Duh...mfano mzuri wa kila mtu hawezi kukupenda upo humu humu....hivi hao waliobonyeza dislike ni nini hasa hawajakipenda any way tuliokubali hii kazi ni wengi mno
Tim Cee hao wana roho mbaya maana kunao wanaochukia karama za wengine. kama sio roho mbaya basi ni wale ambao hawapendi maarifa wanapenda mambo ya kipuuzi
You prolly dont care but if you are stoned like me during the covid times you can stream pretty much all of the new movies on InstaFlixxer. I've been watching with my brother for the last few days =)
Maongezi ya mawaidha yako yana manufaa chungu mzima. Napenda kila neno unalotamka si kwa hii video tu bali kwa video zote ulizochapisha kwenye mtandao huu. Ni ombi langu uweze pia kuchapisha mazungumzo kuhusu mapenzi na mahusiano. Shukran Bwana Mwijonge.
Mola akubariki na uzima pia nyongeza ya hekima, wasia wako unatusimamisha wima na kukutuongeza motisha nyakati ambazo Maisha yangeuka kua machungu,shubira . Bila ukakamavu wenye busara, dunia ya leo maisha uhasidi, wema hupo tena inatubidi kujielimisha kuishi maisha ambayo kufaulu kwa tengemea unayoyaelewa maisha .
Vijana wa sasa wakisikiliza haya maneno.bas taifa zima litakua zur.lakin .wataumia na kutoyasikiliza .mm yamenibadilisha..hasa kwenye ajila ninutumwa...balikiwa sanaa
Du leo umenitoa machozi kwa Hy sentence Kuna yule ajuhi na ajuhi Kama hajui huo ni mjinga mwelimishe.na Kuna yule anajua ajui Kama ajuhi huo mjinga achana ye du wewe kweli nampongeza Sana baba yako Usichoke kutuelimisha
dah....mjinga hajui kitu lakini yeye hajui kama hajui...mjanja anajua hajui kitu na anajua kama hajui... mshenzi anajua kitu lakini anajifanya hajui...mpumbavu je??? Hajui kitu lakini anajifanya anajua....maneno matamu sana, nipe like iwapo umependa mstari huo
👏👏👏Nimejifunza mengi
Asante Sana
Amos Mwijonge
Kaka we ni motivator sana...mungu akubariki.
Uko vzr sana bro & my teacher.
I like ua work
nimebarikiwa na maneno yako ya busara kaka..Mwenyezi Mungu katubariki na kutupatia watu wachache wenye busara kama wewe. usisite kutukumbushaa
Unakipaji kikubwa sanaa teacher,hekima nyingi
Duh...mfano mzuri wa kila mtu hawezi kukupenda upo humu humu....hivi hao waliobonyeza dislike ni nini hasa hawajakipenda any way tuliokubali hii kazi ni wengi mno
Tim Cee hao wana roho mbaya maana kunao wanaochukia karama za wengine. kama sio roho mbaya basi ni wale ambao hawapendi maarifa wanapenda mambo ya kipuuzi
Wakati mwingine busara au elimu ukute hawajui matumizi yake
But wengi wao roho mbaya
Safi kaka
Kweli bro
Sio kila ukipendacho ww
Na wengine watakipenda,
Swaaaaaaa
Sisi binadam, tuna mwanga na giza ...
Mashairi yenye mafundisho kweli
Daah..maneno...mazulisana...kaka nakubali
Kazi njema, Mwl.keep up educating the society
Nimeelimika sana hasapale uliposema binada tumeuumbwa namaskoo mawili na mdomo mmoja naskioo mawili
Upo vizuri bro
Unatoa mafundisho mazuri hongera sana
Asante sana gonga like kama wampenda mshikaji
You prolly dont care but if you are stoned like me during the covid times you can stream pretty much all of the new movies on InstaFlixxer. I've been watching with my brother for the last few days =)
@Keaton Davion definitely, have been watching on instaflixxer for since december myself :D
@Keaton Davion yup, I've been using instaflixxer for since november myself :D
@Keaton Davion yup, have been using instaflixxer for years myself :)
nkubaliiii saan teacher bigup
Youre the geat motivation speaker bro
big up bro amos maneno yako ni manzuri sana na elimu nzuri kwa jamii moyo ni huo huo ur a good mentor changing life of many God bless you
Maongezi ya mawaidha yako yana manufaa chungu mzima. Napenda kila neno unalotamka si kwa hii video tu bali kwa video zote ulizochapisha kwenye mtandao huu.
Ni ombi langu uweze pia kuchapisha mazungumzo kuhusu mapenzi na mahusiano.
Shukran Bwana Mwijonge.
Asante sana kwa ushauri
kaz nzur kwa wakati muafaka unastahili heshima 👊
Upo vizur brother mngu akuzidishie
Mwalimu nimeikubali kazi yako inanifanya nijue nipo wapi kwa karne hii
Uncle uko vizr kiukwel maneno yko huwa yana fanya nisikate tamaa na kujikuta nina weza kila jambo,jamb hili uncle ni ukomboz kwetu haswa kwangu mm.
