Haukukosea kujiita Barnaba Classic Man, u rockkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk. Kama Chameleone flani hivi kwa mbali Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hujawahii tu tuangusha kwa kweli! Kuna watu wajipa majina cjui king of rnb maraa best rnb singer bt you a a true definition of a talented singer! You rock barnaba kip the good music alive!
yes Abed,he is the only Tanzanian rnb singer alive, hao wakina simba cjui,king wa rnb mwingine king nin cjui,mala yoooooo, mala wasafiiii, get the hell out here Barnaba is the men
Barnaba ni mwimbaji mkali sana kutokea bongo ila naona watz tunamchukulia poa sana. Barnaba unastahili kua zaidi ya hapo ulipo we kaza tu ipo siku tutakuelewa
vijana wanauna hii ndiyo wanatakiwa katika dunia ya sasa,Hongera sana pia tumii kipawa kuwawaongeza Barnaba Class wengine na Mungu ataendelea kukubari.Afya njema na Mafanikio zaidi daima yao kwako.
Naomba sana tuwasiliane kwa namba hii 0767505878 OR raymond@jivitafoundation.org . Mwisho niendelee kukumbusha kwamba mafanikio yako ni siyo ya pekee yako kwani tuko wengi tunaonufaika sasa kwa hapo ulipo napia tunaendelea kunufaiki kwani mziki wako ni faraja na furaha katika maisha yetu ya kila siku hivyo kwa niaba ya watu wengine niseme Asante napia nikuombe ongeza kufikiri uweze kuwa ubunifu zaidi na kuwekeza hapa duniani nauko tuendapo baadaye. Mwisho nizidi kukuombea dua kwa Mwenyezi Mungu akupe afya njema na Maisha marefu ikiwa kukufanyia wepesi kwa kila jambo lako njema .
Big up Barnaba dont call me Lover boy baby.... how come mpnzi wako unamuhudumia, wenzio wanakuja kumtumia ..... Eboooo..... good sana na beat limetulia sana
Nahisi Barnaba ni underated while kivyangu namtaja kuwa the Greatest Bongo Artist. Nakupa shavu na Support yangu mia kwa mia. Video imekubali, audio kama kawa wewe ni mzazi na mkali wa vocals. Thumbs up.
True, inatakiwa iwe na zaidi ya millioni views,, ıla ni wanamuziki wetu hawana elimu nzuri juu ya youtube copyrights, nyimbo hii hii utaikuta kwenye channel ya mtu mwingine so ukijumlisha views from all channels Ndio utapata zaidi ya milioni
hawa ndio wanamuziki wanaotakiwa hatari sana watu na vipaji vyao aisee hatari sana hujawahi niangusha barnaba toka nimeanza kusikiza nyimbo zako. keep it up Allah azidi kukuongezea ujuzi na uzima
Yoh broz its Dmk kadhr smile genius loyal fun from 254 Nairobi smile genius anaweza saana Mombasa nksvegaz city kenya Nairobi piga nae kazi mkuu one or 2songs🥰🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
I must play this song 15 times in day am addicted to Barnabas way back since he started his journey..much love from Nairobi, Watu wasafai hawatangazi...kudos bro
hakuna ngoma Kali kama hii dunian kwa sasa labda baadae maana hata yeye kabahatisha kutokana na uwezo wake ukimwambia afanye kama hii hawezi. I respect u brother ur hood no one like u now days
nampenda huyu kaka mstaarabu.. afu why tusianzishe tim barnaba jamani tumpe sapoti ya kueleweka huyu kaka tuachane na tim mond na tim kiba hawana wanachokijua wale ujanja ujanja tuu
Well said, @barnaba please push your management to try and distribute this music world wide,this is such a big hit and it should be listened to millions
Kama unasikiliza 2024🎉❤❤ don cool me lava boy
2024 March naipenda nikama nimetoka
Don't call me lover boy❤❤❤😊😊
Ulikuwa wakati nilipoishi Tanzania
Iove
Don't call me loverboy
2024 and it’s still a jam 😍😍😍
Definetly 🎉
Those still watching in 2019 kama mimi nipeeni likes
this song make me crazy .....🔥🔥🔥wakenya mpooo
sharleen baibs I love u baby
Giron Nasile iooo
Melanie Grünauer hey how are you
sharleen baibs tupo kwa mpigo
ndio imefika nairobi..super big hit
crazy of a song
it played in doop wedding on loop people requesting again n again
from Kenya na nimekubali hii ni kazi safi kabisa. Don't call me lover bouy!
