini.
Nakuelewa sana mwalimu wangu
Nakukubali sana poa
Mwenyezi mungu azidi kukuweka🙏
Namba za mizigo ni miaka ya vyama vya ccm na chadema vilianzishwa.
Daaah madereva hao mmoja anatupeleka pabaya
Keki Ina macho na nywila
Akili kubwa, big
Kikubwa abiria tukaze tu😁😁😁
Kazi nzuriii 😮
Halimpoteza Baba angu mzazi Mimi ni Mtoto Wa CHADULU
pole sana
Kaka hawa wapiga debe ndo hatar mana hata dereva wa hili basi letu akuwa amesinzia huwa wanasema anaupiga mwingi
Shauri nzuri kbs
kazi nzuri broo
Mungu mbariki Amos mwijonge
Amen
Well done Amos
Mabasi mawili ni CCM na CHADEMA
Asant kwa ushauri mwalim.
CCM na CHADEMAAA😂
Fikra kuu sana hizi
Maana ya Ina macho na nywila
Big up bro kazi nzuri
Thanks
Leo ni pagum sana mafumbo makubwa akili mingi inaitajika kuelewa
Code imechanganywa ila Ina eleweka
Tungo tata!!! ishi sana Amos
Wakuuu alieelewa kinachozungumziwa naomb anijulishe leo sijaelewa kitu
Siasa
Siasaaa hyoo
siasa kazungumzia
Vyama vya siasa....
Anazungumzia siasa na ahadi tunazo pewa na vyma vya siasa
Mbowe chadema n dr slaa.😮😮
Kazi mufti
Big up bro
Ulindwe
Shikamoo mwijonge🙏✍️✍️
Mwalimu naomba unipe maana ya clip yako mabasi mawili
😅Daaah, kuchagua basi ni muhimu
Noma noma
more genius
Apa ni mikazo tu ya abilia no more
Genius
Tunasubiria nyimbo zianze kufundishwa shule tu
Umetisha mno bro
Mwalimu nimewai sikiliza video zako zote lakin hii sijaielewa kabisa
Siasa chadema na ccm
Sikiliza tena
Tafadhali sikiliza tena, Kama bado hujaelewa basi fahamu kwamba "HAIPO KWAAJILI YAKO" Ahsante..!!
Mabasi mawili- ccm na chadema
Abiria - sisi wananchi
Dereva ambaye hataki kuachia usukani- kiongozi wa taifa letu
@@AmosMwijonge vyama vya siasa
Wa kibaigwa tujuane 😂
NAOMBA NIKUITE AMOSI AKILI KUBWA
CCM na CHADEMA😂😂😂😂
Elima kubwa
Nakbal tcha
Kaka ufai
Kila siku huwa nasubiri video zako bro.
🎉😂🇹🇿sinamengi😂
Mabasi mawili ya chadulu😅
CCM ndo dereva
Sasa hapo ni wapinzani wa jadi😂
Huenda ikawa ni mke, mme na mcheuko
Asante
ccm vs upinzani
@Kenya Hello, zidi kutuelimisha
Habar naomba namba ya amos mwaijonge
Hii hapana hii siyo ya size yako hii mm nafanya.Nakupa 05% Umefanya locally sana.
Asante sana,,,I'm a local person
@@AmosMwijonge Sijawahi kushusha kile unafanya hata siku moja, maana kila uwekapo kitu ni kipya na wala sikuwahi kukiwaza kwa mtazamo wako. Wewe ni zaidi ya zaidi.
Kama ROMA
Wapiga debe ni vyombo vya abar