ETI TUSIZUNGUMZE SIYASA MSIKITINI DINI NA SIYASA NI KITU KIMOJA WEWE NI MTOTO MDOGO SANA KWANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 137

  • @WAHUJILLCOMAT
    @WAHUJILLCOMAT 29 วันที่ผ่านมา +8

    Tumuogopeni allah enyi masheikh....
    Dunia ni mapito tu
    Wewe umenasihiwa kwa ajl ya Allah...
    Hivi ni sawa kusema bora zitutawale tawala hizi hizi za kidemokrasia kuliko kutawaliwa na dola ya kiislam 😢
    Subhaanallah
    Lkn tujue kukutana na Allah ni haki biidhnillah

  • @hadjihadji197
    @hadjihadji197 29 วันที่ผ่านมา +8

    Sheikh wangu upo sawa sawa kwenye Darsa yako binafsi nimetaalamika kwa kiwango kikubwa, ispokua kumpigia Debe Kiongozi wa Kisiasa kwenye Darsa ni kuwagawa Waumini. Bachu yupo "right ".

    • @ShekheMula
      @ShekheMula 28 วันที่ผ่านมา

      Nahuu nd uadilifu mtu alipokosea unamuambia na patia unamuambia sio kukataa yote kwa sabb ya kosa moja

  • @Mushkey-r8x
    @Mushkey-r8x 29 วันที่ผ่านมา +10

    Hujaambiwa USICHANGANYE DINI na SIASA usipige kampeni ndani ya miskiti....MWINYI apewe miaka 20 tena attujengea mpk majumba yetu.....hvo ndo ulivotanabahishwa mm nlikusikiliza vzr tu

    • @Mushkey-r8x
      @Mushkey-r8x 29 วันที่ผ่านมา +1

      Na Salama yako umemsifu MWINYI lkn ungemsifu mwengine wenyemamlaka tyr washakushuhulikia...na vyombo vya habar vingekuwa havina habari zaidi ya yako ww kuzungumzia dini miskitini

    • @Mushkey-r8x
      @Mushkey-r8x 29 วันที่ผ่านมา +2

      Ktk darsa yko kn wafuasi wa vyama tofauti we fundisha Taqwa tu hpo

    • @zahormohammed4476
      @zahormohammed4476 26 วันที่ผ่านมา +1

      Huyu Adil TV nae ajitathmin maana anawapa airtime wasiojielewa wanafatakanisha waislamu

    • @KhatibAllynassor
      @KhatibAllynassor 25 วันที่ผ่านมา +1

      She usiedeshwe na shahawati zako ukasemaambo abayo simazuri kwa pahala ulipo yaogeya tatizo usitumie mebari kupiga kapeni utayaeudisha yaliyo pita utawagawa waumin

    • @muhammadmuhammad5043
      @muhammadmuhammad5043 12 วันที่ผ่านมา

      Huyu Ni CCM Hawa Watu Sikuzote Hawaelewi Kipi Kiongewa Kwasababu Hajuwi Na Hawaelewi Nini Kicho Kizuri Na Kibaya Wao Wapo Tuu...

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 28 วันที่ผ่านมา +6

    Leo anaongea kwa kujikosha maana mohd bacho kashampa somo😊

  • @mustafamchuchuli468
    @mustafamchuchuli468 5 วันที่ผ่านมา

    Sio kweli sheikh,
    Kuingiza kampeni za siasa msikitini si sawa. Utawagawa waumini wako

  • @mohdkombo3397
    @mohdkombo3397 28 วันที่ผ่านมา +4

    Muongo mzushi yaani dola ya kikafiri itakuwaje si ya kidhulma?
    Hata shulma huijui? Kutawaliwa kinyume na sheria za Allah si dhulma?
    Ukisema dola ya kikafiri haitendi dhulma kwa hiyo sheria za mwanadamu zinafanya kazi kama za Allah swt?
    Wacha kukufuru kama Hujui nyamaza

  • @Talib-j5x
    @Talib-j5x 25 วันที่ผ่านมา +3

    Hata Mtume aliambiwa mtoto mdogo kubali kunyooshwa elimu unayo ila mroho wa Dunia

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 29 วันที่ผ่านมา +5

    Jamani kama hii dini hamuijui vizuri msifundishe ni hatari mtakujwa ulizwa

  • @omarkhamys9818
    @omarkhamys9818 28 วันที่ผ่านมา +5

    Jitetee kweny eneo ulilokosolewa USIPIGE KAMPENI MSIKITINI

  • @abdullkhamis5406
    @abdullkhamis5406 28 วันที่ผ่านมา +2

    Lingalieni Uadilifu wacheni Malumbano. Tumuogopeni Allah.

