Viongozi wa Pwani wakutana kupanga mikakati ya kesho

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Maandalizi ya mkutano wa BBI awamu ya Pwani yamekamilika huku mkutano huo ukihamishwa kutoka katika uwanja wa Tononoka mjini Mombasa hadi bustani ya Mama Ngina. Ambapo viongozi kutoka Pwani na kwingineko watakongamana hapo kesho kuzungumzia ripoti ya BBI.

ความคิดเห็น • 11

  • @levinakidali8895
    @levinakidali8895 4 ปีที่แล้ว

    I can see a true leader mp wundanyi Hon Mwashako u are the best.

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 ปีที่แล้ว +1

    VIONGOZI WA KENYA NI KUONGEA NA HAWATENDI YANI NI VIGEUGEU

  • @adhiambonyasuna4043
    @adhiambonyasuna4043 4 ปีที่แล้ว

    Dear tv station,we are keenly following this tononoka thing,please hizi conversations za simu zinatuzuia kuona vile vitu viko underground

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani6476 4 ปีที่แล้ว

    Wow mashaallah mumeongea maneno kuntu

  • @salimmwangi3642
    @salimmwangi3642 4 ปีที่แล้ว +1

    BBI matatizo makubwa ya hi ni Rais Kenyatta, sababu mipangilio na kauli zake zinachangana watu kama vile amechanganyikiwa na nyumba yake jubilee, hivi niulize ukishindwa na nyumba yako jirani anaweza kukusaidia kwa asilimia ngapi? Rais umezidiwa

  • @geresonochieng7098
    @geresonochieng7098 4 ปีที่แล้ว

    yes sasa isha na jicho pevu wanashida gani tena

  • @alimuchiri5477
    @alimuchiri5477 4 ปีที่แล้ว

    Sasa kama pwani haipewi pesa kutoka serikali kuu, na iyo county annual budget ni nini? Si pesa? Ama mwataka pesa gani?

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 4 ปีที่แล้ว

    NAAAAM

  • @johnmpunda2409
    @johnmpunda2409 4 ปีที่แล้ว

    Wa KENYA some people's niwajinga wanasema ati BBI niyakuunganisha wa KENYA na Mheshimiwa Aisha nawalio kuwa na yeye warushiwa mawe hio ndio BBI ?????? Acha niwaambie msipo chunga vizuri KENYA inaweza chomeka kama 2007 be carefully.

    • @fauzishma8033
      @fauzishma8033 4 ปีที่แล้ว

      Aisha na Moha wangekuja mahala kama hapa kwa mkutano wa vyongozi wa pwani sio kupiga kelele tu nje

  • @fauzishma8033
    @fauzishma8033 4 ปีที่แล้ว

    Mbona hawa watu 2 Moha na Aisha hawataki kujiunga na wenzao ispokua kupiga fujotu na matusi