MAFUNDISHO!! USIKOSE KUFUATILIA KIPINDI HIKI KILA SIKU YA IJUMAA SAA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024
- Bishop Elibariki Sumbe Kiongozi wa Huduma ya Vuka Yordani na Mwangalizi na Wa Makanisa Ya Grace Evangelical Church Tanzania (G.E.C.T)
Follow Our Social Media Pages :
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
tiktok.com/Bis...
/ bishopsumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #KisongoWaya #ArushaTanzania
Amen Amen Amen Amen
Mafundisho yako uniinua sana,,, am really blessed Bishop
Amen
Mungu wa mazabau ya vuka yorodani aniteteye nitoke kwa kifo ca pili ili nami nasaidike 😭😭😭😭😭😭Mungu nikumbuke na mimi unapo kumbuka wengine 😭😭😭😭mapito ni makari sana sijui nitavuka lini Mungu wangu 😭😭😭😭
Amina baba ubarikiwe mungu akipenda jumapili ntakuja vuka yordan mm natoka mbulu mungu anisaidie Nina mapito magumu Sana lakini mungu wa vuka yordan atanisaidia maana nimemwamini ametenda Mambo ya ajabu imani yangu ipo kwako baba nikikanyaga tu nitapokea muujiza wangu.
Asante bwana yesu amen
Ameeeeen
Mafundisho Yako b shop yananitia moyo ,ingawaje napitia magumu ya kunikosesha amani ,lkn ninapofatilia mafundisho Yako moyo wangu unapata amani ,ubarikiwe sana baba Elibariki sumbe 🙏
Cusikate tamaa Mungu yupo
Amen🙏🙏🙏
📖📖🇹🇿🇹🇿👏👏🙏🙏🚘🚜🏡
Mafundisho yako Mtumishi wa mung yananihusu mimi kwel nimepotea il nahitaji kumrudia mung anisameh dhambi zangu zote.
Amen
Amen amen
Ameeen