Rais Eng. Hersi ameweza kuwafanya wachezaji wa yanga kama familia kwa kuwapa upendo ndio maana wana moyo mkunjufu kupambania timu yao Asante HERSI SAID naomba hii comment apelekewe Rais hersi
Yanga Sc sisi ni familia moja kubwa sana Duniani kote, umoja na upendo ndio siri ya mafanikio kwa kila jambo letu, namtakia heri na fanaka tele Azizi K katika kusherekea kumbukizi yake ya kuzaliwa.
Yep! Hata ukifuatilia interview ya mama yake alisema Aziz kuja yanga ilikuwa ni zaidi ya pesa! Alisema alipenda jinsi engineer hersi alivyowachukulia zaidi ya familia kiasi kuwashawishi kuichagua yanga.
Hii ndio maana wachezaji wengi na watumishi wangine wanapopita katika klabu yetu huwa wanaizungumzia klabu kwa mazuri.... Yanga n klabu yenye upendo sana
Happy birthday to you master ki top scoler wa yanga na NBC piah mm mengine staki kujua najua ni ki master daima mbele nyuma mwiko 💚💛🇹🇿🇲🇲🔥🔥😂😂😂punguza kutulia kushoto jizoeze mkono wa kulia
Eng. Hersi you're not normal human being, you extend your love and passion to all football communities, The sky is your limit, God bless you, i see you somewhere in our Government to support not only in sports but general development, mark my word and remember me wherever you will be
Je te souhaite tout le meilleur pour ton anniversaire. Que Dieu vous accorde une longue vie et de nombreuses bénédictions dans votre travail. Plus de succès en Ligue des champions de la CAF
Happy birthday aziz ki mwenyezi Mungu akujalie afya njema upendo amani akuhepushe na majeraha akutie utimamu ktk maamuzi yako yawe sahihi akujalie kufunga mabao mengi mengi Amiin 🤲🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
Yanga keeps the players together, they don't know who is the leader, who is the player, I have heard tears of joy, I love my team, Yanga Happy birthday KI AZIZ we love you so much ❤️❤️❤️
Rais Eng. Hersi ameweza kuwafanya wachezaji wa yanga kama familia kwa kuwapa upendo ndio maana wana moyo mkunjufu kupambania timu yao Asante HERSI SAID naomba hii comment apelekewe Rais hersi
Unaona mwamba mpk analia
👏👏👏
Longe vie sthephan Ki Aziz que Dieu te protège tjrs et la bonne santé🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎉🎉🎉🎉
HAPPY BIRTHDAY AZIZ KEY MAY GOD BLESS U AND UR FAMILY AMIIN WE WANAINCHII LOVES YOU NO MATTER WHAT JUST PLEASE KNOW THAT 💛💚💛💚
Akirudi Avic lazima wamuoshe 😅😅😅
Happy birthday KI10
Yanga Sc sisi ni familia moja kubwa sana Duniani kote, umoja na upendo ndio siri ya mafanikio kwa kila jambo letu, namtakia heri na fanaka tele Azizi K katika kusherekea kumbukizi yake ya kuzaliwa.
Yep! Hata ukifuatilia interview ya mama yake alisema Aziz kuja yanga ilikuwa ni zaidi ya pesa! Alisema alipenda jinsi engineer hersi alivyowachukulia zaidi ya familia kiasi kuwashawishi kuichagua yanga.
