POLISI WASIINGILIE UCHAGUZI MKUU 2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu azid kukuongoza mzee wetu naomba mungu akusimamie na asije akakubadilisha hakik kwa mung sio mbali mung akupe hatma njema

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر วันที่ผ่านมา +2

    Hongera mh said sudi hapo umenena.waeleze hao mafisadi

  • @YussufPandu-es7ou
    @YussufPandu-es7ou วันที่ผ่านมา +2

    SAA nyengine redio mbovu,inazunghmza ukweli,,sudi kwasasa umekuwa mpinzani,,hongera

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ninashangaa sana Tanzania mapolisi ndio wanaoingia Uchaguzi wa wananchi, wananchi hawana HAKI ya kumchagua kiongozi wanayemtaka.

  • @MohdSuleiman-k1o
    @MohdSuleiman-k1o 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mwenye no yake naomba haraka sana niungane nae media hii naomba munisaidie wala mm sio mtekaji jaman

  • @idirisakhamis-m3i
    @idirisakhamis-m3i วันที่ผ่านมา +1

    Hongora Sana mzee, you are really right

  • @MuhammedSayd-r6p
    @MuhammedSayd-r6p วันที่ผ่านมา

    Allah akuzidishie afya umezungumza vzr maashallah

  • @MohdSuleiman-k1o
    @MohdSuleiman-k1o 2 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mzee kashabadilika nipo Tyr kuungana nae hata leo nitampataje?

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp วันที่ผ่านมา +2

    Tupo tayari tufe hata robo ila ccm lazima itoke madarakani tumechoka haifai mavi ya jibwa hawaoni ht aibu kikaa madaraki kwa dhulma

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar วันที่ผ่านมา

      ❤ Zanzibar 👍

  • @khatibumakame6014
    @khatibumakame6014 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli mzee sema
    Sema
    Tuna subir tu

  • @SeifMohd-x7w
    @SeifMohd-x7w 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Oda ya lazima😅

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee yupo sahihi

  • @SaidOmar-iw9kk
    @SaidOmar-iw9kk วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mzee anaongea ukweli watu washachoka uchaguz mwakani kishido mauji yanakuja

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 วันที่ผ่านมา +2

    bona bara ime pinga kura moja kwa mamilioni. huoni kura ya sikubili moja yawizi na moja ya wizzi wa pomoja haiwezekani mara hii mtu moja aşikarı 20 onyo. uamuzi kuiba auu mauti ya wote hatuta kubali mtu moja kufa. tuta wachoma moto na familiya zao tunaishi nao mitaani

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 วันที่ผ่านมา

    Haliwakeri Hilo Vipi Awe Makamo Na Wao Hata Wakishindwa Hawatoki Vipi Atakuwa Mwenza Kwani Hizo Zote Walishinda..

  • @AllyHamran
    @AllyHamran วันที่ผ่านมา +1

    Mpumbavu huyo ndo aliepitisha kura ya siku 2 leo kakosa ugali abaongea pumba .

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 2 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera baba wambile

  • @MuhammadGharib-x5h
    @MuhammadGharib-x5h ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani Hawa CCM hawafi watakufa tu, Mhe Said Soud tunakupongeza kwa maelezo Yako hata hivyo ww huaminiki Leo hivi kesho vile ni oportunist

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 วันที่ผ่านมา +1

    Eti si mtendaji, Anakwenda tu na kimuri muri, Ng'wee ng'wee ng'wee ng'weee...😂😂😂🙌

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 วันที่ผ่านมา +1

    Naungana ww mzee wangu

  • @salyali7807
    @salyali7807 วันที่ผ่านมา

    Uchale mtupu huu ... unganeni muwatowe COM. Nyie kila siku munaanzisha vyama vipya mugawanywe

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud วันที่ผ่านมา

    Utakufa ukiwa umesamehewa kabisa na wazanzibari kwakusemea hisia zao

  • @knight6757
    @knight6757 2 วันที่ผ่านมา

    Mtu mzima kumbe hudanganyika😂🙆‍♂️

  • @allybin08
    @allybin08 วันที่ผ่านมา +1

    Sijuwi akili imeanza kukaa sawa au ni vile amekosa tu nafasi katika sirikali😅

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar วันที่ผ่านมา

      Kwakwel sokama hawajui ila wanalinda ugali kwaajili ya matumbo Yao

  • @dalfatsoud4867
    @dalfatsoud4867 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe mwandishi mbona kwenu bara hamupigi kura ya siku mbili ? Mana nyinyi muna majeshi million mafisadi nyie mumeikalia na roho zanzibar munaina kama New York city

