Fuse TECH: Nokia imeshindwa game! Imekufa rasmi! Inasikitisha kwa historia nzito iliyoacha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 54

  • @lwengephillip7516
    @lwengephillip7516 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Simu yang ya mwisho ya Nokia nilinunua mwaka 2012, Nokia X3-02, lakn nimetumia simu za Nokia sana kama Nokia N95 Nokia N72, Nokia Supernova, and Nokia 3110 C nazingne. My favourite Kwa Nokia ilikua Nokia X3-02 kisimu chembamba niko touchscreen na button

  • @josephpeter8511
    @josephpeter8511 วันที่ผ่านมา +3

    Kaka umevaa korg!! yaa is among of my favorite keyboard 🎹 nice nicely .

  • @MPATANIMZEE
    @MPATANIMZEE วันที่ผ่านมา +2

    Sma facts and logic tuna connect dots ❤

  • @yusuphmkenza3019
    @yusuphmkenza3019 วันที่ผ่านมา +7

    dah nokia c01, c02 game mission impossible

  • @abdulpires9091
    @abdulpires9091 วันที่ผ่านมา +1

    Nmeisahau model 🙌

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 วันที่ผ่านมา +3

    Nimemilik nokia shazi ila Nokia 2700 classic na nokia c2 was my best nokia phones all the way back then✌🏾

  • @bullermgana213
    @bullermgana213 วันที่ผ่านมา +2

    Nokia 6120c best phone

  • @ShamaMylose
    @ShamaMylose วันที่ผ่านมา +3

    NOKIA ASHA 200 ❤

  • @AbdullamasoudHassan
    @AbdullamasoudHassan วันที่ผ่านมา +3

    Nokia 3310nilikua naipendaana

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dah! Naitafta moja pendwa kwangu 𝐍𝐎𝐊𝐈𝐀 6300

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro วันที่ผ่านมา +12

    NOKIA LABDA TANZANIA HAKUNA NOKIA ZIMETOKA SMARTPHONE KALI SANA HUKU SWITZERLAND ZIPO MADUKANI MACHO MATATU

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f วันที่ผ่านมา +1

      Anazungumzia kuwa affluent on a facade na nikweli wametoa ripoti kua hawatatoa smart zilizopo sawa ila hawatatoa zijazo iyo ndo latest taarifa toka kwao

    • @OnesmoEphrata
      @OnesmoEphrata วันที่ผ่านมา

      Tuambie na modeli zake pia na miaka yake tuifaham pia kwani mseleze pasipo kigezo ni fx naona

  • @allthings1302
    @allthings1302 วันที่ผ่านมา +1

    Express Music

  • @babuuclassic
    @babuuclassic วันที่ผ่านมา +3

    Kuna game linaitwa K.G.B S.W.A.T Nilikuwa nalicheza sana, Lilikuwa linapatikana waptrick. Simu enzi hizo mtandao unasoma E au GPRS😅

  • @rizikimtui8992
    @rizikimtui8992 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nilicheza game ya Die hard kwenye Nokia

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 วันที่ผ่านมา +3

    Wawape watchina watainua tena

  • @hassanjuamchipua9384
    @hassanjuamchipua9384 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    model yangu ni 3310 AkA jeneza ❤❤❤❤

    • @djsma255
      @djsma255 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hi sim ina roho 7😂

  • @FredrickFilbert
    @FredrickFilbert 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nokia 6500C

  • @jumandakamenye2316
    @jumandakamenye2316 วันที่ผ่านมา +2

    11 10

  • @husseinmramba
    @husseinmramba วันที่ผ่านมา +1

    Kuhus ushirikiano na Microsoft ni wenyewe microsoft ndo walizingua kwa kutokuja na suluhisho upande wa software alivyokuja mkurugenzi mpya ndio akaipiga chini mazima because yeye tok mwanzon alikua hakubali focus ya microsoft kwny upande wa simu

  • @virendavictoria5174
    @virendavictoria5174 วันที่ผ่านมา +1

    Nokia ya kwanza na ya pili hata sikumbuki model...my last nokia was C1

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in วันที่ผ่านมา +1

    Nokia 6 battan kaka n nomaaaa

  • @LilaWinters-l1n
    @LilaWinters-l1n 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    This is amazing! Quick unrelated question: I have USDT in OKX wallet, and my recovery phrase is: (pistol daughter jewel spawn best noise exact concert recycle march drift nose). How do I withdraw it?

