Assalamu alaykum.thanks alot sanna sanna tunapenda sanna mapish yako na kwahakika tumejifunza mengi ALLAH atakulipa.kuna wakati tunaweza kuwa kimya hatuangalii sio kama tumekutupa na kukuacha mkono hapana ni mihangaiko tu ya maisha tupo pamoja na tunakupenda.asante sanna
Maa shaa Allah, video imekuja wakati muafaka kabisa, ngoja nipike leo hii hii ninywee chai, lakini kama sitaweka maziwa nitaweka nini instead? (Sipendi maziwa)
Mie niko Marekani n'a nimechoka n'a breakfast ya kina IHOP na wengineo. Hii recipe yako ndio itakuwa breakfast yangu ya kila siku inshaa Allah; so simple. Shukran 🙏
I made this today for my best friend and she absolutely loved them!!! And that's saying alot seeing that she is a very good cook in her own right. Quick and easy!!!!
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH KINDLY FOLLOW THIS LINK th-cam.com/video/KKqDRmnE8MA/w-d-xo.html
Nice
asante my iko bomba nimeipenda ila naomba. utuletee vidio ya mkate wa ndizi na karanga
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
Shukran dear kwa kushare nasi chakula kizurii...🙏
Nimevipenda mnoo ntavipika in shaa Allah! Kwenye Eid nimerudia tena kupika melting moments n vileja vya chumvi😋😋😋
Jazaka Allah khayr 😍😍
Alhamdulilah
Mashaallah ila uwe unaenda taratibu uko fasta sana
Pole nitajitahidi kuwa pole pole
Very lovely
Thank you! 😊
Za asubuti 0:09
Assalamu alaykum.thanks alot sanna sanna tunapenda sanna mapish yako na kwahakika tumejifunza mengi ALLAH atakulipa.kuna wakati tunaweza kuwa kimya hatuangalii sio kama tumekutupa na kukuacha mkono hapana ni mihangaiko tu ya maisha tupo pamoja na tunakupenda.asante sanna
Alhamdulilah , nashkuru sana
Ahsante sana kwa mapishi mazuri unatujuza mengi
😋😋😋😋😋😋😋😋😋
Kumbe umesoma saana good amo tuo recente
Nilikuwa nawaza leo Nile Nini nikakumjuka kuingia hapa na kupata chakula Cha leo😄. shukrani sana
Mashallah mashallah shukran sister arima nice one🤩🤩🤩🤩
Nimevipenda sana😍😍
Nilijaribu hii recipe siku ya Eid 😋😋😋😋😘😘😘❤️❤️❤️💖💕💕🙏👏👏👍👍😁😁😁💓💓👌👌👌
Sister you inspired me a lot in cooking till people think I’m the best while you’re my teacher 🤩🤩 thanks
Wow, thank you
Asanteee mama
Mashaallah jazakillahul khayr
Mashallah
Mashallah
Wow. Masha ALLAH Tabaraka ALLAH
Mashallah ntajaribu In sha Allah
Maa shaa Allah, video imekuja wakati muafaka kabisa, ngoja nipike leo hii hii ninywee chai, lakini kama sitaweka maziwa nitaweka nini instead? (Sipendi maziwa)
Sio lazima maziwa
Nami nimejaribu upishi nimeuweza shukran sana Director wetu 😘
Mash allah nzuri sana
Lakin unga wa uzile ndio sijaujua nijulishe habibt
Y nimefanya ni tanu sana
Cumin powder
Masha Allah 😋😋😋😋😋👌🏼
Oohw mashaallah nimeipenda imekuja wakat muafaka ngoja nikapike namie nimeipenda 😋
Maa Shaa Aallah na Jazaki Allahu Khairaan Kathiraan
Dear Flavors of Zanzibar team, are there English subs and vegetarian dishes in the cuisine?
Yes dear all my videos are in English as well ,please check the link right on the top
Imekaa poa hiyo! Kwa sisi "waroho!" Thanks, Madame!