  • @MbaroukAbdallah-k8h
    @MbaroukAbdallah-k8h 28 วันที่ผ่านมา +2

    Sheikh MUHAMMAD BACHU amefunga mjadala, sheikh wang tuiache Dunia tuangalie Akhera

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 28 วันที่ผ่านมา +4

    Eti mfumo huu unafaa kuliko dola ya kiislamu:: maana tutaipindua…haya maneno yako na sio maandiko na huyu inaonekana hayupo msikitini yupo chumbani kwake!!!! Shegh bachu kashafafanua vyakutosha

  • @feisalmbamba9729
    @feisalmbamba9729 23 วันที่ผ่านมา

    Allah akusamehe na kisha allah akuhifadhi amin

  • @mohamedumri4176
    @mohamedumri4176 28 วันที่ผ่านมา +1

    SHEIKH NIMEKUELEWA ELMU NI HIKMA.
    MAASHA ALLAAH.

    • @Tandalesse
      @Tandalesse 25 วันที่ผ่านมา

      Timu demokrasia dhidi ya Uislam wajidhihirisha wazi

  • @ABDULRAHMANIDAS
    @ABDULRAHMANIDAS 27 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu bwana anawatia dosri maswahaba hajui anachozungumuza hii ndio dosari ya umma huu kila mtu ni shekh akishajua aya mbili tatu tayari tayari anajiona ni shekh anaweza kuuzungumzia uislamu.

  • @SalumKhamis-t5d
    @SalumKhamis-t5d 28 วันที่ผ่านมา +2

    Tatizo njaa ndio inakufanya kukataa dola yakiislam isisimame iliupendwe na na wakubwa muogope mungu

  • @HajiJuma-k3l
    @HajiJuma-k3l 23 วันที่ผ่านมา

    Hiyo sauti yake huyo mzungumzaji inafanana Muheshimiwa ......... ......... ..........Hapa kazi ipooooo! Tena pevu.

  • @mbingwaali7791
    @mbingwaali7791 20 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo ruhusa kupiga debe kwa wagombea na kutoa indhari ya kupindua ,shekh tuna kufahamu

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 25 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani la wapi jitu hili

  • @Aakhar-z3c
    @Aakhar-z3c 28 วันที่ผ่านมา +2

    Ndio aina hii ya mashehena wanaotakiwa na serikali ya smz.

  • @dogoabdou
    @dogoabdou 28 วันที่ผ่านมา +2

    Hwa mashekhe wana penda kiki Kwa serekal ya ccm

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi 23 วันที่ผ่านมา

    Swali ni moja tu ukitaka kujua km nchi haipatikan kw siasa hii bila ya dini hivi umeona nchi gn inayoongozw kw dola ya kiislamu hlf rais wake akawa mwanamke au ni m2 wa dhulma ww umeona wp hlf ndo unajita muislam, huko tuache coz uwanja wa siasa tukianza kuuingia bc utakua mjadala mkubw na kipind hichi unaweza kusababisha w2 wapigw kw ujinga wako,na nina ws ws ww unalipw na serekal au ni usalama umetumw na viongoz cha msingi ulichoambiw ww ni kwamba unapotoa darsa usiwe mpendeleo wa kutaja siasa just toa darsa uondoke siasa zitolee njee ya msikitin hlf mpigie kampen umpendae ila wing wa wanaojua hakki bx hawana muda wa siasa coz wanajua kua ni mchezo mchafu na hauna uadilifu wwte kw iyo jiarib kuelewa vzr unayoyazungumza kabla hujafika kw allah...

