🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024
  • #simbasc #yangasc #azizki
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 21

  • @dr.solomonolelogilunore9391
    @dr.solomonolelogilunore9391 14 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi ni mwanachama hai wa Yanga. Aziz Ki .ameanza nyodo zake kama wenzake waliotangulia kina Feizal, Mayele, na wengine. Nashauri Uongozi hata akija Bure msimchukue, kwani muda wa usajili bado tafuteni mwingine mdogo kwa bei rahisi. Hata aende Simba asitutishie nyau. aende !!zake mpeni kwaheri.

    • @sakinasakina1286
      @sakinasakina1286 13 วันที่ผ่านมา

      hahahahahaha jinga wew inawauma cyo simba hawamtaki

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 14 วันที่ผ่านมา +2

    Simba waache uzembe wa kushindana waachane na Azzi waangali uhitaji wa simba mm naona simba kama bii3 zipo wadili na Elia Mpanzu ana uwezo mkubwa kuliko Azzi

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 14 วันที่ผ่านมา +1

    Wanasimba msidanganywe na wachambuzi hawa Injinia hawez kumwachia Azizi na wala simba hawamhitaji .

  • @ShukuTete-wb1fp
    @ShukuTete-wb1fp 14 วันที่ผ่านมา

    Okeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @AnnieChikasa
    @AnnieChikasa 14 วันที่ผ่านมา

    Akitaka kuondoka aende salama,,,aliondokaga mayele na ushindi ni uleule na maneno yalikua mengi kama hivi

  • @BoscoBoniface-v2b
    @BoscoBoniface-v2b 12 วันที่ผ่านมา

    Simba wameshafilisika hawawezi kumsajili Aziz wala haoni wachezaji wanamvutia Simba ni utopolo mtupu waliousajili msimu huu kama amuamini ngoja ligi ianze ndipo mtakapoamini kuwa akuna usajili wenye tija uliofanyika Simba msimu huu

  • @ShukuTete-wb1fp
    @ShukuTete-wb1fp 14 วันที่ผ่านมา

    Watani mmeingiliwaaaaaaaaaaa

  • @humphreyngallawa5630
    @humphreyngallawa5630 14 วันที่ผ่านมา

    hapo sio udhaifu wa chama,chama anakiburi na jeuri,na mpangaji wa matokeo

  • @begumisachristopher4697
    @begumisachristopher4697 14 วันที่ผ่านมา

    Subiri mwisho tuone nani ataumbuka

  • @user-wj1fr5fd7l
    @user-wj1fr5fd7l 14 วันที่ผ่านมา

    Nyie ujinga mtauacha lini?

  • @AbdallahMbunda-x2r
    @AbdallahMbunda-x2r 14 วันที่ผ่านมา +1

    Yanga haina tatizo kaondoka mayele na ubingwa upo wakimchukua sawa aende

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 14 วันที่ผ่านมา

      Unajifarii mbona mmemchukua chama😂

    • @joycemmassi5046
      @joycemmassi5046 14 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 12 วันที่ผ่านมา

      @@sarahgaula2220 Lkn hakuleta ubingwa kwenye timu yake huu ni msimu wa tatu.
      Ameona sehemu ya makombe ni Yanga tu kwa misimu hii 20 ijayo.

  • @MwalimuAdamu
    @MwalimuAdamu 14 วันที่ผ่านมา

    Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu mchezaji anaangalia maslai

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 14 วันที่ผ่านมา

    Nye nimatapeli kwendeni huko

  • @AllyMohammed-nv5sj
    @AllyMohammed-nv5sj 14 วันที่ผ่านมา

    Imeisha hiyo ki ni mnyama😂😂😂😂

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 12 วันที่ผ่านมา

      Amewashinda Chama, mtamuweza Ki?

  • @user-lr6kf6bf9l
    @user-lr6kf6bf9l 14 วันที่ผ่านมา

    Mafala Hawa watafuta likes na views nkest

  • @mahunapaschal
    @mahunapaschal 14 วันที่ผ่านมา

    Munapoteza muda tu huyo ni Mali ya watu