Who else is here 2022 April 28 and still enjoying this jam✌🙌🙌🙌 lets know each other.
Kali sana hii
Barnaba kweli fundi naachia comment ili yeyote aki like nami narudi tena kuitizama😊😊😊❤
Najuta kutojiita Mshabiki wa Barnaba Clasic..Nice job kk..Keep Good Tanzania Music Alive.. #KGTMA
Good song napenda sana
upo sahh
+Zephania Mshanga umenenaaaaa
Who else is here 2021♥️♥️♥️♥️Barnaba classic Number moja♥️💓💓💤
Hii song kaly 😍
Nipo
So classic
th-cam.com/video/Ih_mvyPZs7I/w-d-xo.html
Niko hapa
It was a bang de truth 👍👍
Kwenye life
Watu wengi wanafake
"Kuwa muangalifu"
*Be'ware*
How come mpenzi wako we ndio una muhudumia,,
Wengine wanakuja kumtumia,,
Wakimaliza hawaishi kukutangazia,,
Eti yule binti sisi tumeshamtumia!
DOPE
Ukweli bro hao ndo watu
Ukweli
Naked truth..🤧
Haukukosea kujiita Barnaba Classic Man, u rockkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk. Kama Chameleone flani hivi kwa mbali Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Twende wote 2024
Hujawahii tu tuangusha kwa kweli! Kuna watu wajipa majina cjui king of rnb maraa best rnb singer bt you a a true definition of a talented singer! You rock barnaba kip the good music alive!
yes Abed,he is the only Tanzanian rnb singer alive, hao wakina simba cjui,king wa rnb mwingine king nin cjui,mala yoooooo, mala wasafiiii, get the hell out here Barnaba is the men
beatrice kilembe barnaba haimbi rnb wala huyo simba hafanyi rnb ..hao wote wanaimba afro pop!!barnaba hayupo kwenye category ya RnB!!!!!
beatrice kilembe really it
abed maila
exactlly
Kama ni gari kwako nimefunga breki,
Na pendo langu kwako halielezeki,
Kwako si eti, wala si feki...
Damn! great lyrics right there
Bonge la ngoma. Shida yetu wabongo atumkubali mtu hadi siku anakufa ndio utaona sifa nyiiiiingi zinamiminika
One thing I love in this guy is how he believes in himself...no collaboration yet the song is a hit.VIVA
Barnaba ni mwimbaji mkali sana kutokea bongo ila naona watz tunamchukulia poa sana. Barnaba unastahili kua zaidi ya hapo ulipo we kaza tu ipo siku tutakuelewa
umefunikaaa
Kwakeli this gay very good artist just needs more air time and promotions.
OMG wimbo wangu kila asubuhi na nikiwa njian kuelekea job. Barnaba we ni fire
vijana wanauna hii ndiyo wanatakiwa katika dunia ya sasa,Hongera sana pia tumii kipawa kuwawaongeza Barnaba Class wengine na Mungu ataendelea kukubari.Afya njema na Mafanikio zaidi daima yao kwako.
Naomba sana tuwasiliane kwa namba hii 0767505878 OR raymond@jivitafoundation.org .
Mwisho niendelee kukumbusha kwamba mafanikio yako ni siyo ya pekee yako kwani tuko wengi tunaonufaika sasa kwa hapo ulipo napia tunaendelea kunufaiki kwani mziki wako ni faraja na furaha katika maisha yetu ya kila siku hivyo kwa niaba ya watu wengine niseme Asante napia nikuombe ongeza kufikiri uweze kuwa ubunifu zaidi na kuwekeza hapa duniani nauko tuendapo baadaye. Mwisho nizidi kukuombea dua kwa Mwenyezi Mungu akupe afya njema na Maisha marefu ikiwa kukufanyia wepesi kwa kila jambo lako njema .
Wimbo Uko vizur sn
Bjohhjjjojojvkkhv .u788u9ihhigyytttþttttttttttbjbnnnnmmmmmmmmtttttttthjnnnttttttttthn 4444444421p1100088888887thgiikjjhhbbbbj
Ighopgohokgjjhhjfftttast98yN88iooj
Big up Barnaba
dont call me Lover boy baby.... how come mpnzi wako unamuhudumia, wenzio wanakuja kumtumia ..... Eboooo..... good sana na beat limetulia sana
Nahisi Barnaba ni underated while kivyangu namtaja kuwa the Greatest Bongo Artist.
Nakupa shavu na Support yangu mia kwa mia.