  • @ShaibmbaroukHemed-mi5rf
    @ShaibmbaroukHemed-mi5rf 26 วันที่ผ่านมา +1

    Umeambiwa usipige kampeni ufahamu vizuri ukitaka zungumza siasa nenda kwenye jukwaa shk muhammad kakufahamisha vizuri mpigie kampeni umtakae lkn nenda jukwaani

  • @KibanasKhamis
    @KibanasKhamis 23 วันที่ผ่านมา

    Acha unafik shekh

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 25 วันที่ผ่านมา

    Mtihani !!mtihahani unaowe huijui mashariki Wala maghari kasemakweli mtume pale alipo muusia moadh kuhusu ulimi

  • @ammaryabubakari6121
    @ammaryabubakari6121 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi hata sielewi ,kwahakika, Mohammad bachu, alitekeleza wajibu, kulingania miaka thalathini, sio hoja
    Safisheni nia ,fanyeni ibada kwa ikhlaswi,

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ukuina mtu akikosolewa huja juu
    ujue kuwa kweli amekosea
    ila tuharaki kuambiwa ukweli
    Tatuzo mashekg zetu huwa hawataki kuambiwa
    UMEAMBIWA UCNTAJE MTU KUHUSU SIASA NDAN YA MCKITI
    C HATUANGALIA UMEI UKIKOSEA TUNAKURRADDIHII N DINI YA ALLAH CIO YA MTU HAKUNA UMRI WALA UNINI

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 28 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu ashakosolewa bado hajaelewa,,huyu hana usheghe mmoja

    • @masoudmasoud8138
      @masoudmasoud8138 25 วันที่ผ่านมา

      Kakosolewa na nani na like jibwa la bachu ???

    • @Tandalesse
      @Tandalesse 25 วันที่ผ่านมา

      @@masoudmasoud8138 wapinzani wa Sheikh Muhammad Bachu(hafidhahuLLAH) mmeshindwa na badala yake mwabaki kubwabwaja na kumuita majina mabaya huyo mwalimu wenu:-
      01)Majadiydah wamwita "hizb",
      02)Masufi mwampa majina ya
      wanyama(Sheikh Haji Upepo amwita Sheikh kwa jina la "kenge",wewe wamwita Sheikh kuwa ni "jibwa" wakati ndugu Yusuf Diwani amtusi Sheikh eti " shenzi") lakini wenye akili hutambua kuwa mgonjwa akilia sana wakati wa kudungwa sindano ni wazi kuwa umefika muda wa daktari kuisukuma dawa kuelekea mwilini mwa mgojwa.

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 23 วันที่ผ่านมา

    Hata kama ni mtoto kwako kama Kuna haki muambiwe umefanya sivyo kubali usilete mihemko kwenye dini siasa msikitini haifai nje fanyeni mtakavyo ila ndani ya miskiti ipeni heshima nyumba ya Allah subhannahu wa taala

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 28 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ulisoma kiasi kidogo plz Sasa wataka kuyasema makubwa lugha bado sana mambo ya media yanafichua mengi sana

  • @SuleimanHaji-d9y
    @SuleimanHaji-d9y 28 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe.shehe.kamaunapendahaki.elimisha.dola.ya.kisilam.isimame.zanzibar

  • @AbdullahKhamis-q8k
    @AbdullahKhamis-q8k 28 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa anataka fupas ndio anajipendekeza kwahao anaowapigia debe

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud 28 วันที่ผ่านมา +2

    Haki na uadilifu ndio Kila kitu kuficha huku ukafichuwa kule Bure tu mungu Kesha weka utaratibu kuufuwa au kuupindisha ni ww baba

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 25 วันที่ผ่านมา +1

    Shekhe huu wakati ni mwengine watu wamesoma wanajua wewe kkushakosea kukubali TU ndio inshu tumche Alwah

  • @Mushkey-r8x
    @Mushkey-r8x 29 วันที่ผ่านมา +3

    Na Salama yako umemsifu MWINYI lkn ungemsifu mwengine wenyemamlaka tyr washakushuhulikia...na vyombo vya habar vingekuwa havina habari zaidi ya yako ww kuzungumzia dini miskitini