Mola akubariki na uzima pia nyongeza ya hekima, wasia wako unatusimamisha wima na kukutuongeza motisha nyakati ambazo Maisha yangeuka kua machungu,shubira .
Bila ukakamavu wenye busara, dunia ya leo maisha uhasidi, wema hupo tena inatubidi kujielimisha kuishi maisha ambayo kufaulu kwa tengemea unayoyaelewa maisha .
Huyu jamaa anajuaa mashaallah
Kaka wewe wanifuza Sana kuhusu maisha nigependa usisite kutufuza Asante Sana
Falsafa yako itasaidia wenye hekima, Mungu akuzidishie uwezo zaidi
Ila kiukweli huwa nakoshwa sana na mistari huyu jamaa, mwenyezimungu amuongoze katika shughuli zake.
Vijana wa sasa wakisikiliza haya maneno.bas taifa zima litakua zur.lakin .wataumia na kutoyasikiliza .mm yamenibadilisha..hasa kwenye ajila ninutumwa...balikiwa sanaa
Mungu akubariki kwa maneno iyi.
Nice bro sina la kusema
2024,still watching this
Kama unaangalia video hii 2020 tujuane kwa like
Ni kweli sio watu wote watakao kupenda
Nakukubali mbwana mkubwa nipo Mombasa Kenya 🇰🇪
Daaaah asante kaka
Axante xana kaka
Kwahaya maneno sioni umuhimu wa kwenda shule
Amosi umebalikiwa na mungu nitapaje kuwa na mashauli ya hekima kama ya kwak
Nimekuelewa...
Daaa broo upo vzry pamoja sanaa
safi sana brother
Nimekukubali sana brother
Kazi nzuli kaka unajua sana❤❤❤
Nakubali sana mzee baba
Uchungu wa nyanyachu ndiyo utamu wake. Nimeipenda hiiii
Asante sana na napend sana kukusikiliz manen yak
Unaweza bwn.Amis Mwijonge
Good lessons from your speechs
nice kaka nakukubali sanaa ❤
Nakubali Sana huyu jamaa
Kaka mungu akupe upeo zaidi nimejifunza kitu....
kufanya kazi ya nguvu kisha usilipwe kitu bhasi umekosa kitu mana kuna mtu ameingiza kitu kwery
Mola akubariki kaka
Kweli mwanangu✔
Uchungu wa nyanya chungu ndio utamu wake
waa! jukumu nnalo la kumwambia mwanangu
Nakuku bali bwana amosi
Nairudia tena 2024
Kazi nzur broo
Du leo umenitoa machozi kwa Hy sentence Kuna yule ajuhi na ajuhi Kama hajui huo ni mjinga mwelimishe.na Kuna yule anajua ajui Kama ajuhi huo mjinga achana ye du wewe kweli nampongeza Sana baba yako
Usichoke kutuelimisha
Daaaahhh Maneno mazito
Daah hakika ni kwel
Kama una mkubar Mwalim Amos mwijonge Kwa mafundisho yake tumsaport Kwa kuweka stutas zake watu weng wajifunze kupitia yet asante.
Naipenda KAZI yako
Ahsante
Kweli kaka ww mkali wetu
Congratulations bro huwa najifunza mengi kutoka kwako
Kazi ambayo ilifanya nikujuwe
ongera mwalimu wangu wa entrepreneur
Nice kaka
Mungu akubariki uendere ivo
mmh! mie sisemi chochote huyo mwana Ni Mimi nimeyasikia mwl
Aisee umenipata vzuri
Duh!
In my Burundi country never found counsellor like u Mr Amos.
Respect to u my sir!
Can u add me in your group?
meals 2020 raiki hapo jamani
Wajinaaaaaaaaa nakuelewa mnooooo
Yeah, maneno mazuri ujumbe mzuri
donwload cjajua bd
Asante sana kwa mafundisho manzuri
vizuriii sana
Kuna masomo mengi ndani ya hii audio Mwenyezi Mungu akuzidishie
nakuelewa sana broo
Safi kaka tupe zingine
dah....mjinga hajui kitu lakini yeye hajui kama hajui...mjanja anajua hajui kitu na anajua kama hajui... mshenzi anajua kitu lakini anajifanya hajui...mpumbavu je??? Hajui kitu lakini anajifanya anajua....maneno matamu sana, nipe like iwapo umependa mstari huo
Mwijonge tuwasiliane tafadhali
Ubalikiwe kaka
Nic vdeo😘😘😘
nice kaka
God brother thanks
good my bloo
Kaka umetisha mm nimwana mziki chipukizi baonaonba sapot yako kama butojali natumia jina rizzo boy tz kwenye mitandao yote yakijamii
Asante kaka kwa ubunifu
Hogera kwa manen mazur
Vizuli sana
Yap keep it up kjana
Asante kaka
naomba ujadili uchumba my
😂😂😂😂
🤞🏻🙏🏿🙏🏿🌺🌺
Wewe ni shujaaaa
My favourite one✌✌
Jeshiiiii
Ujumbe safii jembe
Namna ya kufikiri na si nn cha kufikiri
Navipenda setesi Zuri kweli
Very inspiritional
Asante sana kwa nakala hii