Simba ya sasa levo yake ndo hii.vijana wameonesha uhodari mkubwa japo kikosi cha pili kimetuangusha lakin nao si haba.gonga like za hatari wenye wivu wakalale
Issa Abdallah mi kaniharibia siku huyu kocha,Sevilla walikua washakubali,anaenda kuwaweka magarasa,mtu kama dida na salamba wauzwe tu hawana wanachofanya simba
Kama kuna mtu anjua mipira abishane n mm shabiki wasimba damu hv unazani ss tunaweza fanana n timu gani saiv tanzania ss tunazid kubadilika n hyo sevila amecheza n ss tukiwa tumekutwa tumecheza mechi nying hiiiii ndio simba mtabaki kujisemsha maneno tu
Hongera wana msimbazi
mpira mme cheza japo wasemaji hawakosagi
na asie shukuru kwa kidogo hata kikubwa hata shukuru
Azza Mohamed s
mungu ibariki simbaaaaaa
Simba ya sasa levo yake ndo hii.vijana wameonesha uhodari mkubwa japo kikosi cha pili kimetuangusha lakin nao si haba.gonga like za hatari wenye wivu wakalale
Tanzania tunaweza ila tunajichetuatu
Nimegundua bado kiwango cha marefa wa kwetu kipo chini... Dkk 20 na 36 ya mchezo... Sioni off side pale
Mamba vipi
Huyu kocha hakutaka tuwafunge wazungu wenzake ndo mana kafanya makusudi kabisa yani kaniboa sana Hutu
Issa Abdallah mi kaniharibia siku huyu kocha,Sevilla walikua washakubali,anaenda kuwaweka magarasa,mtu kama dida na salamba wauzwe tu hawana wanachofanya simba
Ahsante kwa kuapload hii maana hatuuangalii
Angeshinda hii mechi ni sawa na mtende kuzaa nazi
Iddi King : MPIRANI CHOCHOTE KINAWEZA TOKEA WALA USIMDHARAU MPINZANI WAKO " IKUMBUKE 2nd round. BARCELONA vs LIVERPOOL " 0 - 4 BARCA OUT .
This iz cmba
Amakweli Tanzania tunaweza hii ni historia tosha kuwatikikisa sevilla Mwenda Paul
Tukishil tunaweza Kufanya jambo la maendeleo
kocha kafanya makosa kuwatoa kikosi cha kwanza
NDOA NI RAHA ONLINE TVhio mechi yakilafiki sio yakuitolea macho
this is 🐅
Witnes Temba chita
Good news
Mashaallah simab
Maskin nyie mwaomba hadi viatu looo! Karume ilala vimejaa kibao
Tunaweza .ila kocha kabet leo
Inaoneshwa chanel gan Azam
Kumbe nimeerewa Sevilla walikuja kuwafundisha mpira simba
Tunashukulu kwa huduma yenu
hh kujipa moyo sio
Mambo gani tena kuomba viatu
😅😅😅😅😅😅
Wamejitahidi aisee
Good
MUNGU.ni mkubwa Sana wangeshinda hawa👹 tungepata shida sana
tusilaum leper
Lakini sasa hatuoni kipindi cha pili
Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki simba
Africa 1 Channel simba tunaweza bwana
lakini kinyume chake anajaribu wachezaji
MUNGU.ni mkubwa Sana wangeshinda hi mech hawa👹tungepata shida mjini
Simba hamna lolote jibya
What country is this ?
Tanzania
Tanzania
This is Tanzania
Snipedot Genius tanzania
This is simba tanzanian
FT: SIMBA 4-5 SEVILLA
Kama kuna mtu anjua mipira abishane n mm shabiki wasimba damu hv unazani ss tunaweza fanana n timu gani saiv tanzania ss tunazid kubadilika n hyo sevila amecheza n ss tukiwa tumekutwa tumecheza mechi nying hiiiii ndio simba mtabaki kujisemsha maneno tu
Yanga alishacheza na asiton villa tena villa akiwa bingwa wa UEFA
Hapo kuna utofauti Kati ya timu moja inafanya mazoezi, ingine inacheza mechi
shebby bongo una uhakika
Wabongo bhn, akil finyu
@@judithpaul9013 kwani wewe huoni hapo nani kakamia mechi
Malazmen watu bado
Upuuzi mtubu sasa mnaonyesha magoli ya simba tu mbona mengine hamuonyeshi upuuzi tu
Hahahahaha
rawama kwakocha
Pira mwitu vile vile
Kipindi cha pili mbna hamuonyeshi?? +974🇶🇦🇶🇦🇶🇦
njoo live mnaaibisha nchi
@@babatiffahtv2646 tunaaibisha Kvp??
kwa uwiano wa umri sevilla walikuwa wanacheza na babu zao .
Mambo vp
@@bahatibeda6143 safi beda...habari
😜Pumbavuuu mnatutia aibu Mnaomba viatu!!!!!
Mo usiwape pkpk wanunulie viatu.
Acha ujinga na majungu angalia kiwango cha sevilla
nawapongeza sana simba wamecheza mpira mkubwa sana
Simba mungu awabariki
Hiyo nikumbukumbo mpaka yanga hata miaka mia hamtocheza na sevila hii in histori
Salmini Yussuf umemuuza makambo