  • @MirajinyasukaMirajinyasuka
    @MirajinyasukaMirajinyasuka 24 วันที่ผ่านมา

    Mungu atuepushe na kusema kabla ya kusoma huyu sheikh anatumia njia ya kuwa amefanya dawa miaka 30 kuwaaminisha watu kuwa anajua 😂😂😂na kusema kuwa watu wasome lakini sheikh ukimsikiliza anadanganya sana kwenye darasa zake ndugu yangu haji upepo usimjibu huyu mtu anamapungufu kidogo akili inashida

  • @YussufYussuf-w9m
    @YussufYussuf-w9m 24 วันที่ผ่านมา

    Shekh acha kibri acha kibri acha Kiri Wewe ni mdogo Kwa Kwa wakubwa za KO Kwa hupaswi kuwafundisha acha kibri

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 21 วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh mswalie Mtume! Usizuge ww ulikufuru ulivosema tuwabaya na ikija serikali y kutukataza mabaya utaipindua na hao unaowajuwa wewe. Ungetubu kisirisiri bd Waja Tena hewani.

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 28 วันที่ผ่านมา +2

    Usipigie debe chama fulani kua ndio kichaguliwe. Ndivyo ulivyoambiwa. Sema tu Waislamu tufanye haki na tudumishe amani. Lakini sio kusema mtu fulani achaguliwe hiyo itakua unalingania uchaguzi badala ya kulingania dini.

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 28 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mzee na mkumbuka anatowa darsa pale makondeko kinuni nyuma ya mskiti ngumi ndipo kwenye mskiti anao darsisha kwaiyo ndo huyu alompigiya kampeni Mwinyi au macho yangu tu nimemfananisha kama niyeye kumbe naye nibunju 😂😂

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 24 วันที่ผ่านมา

      Ndieeeee huyu akiongea hafahamiki anaonge mada fulani basi atachukua mada nyengine atoe kama mfano lakini haufanani zaidi ya kukoroga maongezi

  • @AliMpenda
    @AliMpenda 24 วันที่ผ่านมา

    Jee huyo unaemsema kakubali kutekeleza ahadi?

  • @ShabaniRashidi-d2v
    @ShabaniRashidi-d2v 26 วันที่ผ่านมา +1

    Masheh mnaingiza watu ktk shirk 'mnawaingiza waumini kwenye mambo ya katiba na demokrasia ,siasa imehararisha riba,pombe?,kamari,zinaa,warumi wameanzisha demokrasia ili kupingana na sheria za ALLAH,walivunja dola za kiislam na wakaweka mifumo yao ya kitwauti,kama mmeshindwa kupigania utawala wa sharia KHILAFA,basi msituingize kwenye shirki ingieni wenyewe kwakuwa nyinyi mnaipenda dunia

  • @ShekheMula
    @ShekheMula 29 วันที่ผ่านมา +2

    ikiwa mtu ni msomi kweli hawezi sema pamekataliwa dola ya kiislamu mpaka akafika kutoa maneno ya ovyo

  • @MirajiKhamis-f7b
    @MirajiKhamis-f7b 24 วันที่ผ่านมา +1

    Ashapata umaarufu buree

  • @FatawiSheha
    @FatawiSheha 24 วันที่ผ่านมา

    Ni sawa dini na siasa nikitu kimoja ila shehe hutakiwi umpigie mtu kampeni unatakiwa uzungumze siasa kijumla

  • @AliiKhalid
    @AliiKhalid 27 วันที่ผ่านมา

    Ss kweli kusema kuw zanzibar hapana upizan ndio uadilifu hip?unajuw visit kiss zanzibar inaongoza kw upizan ila unakitu unatafuta😊😊😊

  • @MBAROUKSAADHUSSEIN
    @MBAROUKSAADHUSSEIN 25 วันที่ผ่านมา

    Haujaambiwa usichanganye dini na siasa bali usihubir siasa Msikitini, Neno ni Msikiti wala sio siasa na dini bali neno ni siasa ndan ya msikiti. Onjoo useme kua siasa inafaa msikitini kwa sheria za dini.