    • @muhammadmuhammad5043
      @muhammadmuhammad5043 วันที่ผ่านมา

      Kwani Hiyi Shari Iliopo Zanzibar imeletwa Nani Wao Hao Wabara Hasa Huyu Alikuwa Rais Wa Mungano Marhum Ali Hassan Kwasababu Uchaguzi Wa Mwanzo Vyama Vingi Yeye Ndio Aliekuwa Raisi Alipaswa Kusema Ukweli ila Akawa yeye Awaachie Mgogoro Na Uwaji..
      Lakini Nibure Maana CCM Ameiwacha Yeye Yukowapi

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 วันที่ผ่านมา

    Vijana wawe making na kura zao angalieni maisha yalivyobadilika ni magumu utalii ndio huo haupo

  • @abdallahmohd3777
    @abdallahmohd3777 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee wetu tunakushkuru ,na tunakupa mauwa yako kabisa,hiyo ndiyo demukrasia yakweli lazima,ukweli uongewe tumechoka wazanzibar.wanatufanya mpaka tujitowe muhanga sio.basi muda ndio huu

  • @himidomy4077
    @himidomy4077 วันที่ผ่านมา

    Htr katafute mavi ukabanjee😅

    • @salyali7807
      @salyali7807 วันที่ผ่านมา

      Mavi ya kuku ubanje 😂😂😂

  • @MgaweNoa
    @MgaweNoa วันที่ผ่านมา

    Wapinzan mxahau kuchukuwa chicken mnaota ndoto za mchana nyinyi

  • @AnnoyedChickens-eg5pb
    @AnnoyedChickens-eg5pb วันที่ผ่านมา

    Binaadamu anatakiwa kujua hatma yake asante bwana sudi

  • @Rashidkhalfan-y2m
    @Rashidkhalfan-y2m 2 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mzee hamna kitu mbona alipokua waziri alikuwa anaisifu ccm saiv sababu saiv hana kitu ndo anaporoja .

    • @ISSAJR-f5
      @ISSAJR-f5 2 วันที่ผ่านมา

      Penda tu kauli zake za sasa Ya zamani mwachiwe mwemyewe..

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar วันที่ผ่านมา +1

      Huyu mzee akiliyake sasa inarudi kidogo kidogo😂😂😂😂

  • @himidomy4077
    @himidomy4077 วันที่ผ่านมา

    Bx unganeni vyama vote vya upinzani muitoe ccm km mutawezaaa

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar วันที่ผ่านมา

      Huwezi kumshinda mtu anaepanga mapambano ccm ndie anaeshika Dola na ndie anaemteuwa mwenyewe kiti wa tume ya uchaguzi nahuyomwenye kiti mwenyewe ni ccm ujeuseme atakua tayari kupoteza ugali wake kwaajili ya maslahi ya nchi ila nguvu za mungu ndozitawatoa na Dua za wazanzibar 😢😢wenyewe

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 2 วันที่ผ่านมา

    Hamna feni mukampepea hapo anavija jasho vibaya
    Pili huyo mzee nimnafiq akipewa uwaziri Sasaiv anaufyata mbuzi huyo

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 2 วันที่ผ่านมา +1

    😅ety tukaitikia amiiin😂😂😂

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 วันที่ผ่านมา

    Weye tafuta pahala upumzike usitafute mashaka usingengara kama hukupewa madaraka na CCM

  • @SeifMohd-x7w
    @SeifMohd-x7w 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ok

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 วันที่ผ่านมา

    TUME NI HURU KWA NIABA
    YA
    CHAMA CHA MAPINDUZI
    Tume ya Uchaguzi ni ya
    Chama Cha Mapinduzi na ni HURU kusimamia WIZI WA KURA na Mauwaji ya Waislam wa Zanzibar.

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar วันที่ผ่านมา

      Anaegombea uraisi ni ccm anaeteuliwa kua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ni ccm apo kunakushinda au kuchukua tu

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe unayo sema umeota mchana watu wanaota usiku ccm oyee

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar วันที่ผ่านมา +1

      Akilizako umezikalia pamoja mawazo Yako yapo matakoni😂😂😂😂

  • @himidomy4077
    @himidomy4077 วันที่ผ่านมา

    Kwaiy ww ulilazimishwa😅

  • @aafponlinetv
    @aafponlinetv 2 วันที่ผ่านมา +1

    Masege sand😅

  • @ZakariaSanga-e9y
    @ZakariaSanga-e9y 2 วันที่ผ่านมา

    Could

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER 2 วันที่ผ่านมา

    Naam maneno mazima sana kiongozi

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 วันที่ผ่านมา +1

    CHAMA CHA MAPINDUZI
    KINARUKHUSU
    MAUWAJI YA ZANZIBAR
    Polisi liko chini ya Amri ya Rais Samia Suluhu, Muslim na Mzaliwa wa Zanzibar. Lakini aliwekwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) cha Dodoma kwa Tanganyika.

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x 2 วันที่ผ่านมา

    Njaa yao

  • @SeifMohd-x7w
    @SeifMohd-x7w 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Oda ya lazima😅

  • @SeifMohd-x7w
    @SeifMohd-x7w 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Oda ya lazima😅