Somo la kupiga au kupigiwa Ramli sehemu ya tatu (3).

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy ปีที่แล้ว +3

    Nikwel mm nishayaon kwamacho yngu mtu akifanya Ivo mm sikutak ten kutibiwa man nilion huyo niongo sikurud ten kwa mgang ndio maan tukawa tunasema haramu lkn kumbe hatujui akili zetu wanatufunik

  • @hanamakamba373
    @hanamakamba373 10 หลายเดือนก่อน

    umenena kbc

  • @hanamakamba373
    @hanamakamba373 10 หลายเดือนก่อน

    mimi ling;atwa mgongoni kutoa jini n damu nyng zilinitoka

  • @dr.abdulfattah6791
    @dr.abdulfattah6791 2 หลายเดือนก่อน +1

    Somo lako zuri linaelimisha jamii na khatma yake jamii itaelimika kiasi cha kwamba watajua elimu ya Ramli ni mahesabu yanayoitaji elimu sio kufunika watu kwa mazingaombwe ya uongo .Elimu ya ramli sio elimu Ya majini kama watu wanavyodhani sababu manabii walitumia kwa hiyo nabii hawezi kupewa khabari na majini bali Roho wa mungu . Kingine wapo majini nao wanasoma elimu ya ramli vivyo hivyo kama wanadamu na wapo majini wanaaguliwa nyota zao na wanaadamu hivyo hivyo na wapo wanaadamu wanaaguliwa na majini kifupi alie na elimu sahihi anaweza kumsaidia mwenzie ila tusikae na imani kuwa majini ndio wanaelimu na ujuzi wa kila kitu .