  • @ABDULRAHMANIDAS
    @ABDULRAHMANIDAS 27 วันที่ผ่านมา +1

    Acha kupotosha watu waambie waislamu demokrasia ni siasa za kikafiri, kama unataka kuzungumzia siasa fundisha watu ni ipi siasa ya kiislamu, na kama hujui siasa ya kiislamukaa kimya

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 28 วันที่ผ่านมา +1

    huyu shekh ni mtu wa demokrasia na iko siku utamuina

  • @salem9874
    @salem9874 28 วันที่ผ่านมา +1

    Au anataka nafasi huyu jamaa katik ofisi ya mufti Apandiee Prado

  • @SalehLoffy-kn6oh
    @SalehLoffy-kn6oh 23 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli siasa na dini ni kitu kimoja wanaosema ni tofauti hao wanatumiwa na serikali au wamerithishwa na wao wakapokea lakini kusema Dola ya kiislam isiwepo kwasabab watu wataipnduwa hapo umekosea

  • @dogoabdou
    @dogoabdou 28 วันที่ผ่านมา

    Ww shekhe ubwbwa sio sehe wakuitetea au kuitetea nakusemea dini ya Allah

  • @AliiKhalid
    @AliiKhalid 27 วันที่ผ่านมา

    Kwa mtu😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 akimzulum mtu 😂😂

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf 25 วันที่ผ่านมา

    Yani mpka shehe unafanya uchawa mpka msikitini usipigie kampeni mtu sio kazungumz siasa

  • @drmustapha_psychologyandle6501
    @drmustapha_psychologyandle6501 21 วันที่ผ่านมา

    Basi ongea habari za kusifu Chadema na ACT wazalendo kidogo. Fanya uadilifu uone raha yake

  • @ShekheMula
    @ShekheMula 29 วันที่ผ่านมา +1

    turekebisheni nafsi hatuna nia nzuri hatuna iswafu

  • @dogoabdou
    @dogoabdou 28 วันที่ผ่านมา

    Kwanza hafhmili anaporoja tu ana somexha madagan

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 23 วันที่ผ่านมา

    Subirini nchi ikimaizwa kuuzwa mtajua la kufanya leo pa kuzikana hamna mpaka mabonde ya mpunga yameuzwa na wanunuzi ni mayahudi baadae mtafukuzwa

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 28 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani SI ufanye mutwaalas kwanza yajriiihim yajriiihim mwisho yajurruhum

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 24 วันที่ผ่านมา

      Maaana yake ndo nini

  • @hamadsalimhamad2399
    @hamadsalimhamad2399 23 วันที่ผ่านมา

    Assalaam alaykum wadau musimtukane mtu yoyote ,anaepotoka mwambieni tuu jukumu lenu litaku limekwisha itabaki kazi kwake mwenyewe akiamua kufanya kibri hiyo sisi haituhusu.

  • @Abdul-latifJuma-nr6hf
    @Abdul-latifJuma-nr6hf 28 วันที่ผ่านมา

    Hizimedia mm nahisiwengine hawana uwezo wakutoajambo Kilamtu akaona hawana uwezowakujirisha kwenye midia kwanza waendeleekusoma

  • @AliMpenda
    @AliMpenda 24 วันที่ผ่านมา

    Wewe acha kuchezea dini kwa maslahi yako acha upuuzi wewe ni mchonganishi juu ya upande wako,pia bachu alichokutaka nikukuweka sawa kwasababu utashi ulikubeba,sasa unazidi kupotoka unashida kuwa mkweli ila ushajipoteza

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 28 วันที่ผ่านมา +1

    ALIWAHI KUTOA MAWAIDHA KUWA MFUMO AMBAO UPO KINYUME NA SHERIA ZA ALLAH NI MFUMO AMBAO HAUFAI YAANI MFUMO WA DEMECRASIA HAUFAI ALISEMA HIVYO ILA NAONA KABADILIKA

    • @Tandalesse
      @Tandalesse 25 วันที่ผ่านมา

      Labda keshalambishwa asali huyo.