Video imekubali, audio kama kawa wewe ni mzazi na mkali wa vocals. Thumbs up.
Huyu jamaa ni fundi wa mda wote hakuna Kama huyu🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🎶🎶🎶🎶
True, inatakiwa iwe na zaidi ya millioni views,, ıla ni wanamuziki wetu hawana elimu nzuri juu ya youtube copyrights, nyimbo hii hii utaikuta kwenye channel ya mtu mwingine so ukijumlisha views from all channels Ndio utapata zaidi ya milioni
My favorite song, always.🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️ 2021. Nani yupo hapa 0ctober
Who else is listening in 2020 and 2021 till infinity? Never gets old.
Meeeee love this song
Here I am. I love it
Nalalia kwa nia sio kwamba napenda...
I am a good bwoy don't call me lover bwoy 2020 manenos
Ur phone number plz Diana Diane..I wanna tell u something..
This song imenifanya nikapenda this guy completely anyone 2018 June
Watching in July 😊
Hi
You have a beautiful name...
Ahahhah una jina nzeee
barnaba Lover Boy a.k.a classic washaaa km umeiskiliza 2019 Bonyeza "Like"🙌🙌
Kama bodo unasikilizi iyi goma mpaka sahii gonga like twende zetu👏👏
My all time favorite love song...hii Kaka nakubali
barnaba unaanzaje kuniangusha kwa mfano am ur biggest fun kwa maana nikisema big nitakuwa ckutendei haki ur a good boy 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
hawa ndio wanamuziki wanaotakiwa hatari sana watu na vipaji vyao aisee hatari sana hujawahi niangusha barnaba toka nimeanza kusikiza nyimbo zako. keep it up Allah azidi kukuongezea ujuzi na uzima
Heard This song at a Club in Tz when visiting and think its a major hit. Vocals on point, From 254 with love
zeddy
yes
I won't ask who is still listening because we never get enough of barnabas classic lover lover boy we love you.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yoh broz its Dmk kadhr smile genius loyal fun from 254 Nairobi smile genius anaweza saana Mombasa nksvegaz city kenya Nairobi piga nae kazi mkuu one or 2songs🥰🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
talented Cha ukweli 🔥🔥😊😊😊,ii nyimbo ukumbusha mie mahali 🥱😢😢😢,,,,,,,, Barnaba God bless you 🥳🥳👏👏👏👏👏👏
Been listening to this guy...THIS IS A MASTERPIECE...
Barnaba unajua bwana yaani wimbo Kama umetoka Jana bwana
Hapa nafurahia tu vitu vyako tu
I must play this song 15 times in day am addicted to Barnabas way back since he started his journey..much love from Nairobi, Watu wasafai hawatangazi...kudos bro
wow nice song Barnaba unajua u so nice nyimbo tamu Sana or my god jamni so amazing this song
From Kenya just listened to this song from someone's instagram and I think you are underrated, you should be having like 10 million views
Purity khakasa Exactly
Purity khakasa sure
UK ngoma imependwa,penda yuh.
hakuna ngoma Kali kama hii dunian kwa sasa labda baadae maana hata yeye kabahatisha kutokana na uwezo wake ukimwambia afanye kama hii hawezi. I respect u brother ur hood no one like u now days
Came back here 7 years later after the song was released and it's still my favorite,,,2024
Unaweza boy sichoki kukusikiliza your my best ever
It's 2022 but I'm still listening to this song...it never gets old
sanaaaa tyu barnaba kwa ujuz wako endelea na style hiii utafka mbali sana
My best Artist in TZ,from Italy listing your music
Hii ngoma iko juu tu sana.
Thumbs up.
Still here 2024 feb 12 12:40pm still in love thou🎉😂
ati.'kwenye life watu wengi. wanafeki'!.....'maisha so lazima kudeti na videnti common!!!!!truee we all deserve the beat in life'...
Barnabas he always believes his expression
Song writer mzur sana huyu jamaa afu pia bonge la muimbaji
I vant get over this song its too sweet .love from kenya .
salma shabaan
.
Uwezo mkubwa umeonyeshwa ktk hii track, yeah lava boy
Ivi ma fans wote mki share nyimbo hii facebook na twitter mnajua wapi mtamfikisha talent uyu? Dah jamaa kipaji
You are simply the best vocalist. Mungu akusaidie ufike mbali Barnaba
So inlove with Tanzanian music!!