Yes, Ukiwa mroho lazima ujue kupika sasa😂😂
@@aromaofzanzibar 😂😂😂
Kusema qel hii kwangu ni mpyaaa ckujua kma mayai yanaweza kupikwa na maziwa aiseeeee ur da best ever thankyu
Karibu dear
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
Ma shaa Allah 😋
Shukran mama 😢😢😊😊😍😍😍♥️♥️♥️
unaweza kutumia maziwa ya unga
Maziwa yachanganye na maji
Una group whatsp tujiunge
No dear sina group la whatsapp
Mashallah 🔥
Yummy dear
Thank you so much
mashallah, maana sometime najiuliza asbh nipike niniiiii. Ahsante kw ku share, umenisaidia san.
Alhamdulilah
Mashaallah. Chai lazima iwe tamu hapo. Usijali tunakusupport
Shukran
Nitajaribu inshaalah
Maashallah!...
Ni nzuri ni rahisi kupika, Breakfast ya haraaka.
Shukran saana. @Aroma of zanzibar
Karibu breakfast ya haraka na ya kushibisha
Mashsllah allah akupe affya. Nzuri sana
I will try this today
Hope you enjoy
MAA SHAA LLAH upishi mzuri nimeupenda Baraka LLAH fiyk
Shukran
Mashaallah idea nzuri ya chai ya asubuhi shukran habibty kwa mapishi mazuri🥰🥰🥰🥰
Hapo ukipiga huo msosi ndio mpka jioni tena
Mashallah shukran mum insha'Allah ni kutakie edd njema insha'Allah
You too dear, shukran
@@aromaofzanzibar afwn
Hio spice ya slap your mama siwezi ileta nyumbani kwangu😂😂😂😂😂😂
Inauzwa Marekani !
😀😀😀kwanini
Shukran and eid Mubarak.
🙏🙏🙏
You have been missed!
@@aromaofzanzibar ooo dear! .... I am around sis.... just abit busy getting the kids ready for school😚
@@a.856 I understand , I did notice your absence take care
@@aromaofzanzibar thank you darling sis🙏🥰
So nice my cctet
Maa Shaa Allah
Asante mum tamu sana
Mashallah nitaipika inshallah
Barakallahu fiyk habibty
Wwaaaw yummy
Yes indeed
MashaAllah MashaAllah habbty lv mummy leo imeshapikwa jmn tamuu sn MashaAllah
Mashallah, hujachelewa
Mashallah
Ahsante saana.
Mashallah naic
Mashallah, ubarikiwe sana
ماش الله hii itawafaa watoto pia, mikono yako ibarikiwe
Hiyo watoto na wakubwa pia sio ndio breakfast ya weekend!
ماشاء الله تبارك الرحمن ☕
Nimependa
Mshallah
Ahsante kwa breakfirst ya kimataifa iko poa kabisa
Karibu sana
Wooow😋
*Yummy*
FINALLY AM BACK TO MY FAVOURITE COOKING CHANEL
Most welcome
Hewallah!
Mashallah mung akuongezee nakupenda dada😍
Shukran
Mtu km ana ugonjwa wa sukari aweza kula hivo
Mimi sina elimu hiyo dear kama una maradhi hayo bora umuulize daktari wako
Mashaallah.nimependa.yummy n simple.shukrn hbbty
Shukran..very simple
Yes indeed!
Shukran hbbty jazaakallah kheyr
Amin
❤❤❤❤
MashaAllah..Simple and Delicious 😘
Thank you 😊
❤️
I love your channel 💕
Thank you so much!!
I will try🤗
Sure 😊
Wow umenifunza namna ingine ya kupika mayai aunty shukran jazila
Mie niko Marekani n'a nimechoka n'a breakfast ya kina IHOP na wengineo. Hii recipe yako ndio itakuwa breakfast yangu ya kila siku inshaa Allah; so simple. Shukran 🙏
Glad to know!
I made this today for my best friend and she absolutely loved them!!! And that's saying alot seeing that she is a very good cook in her own right. Quick and easy!!!!
That is awesome!
MashaaAllah shukran sana
Very yummy 👌👌
Thanks a lot
Nimependa dada mapishi yako ngoja nijaribu na. Mimi hakika uko vizuri