  • @feisalmbamba9729
    @feisalmbamba9729 26 วันที่ผ่านมา

    Mie naogopa kuchangia kwasabu...
    Lkn hana upeo wa siasa hizi angeliziacha tu nadhani ana mapungufu kama binadamu wengine
    Kutembea kuona dunia ya leo kufanya tathmini ya maendeleo na kupita mitaani akajua watu wanaoishi mitaan nk

  • @IddySalum-e1o
    @IddySalum-e1o 28 วันที่ผ่านมา

    Wewe shehe mbona unajizonga hukubali Kosar

  • @salimkhamis3638
    @salimkhamis3638 21 วันที่ผ่านมา

    Ulitakiwa ukubali tu kama ulichokifanya umekosea. Hakukuwa na haja ya kuja tena ukaruka ruka

  • @HajiHaji-l6w
    @HajiHaji-l6w 27 วันที่ผ่านมา

    Halaf hata TAREKH huijui weeebabu sio Abdallah Bali Ammar

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 28 วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh haifai unagawa watu kaa njee uzungumze hayo sio vile ulivo sema atakae aje ahataji semeni nifunge darsa ni maneno gani hayo ya jazba

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd 23 วันที่ผ่านมา

    Huna bee wala tee wewe....chawa wewe na huyo dr mwinyi yeye mwenyewe anakushangaa.

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 25 วันที่ผ่านมา

    Huyu kasoma kidogo laakin hana hekima anaropokwa tu wewe umepewa darsa tumia darsa ulopewa usirudishe mapambano

  • @Talib-j5x
    @Talib-j5x 25 วันที่ผ่านมา

    Kiapo gani ninacho apwa bila yakutia udhu na sihata wale wanawake wanaapa haliyakuwa wapo kwenye siku zao

  • @Ally-h9c
    @Ally-h9c 22 วันที่ผ่านมา

    Zanzibar ilikua ni kitovu cha elimu asa ivi ni kitovu cha maasi hata huyu jamaa anaongea maasi matupu ila muda ukifika itarudi dini Zanzibar

  • @ShekheMula
    @ShekheMula 29 วันที่ผ่านมา +1

    Hapajakataliwa dola ya kiisla mu labda mna jambo tu kwenye nafsi zenu

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 24 วันที่ผ่านมา

    Halafu tumuulizeni hiyu ukhawariji kashaiwacha uamsho hawakubaliani na huyo alie mpigia kampeni

  • @ShekheMula
    @ShekheMula 29 วันที่ผ่านมา +1

    matusi yote yanaandikwa endeleeni kutuka tu

  • @othmanali8139
    @othmanali8139 24 วันที่ผ่านมา

    Mbn Masheikh wa Muamsho walifungwa kwa kuambiwa wanachanganya Dini na siasa Vp ww
    Wacheni kuendekeza njaaa

  • @RASHIDHUSSEIN-qd4km
    @RASHIDHUSSEIN-qd4km 28 วันที่ผ่านมา

    Huyu bwana namkumbuka sana

  • @ummuraw6372
    @ummuraw6372 25 วันที่ผ่านมา

    SIASA NA DINI NI KITU KIMOJA NAAM LKNI HAITAKIWI KUPIGA KAMPENI ZA SIASA MSIKITINI MSIKITI NI NYUMBA YA AMANI KWA WOTE

  • @HajiHaji-l6w
    @HajiHaji-l6w 27 วันที่ผ่านมา

    Hamna kitu hapo kwa mwenye akili hapo Bado anaongea siyasa

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 28 วันที่ผ่านมา

    huyu shekh anaitetea batil na mazali kashalisimamia jambo hilo basi labda ashuke mtume sasa

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 25 วันที่ผ่านมา

    Kama anaona ni sahihi Kwa nn anapendelea upande mmoja na hakemei dhidi ya dhulma zao Bali anawapamba?
    Kaweka Hela mfukon Wala hadumbui mtu

  • @MohdJuma-w6l
    @MohdJuma-w6l 28 วันที่ผ่านมา

    Shehe gn uyu shehe mkereketwa hana ata elimu kwanza ata hananii na uo ushehe

  • @MBAROUKSAADHUSSEIN
    @MBAROUKSAADHUSSEIN 25 วันที่ผ่านมา

    Ama nikukubali kama shekhe Mohd alipaswa akuite then ww uje urudi kwa waislam uzungumze ukweli.
    hilo naungana nawe alipaswa ivyo!