Moto Sana... Nairobi Kenya
Love from kerala
Woow, this is a big talent from Tz. Man you killed it. I listen to this song thrice a day
You r ma favourite bro from +254. Much blessings
Aron Birundu I listen 7 *a day 😂😂
Great. i really love this guy @Glory Mlay
Aaron Birundu c
Aron Birundu What? 3 only?
Mwanangu huyo video queen...namba vp
you have a real talent @Barnaba Classic. Vocals are on point😍😍😍😍😍
Nafurahia utunzi na ushairi wako. Heko Barnaba.
Who else is here in 2024 from Tiktok🔥🔥 from the lyrics,the sound to the visuals eeeish...Hats off 📴
Nyimbo nzuri hongera sn Barnaba
2024!! And I’m still here ❤
Haipiti siku bila kusikiliza na kuitizama hii.
This is a MONSTER HIT!
One of the most Underrated tracks ever. Period.
Unaweza b kaz nzuri respect kwak🌹🌹your the best
What a message...loveee... love makes us complete.. Barnabas you always remain my number one artist💯💯
My lovely tune from you Barba classic
The voice... Halleluyah... ati sijui diamond uyo ni trailer tu... action packed thriller ni barnaba👏👏
Wimbo wangu bora tangu 2016 nikiwa Tarime mpaka leo 2019 ndani ya Dizm tena. Naupenda sana coz hauchoshi kusikiliza.😎😎😎
nampenda huyu kaka mstaarabu.. afu why tusianzishe tim barnaba jamani tumpe sapoti ya kueleweka huyu kaka tuachane na tim mond na tim kiba hawana wanachokijua wale ujanja ujanja tuu
I wonder why this song has not reached a million viewers yet
We ndo msanii wa kwanza Tz nakuelewa,Nakuombea upasue anga za kimataifa
brother Barnaba you need a hand of congratulations..
this is the kind of music we r looking for and would like to hear often ..congrats bro
Kakosea kidogo angemtafuta mwana mtu mwenye kuchana basi ingetulia sana kwa muuno wangu
Should be having more than a million views
BM_RECORDS LTD video haiwezi kuwa na milions views bila ya promotions.....tatizo watu wanajua music lakini hawaufanyii kazi.
Karibu sana,naamini itafika hapo,this is great music
Well said, @barnaba please push your management to try and distribute this music world wide,this is such a big hit and it should be listened to millions
BM_RECORDS LTD i so agree with you. The music deserves more views by now considering the good arrangements in it.
Classic
ndio imefika nairobi..super big hit
crazy of a song
it played in doop wedding on loop people requesting again n again
finally a million views. awesome video, amazing lyrics, gorgeous vixen.. can't go a day without listening to this song
Poa sana kaka!!! na...domo kubwa haikugusi!!!
2024 baddies gather here 🎉❤❤❤
Fundi wa Mziki achana na zile timu, Classic Barnabas ni fundi hasa
Watching from Kenya manze this boy is something else.. Superb..awesome I've become ur biggest fun
nipewe nafasi yakutembea bongo kumet wasanii namfata barnaba ....my clash kila cku
A man with good vibes.....The best according to me
From Thika Kenya. On top Barnaba🔥🔥
PROUD TO BE EASTAFRICAN AN D AFRICAN....1000% PERFECT...THIS SONG WILL BE A HIT IN THE NEXT 100 TO COME... KEEP IT UP BARNABA
bas bro hii song yako ndo top favourite
barnaba na Ali K ni wanamziki lakin wwngine ni wasanii!!!
kweli iyo
sina uhakika
Ni kweli heeee
good good nyimbo
+Calamaraderies Gallant kabsa
broo umetisha sana kaza buti ,ngoma tamu sana
LIKE IT BRO U HAVE KILL IT ALL........NICE VOICE NAKUPENDA BURE
haahaa
Nice video
+Mohamed Idd yap
good
Barnaba wangu Nakukubal sn unajua kuimba
am thinking who to choose over another you guys are so mwaaaaaaa,Tanzania should flag behind of America et****safi sana barnaba
kaka anajua kuimba huy ten san.. ongela san..🌹🌹🌹🌹
Nice video, gud song, msanii aliyebarikiwa
Kwenye life watu wengi wanafek nomaaaa
Big salute my bro all I can say God bless you Sana.Kenya love
wakimaliza hawaishi kukutangazia eti Yule binti c tumemtumia nice barnaba
Muita classe nessa música. Estas de parabéns jovem barnaba. Estou a gostar muito da música inclusive o vídeo. Força aí jovem
Ok boy
Kali sana Mr classic keep it up my dear 😘😘😘😘😘