  • @hassanjuamchipua9384
    @hassanjuamchipua9384 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Labda mchina ndio ataiweza

  • @Jastus100
    @Jastus100 วันที่ผ่านมา

    Nokia E72 was my best from nokia

  • @Horizon.01985
    @Horizon.01985 วันที่ผ่านมา +1

    Wakwanza leo

  • @IddyMichael-m2d
    @IddyMichael-m2d วันที่ผ่านมา

    Wewe ni mzungu ama MTANZANIA kingereza nusu KISWAAHILI nusu ubishoo tu mwandishi 😂😂😂😂

  • @JumaAbdallah-t7b
    @JumaAbdallah-t7b วันที่ผ่านมา

    Nakia Asha was my favourite

  • @Dantaata
    @Dantaata วันที่ผ่านมา +1

    Hadi sasa naiamin nokia lkn inaniangusha one year simu tatu za vitochi sasa naikumbuka ile samsung tochi

  • @TraceyHammitt-i1v
    @TraceyHammitt-i1v 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ninathamini sana juhudi zako! Nina swali la haraka: Mkoba wangu wa OKX una USDT kadhaa, na nina seed phrase. (air carpet target dish off jeans toilet sweet piano spoil fruit essay). Ninawezaje kuzihamisha kwenda Binance?

  • @ramadhansaid778
    @ramadhansaid778 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nokia 1100

  • @chanzukarambo4614
    @chanzukarambo4614 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi bada nnayo nokia 6310i

  • @user-sy6ty8qb3n
    @user-sy6ty8qb3n วันที่ผ่านมา +1

    Nokia 3310

  • @KashaFlagship
    @KashaFlagship วันที่ผ่านมา

    During the press conference to announce NOKIA being acquired by Microsoft, Nokia CEO ended his speech saying this “we didn’t do anything wrong, but somehow, we lost”.

  • @chanzukarambo4614
    @chanzukarambo4614 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi bado ninayo Nokia 6310i

  • @josemgy1199
    @josemgy1199 วันที่ผ่านมา +1

    Nokia E51

    • @angelojuma7818
      @angelojuma7818 วันที่ผ่านมา

      Hiyo simu balaa nimetumia 2013

  • @hamisimlonga6127
    @hamisimlonga6127 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    6 baton

  • @VenusteNtakarutimana
    @VenusteNtakarutimana 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na sasa hivi unaongea niko nao na napewa simu tachi ya 15000ksh nakata kupeana yani naipenda mno

  • @haidarybrown427
    @haidarybrown427 วันที่ผ่านมา

    Kama una nokia bonyeza 7370# utanishukuru 😅

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 วันที่ผ่านมา

    kama ulitumia 11..10 like hapa😂😂

  • @abdulshamte
    @abdulshamte วันที่ผ่านมา

    Nokia 70 na Nokia C6 sio mchezo hizo

  • @kingsanya6860
    @kingsanya6860 วันที่ผ่านมา +1

    Nokia batani 6

  • @songamberetv2219
    @songamberetv2219 วันที่ผ่านมา +1

    Mi nina smartphone ya Nokia wallah nimekanayo 5 years na bado ni mawe tena kwa nyuma ni kama mpya

  • @Mumewangu
    @Mumewangu วันที่ผ่านมา

    Kama hawatengezi tena wasije wakazifanya zikaturipukia tu. Watuachie tutumie

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 วันที่ผ่านมา

    HATA HUJAELEWEKA KAMA VILE ULIKUA UNAPIGA KELELE TUU UMENICHOSHA MASIKIO BUREE

  • @kodahalo9248
    @kodahalo9248 วันที่ผ่านมา

    Nokia 7360

  • @DeusRobart
    @DeusRobart วันที่ผ่านมา

    Nimetumia Nokia asha

  • @godrinmichael7649
    @godrinmichael7649 วันที่ผ่านมา +1

    Nazipenda Nokia c3

  • @jimin77310
    @jimin77310 วันที่ผ่านมา

    Nokia 6030🫡