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 29 วันที่ผ่านมา

    Unaweza kuleta dini kwenye siasa lkn siasa ktk dini haiwezekani

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER 28 วันที่ผ่านมา +1

    Unaongea utumbo ww shekh wa makondekko

  • @AbdullwahabAbdullqadir
    @AbdullwahabAbdullqadir 25 วันที่ผ่านมา

    Kwani unadhani uzuri wa kiongozi ni kujenga majumba sio basi wakoloni wasingeondoshwa ktk miji maana wamejenga mno,sheikh kama ccm ni ww na family yako sisi usituchanganye na baatil

  • @kassim1262
    @kassim1262 27 วันที่ผ่านมา

    Ndio walewale wsiotaka haki wala hawaijui aya inayotaka tufanyiane haki tofauti yeye amevaa kanzu wenzake wnavaa flna zakijani

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 28 วันที่ผ่านมา

    Yani mnadhani kuwekewa maicrophone tu na kiti ndio ushakuwa Sheikh weeee kanyaga kanyaga zko za lugha na nahwu zitakufanya ubutu wako ujulikane tahadhari

  • @KashthuriKashthuri-n7u
    @KashthuriKashthuri-n7u 20 วันที่ผ่านมา

    Wewe shekh huna mpya acha siasa zako za kipuuzi msikitini, mbona hukuongea kuhusu haki na dhulma ivi wewe huoni izo dhulma zinazofanywa wakati wa chaguzi!! Mbona hukemei

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 28 วันที่ผ่านมา +1

    Ghurafiiii

  • @feisalmbamba9729
    @feisalmbamba9729 26 วันที่ผ่านมา

    La pili
    Unakisia tu hayo unayosema una hakika hawatorejea hao unaokubali kua wamekua wema au kwasabu wamekamata mpini jee kesho wataendelea na uadilifu wanaotaka watu washirikiane

    • @feisalmbamba9729
      @feisalmbamba9729 26 วันที่ผ่านมา

      Au utasema kesho hujui kitachotokea huku ukiamini uhalisia

  • @amaroo1220
    @amaroo1220 28 วันที่ผ่านมา

    Hamna siasa katika dini? Dini ndio munaziingiza ndani ya siasa. Hilo ni la leo, kesho munakuja na yapi?

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER 28 วันที่ผ่านมา +1

    Ww kibaraka wa mwinyi

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 27 วันที่ผ่านมา

    Usikurupuke wewe Sisi tumefahamu usimpigie upatu kiongozi yeyote. Wa sasa ndani ya miskiti tunajua km ktk uislam siasa imo wewe tunakuona KAZI yako ni kufanya kampeni ndani ya miskiti kusema bora abakie kiongozi Fulani ktk utawaala wa nchi na Hilo ndio halitakiwi usilazimishe watu waampigie Kura Nani c KAZI yako

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 27 วันที่ผ่านมา

    ALF NA NYIE BAADHI YA CHHANNEL MKISHA KUOONA WATU KM HAWA WAMEANZA FITNA KM HIZI ACHANENNI NAO HAWA WENGIINNE NI FITNAA

  • @ShekheMula
    @ShekheMula 29 วันที่ผ่านมา

    basi atakua amertadi au mumsilimishe tena

  • @wakizimbaniwakizimbani6596
    @wakizimbaniwakizimbani6596 27 วันที่ผ่านมา

    Kama wewe ni shekhe kweli kwanini usihimize haki wala sio amani?,ikiwa haki itasimama lazima amani itakuwepo ndio maana Allah hajahimiza wala kuamrisha amani kahimiza haki, shekhe ubwabwa weye

  • @MuslimBakar-uf6xd
    @MuslimBakar-uf6xd 17 วันที่ผ่านมา

    Kuna mashekh na machawa msipate tabu nyiee

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 28 วันที่ผ่านมา

    Huyu kilanza kabisa

  • @masoudkhamisthaiboxing1011
    @masoudkhamisthaiboxing1011 24 วันที่ผ่านมา

    Huyu sheikh ubwa ubwa lkn wajinga zaidi ni hao wanao hudhuria hizo zinazoitwa darsa zake