Mama aacha Familia akimbilia biashara ya kupiga chabo Dhahabu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2018
  • Salome Mlelema ni Mama alieamua kuiacha familia yake na kwenda kutafuta dhahabu katika machimbo ya Mwima wilaya ya Kahama, Kazi yake yeye ni kununua mawe kisha kupiga chabo kama kuna dhahabu kisha anauza kwa watu wanaonunua dhahabu.

ความคิดเห็น • 10

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 5 ปีที่แล้ว +1

    mbona kama kamari.ununuwe saki laki kisha upate ziro presha tayari

  • @suletv8856
    @suletv8856 2 ปีที่แล้ว

    Ujui kuhoj maswal vitu ving ujauliza

  • @moniedwese5778
    @moniedwese5778 5 ปีที่แล้ว

    🤗

  • @hamadabou8546
    @hamadabou8546 3 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndo tunawatumia na ya kutolea

  • @marryngaa3195
    @marryngaa3195 ปีที่แล้ว

    Tanga twaita kibangara unapiga sample unaenda nunua

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว +3

    Dah! Kutafuta pesa cyo powa kwakweli.

    • @abdullahrashid6297
      @abdullahrashid6297 5 ปีที่แล้ว

      Saumu Hassan saumu hassan nimecheka kwa nguvu kutafuta pesa sio powa🤣

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว

      @@abdullahrashid6297 Umenifanya na mimi nicheke, yani uyu Dada unamuona kabisa ana enjoy hii kazi na wakati mimi naona tabu kweli, kuliko tabu ninayopata hapa nilipo.

    • @abdullahrashid6297
      @abdullahrashid6297 5 ปีที่แล้ว

      Yaah Kazi ngumu ksma bahati nasibu risk ya halali anapata masikini Mungu amuongoze in shaa Allah hela ya halali ngumu Sana Sister Saumu hassan

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว

      @@abdullahrashid6297 kwakweli, Ameen yarrab 🙏