ALLY KAMWE AMPA TAHADHARI MAYELE KWENYE MAKUNDI CAF/AMJIBU BABA MZEE KAMWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Hii ni sehemu ya pili ya mahojiano na Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe akielezea uwepo wa Mayele Jukwaani kwenye Mechi dhidi ya KMC
    Kamwe pia amejibu kauli ya Baba yake mzazi Mzee Kamwe kuhusu yanga 'KUSTUCK'

ความคิดเห็น • 14

  • @alexandernkwamah5905
    @alexandernkwamah5905 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Stick, verb. Yanga Ina "stick". Ni present tense. Yanga ime"stuck" ni past tense na continuous....yaani tumekwama inaendelea. Mzee Kamwe, bravo. Mwanao Hana la kukusahihisha. Semaji letu kwa Mzee 'ume'stuck' kwenye English. IL est correct.

  • @abtway66
    @abtway66 8 นาทีที่ผ่านมา

    Wewe ukienda kupimwa utakutwa una UTI ,akili huna wewe

  • @masoudali2631
    @masoudali2631 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acha kuhubiri ujinga wakati timu kiwango kimepwaya. Kocha hajui hata kupanga kikosi yaaani unaamka asubuhi kikosi cha yanga ushakijua.

    • @Yassirjuma-i1c
      @Yassirjuma-i1c 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Jamaa yngu usmalz maneno bdo tarehe 19 October,usje ktfta lawama kna kt nilitaka kkpa lkn hyo ndy code

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mechi 4 mmeshapagawa 😂😂 dunduka bwana ndomana mnaitwa panya road

  • @Ndenza
    @Ndenza 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe ndo baba ak ndo panyarod

  • @PmanNkunga
    @PmanNkunga 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kamwe nakuheshim

  • @EmmanuelMrimi-v1r
    @EmmanuelMrimi-v1r 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga bingwa

  • @SamweliZakaria
    @SamweliZakaria 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😮kamwe baba❤❤

  • @JafariBakari-hk2xb
    @JafariBakari-hk2xb 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukapimwe mkojo kamwe akili amna mpuuzi kweli

    • @ramseydasilva
      @ramseydasilva 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ww inabidi akapimwe haja kubwa 😂😂

  • @RamazanMkunde
    @RamazanMkunde 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ooo

    • @Yassirjuma-i1c
      @Yassirjuma-i1c 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwel msemaji,maan nakmbuka yanga day mmechezesha wt ktk no zisizo zao wkasema ynga imeanz kpotea klichotokea tareh 8 hawakuamin kma sio marefa 4G ingesimama. Sasa naona wnachez ovyo ynga na gamond ksema hatak goli nying kmbe anawatoa kweny reli kuwen makin makolo huo mtengo.