Daaa tarehe yangu ya leo kuzaliwa. Happy birth day to me. MUSSA KINGAZI
Hii ndio maana wachezaji wengi na watumishi wangine wanapopita katika klabu yetu huwa wanaizungumzia klabu kwa mazuri.... Yanga n klabu yenye upendo sana
Uongo
Allah akuongoze vyema kwenye umri uliobaki na akujaalie mwisho mwema 💚💛💚💛
Happy birthday Aziz miaka mingi zaidi na MUNGU aendelee kukulinda na kipaji chako🙏 🎂 🥂
Happy birthday Aziz live long life tunakupenda wana yanga
Kama umesikia priceeee mpumeleloooo. 😂😂😂😂. Gonga like apoo
Tumesikia wote nilikuwa naludia mala kwa mala na nimesikia
Hiyo imeenda 😂
Na ndio iliyonileta kwenye comment section 😅😅😅😅😅😂😂😂
Happy birthday to you K azizi Mungu akupe maisha malef yenye furah na amani
Ni upendo wa har ya juu. Mungu akupe miaka mingi na kher duniani barikiwa Azizi k
Happy birthday to you master ki top scoler wa yanga na NBC piah mm mengine staki kujua najua ni ki master daima mbele nyuma mwiko 💚💛🇹🇿🇲🇲🔥🔥😂😂😂punguza kutulia kushoto jizoeze mkono wa kulia
Eng. Hersi you're not normal human being, you extend your love and passion to all football communities, The sky is your limit, God bless you, i see you somewhere in our Government to support not only in sports but general development, mark my word and remember me wherever you will be
HAPPY BIRTHDAY K AZIZI
Je te souhaite tout le meilleur pour ton anniversaire. Que Dieu vous accorde une longue vie et de nombreuses bénédictions dans votre travail. Plus de succès en Ligue des champions de la CAF
Happy birthday to you Stephane Azizi Ki
Happy birthday Az K mungu akupe maisha marefu tunakupenda bure wanayanga
HAPPY BIRTHDAY TO YOU AZIZ KI MAY OUR ALMIGHTY FATHER BLESS YOU YOU WITH MANY MORE YEARS ALL THE BEST BE BLESSED ALL IN JESUS NAME AMEEEEN SHALOM
Happy birthday Azizi! Nafurahi kuwa tumezaliwa tarehe moja💚💚 😊
Happy birthday pia💪💪
Asante sana
Happy birthday 🎂 Mr 🔑 🎉🎉🎉May Allah blessed him
Happy birthday Ki Stephen Mwamba Sana 🎂 🎉May Allah bless you Always kwa ajili ya Wananchi 💛💚💪
Happy birthday k masta
May God bless you from 🇿🇦 cape town
happy birthday master k love you mwaaaaaaaa ishi miaka 10000❤❤❤❤❤❤❤ fund wetu jangwani
🔑🔑🔑🔑 master happy birthday 🎉🎉🎉🎉🎉💐 💚💚💚💚💚💛💛💛💛
May God Almighty Bless you with a very happy and successful life.
We love you Aziz K.
Mashallah ❤happy bithday to you ❤️
Happy birthday aziz ki mwenyezi Mungu akujalie afya njema upendo amani akuhepushe na majeraha akutie utimamu ktk maamuzi yako yawe sahihi akujalie kufunga mabao mengi mengi Amiin 🤲🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
Happy birthday mwamba ,may God bless you
Hbd Kwako mwamba azizi k hongereni Sana viongozi Wangu kwa kuishi kwa upendo na wachezaji Wetu
Happy birthday mwamba wa boli umezaliwa tarehe ya kufanana na mwanangu mungu awape maisha marefu.
Daaah raha sana you can't forget...
HBD Aziz 🔑 Hongera Sana Kamanda tunakupenda Sana .Mungu awe nawe
Ila yanga Kuna upendo sana
Yanga keeps the players together, they don't know who is the leader, who is the player, I have heard tears of joy, I love my team, Yanga
Happy birthday KI AZIZ we love you so much ❤️❤️❤️
I love azz ki na yanga yang naipenda xana mungu mubaliki azz k awe na maixha maref atakuw anatukumbka wananchi
Happy birthday master ki , wananch tunakupenda sana 🎂💚💚💚🙏
🎉🎉🎉 Happy birthday k Aziz
Happy birthday Azizi k umoja na mshikamano ndio siri ya mafanikio hongera sana
Happy birthday 🎉🎉🎉 👌👌👌🎂🎂🎂
Happy birthday Aziz may Allah protect you always
Bwana Yesu akutunze ..safi sanaaaa wewe ni msaada mkubwa kwenye timu yetu ya Yangaaa..Be Blessed
Together we succeeded
HBD Master ki 🎉🎉🎉
Saiv masta kii amekua handsome tz pazur bna
HBD Master Key. May GOD provide you special protection ana make your left foot more strong so that you continue scoring strong shoots goals
Hongera master k wetu ishi miaka mingi 💚💛💚💛💚💛💚
Happy birthday k masta
🎉🎉🎉🎉🎉 happy birthday to master key professional prayer
🔥🔥 happy birthday master Aziz k
Happy birthday kwako mungu akupe maisha malefuu yenye amani 🎂🎂🎂🎂
Yanga kuna viongozi wabunifu sana, wenye upendo sana, hongeren sana, naipenda sana yanga yangu
Hongera azizi na yanga hongera
barikiwa sana Mungu akuzidishie Neema kubwa ufanye makubwa zaidi
Machozi ya furaha jmn hongera kwa kutimiza miaka kadhaaa mungu akulinde vemaaa
Happy birthday to you Aziz Ki long life broo
Kuna watu wanajua kulishwa Keki lakini,kama mueangalia vyema hii video.
Hongera zenu wote,tuombe Allah atujaalie mwisho mwema.
Happy birthday aziz ki10💛💛💚💚💚
More successful 👏🙏 happy birthday to you Mr ki Stephanie Aziz 💪🤳
Hbdy aziz ki🎉
Nakuombea Mungu akupe maisha marefu ufikishe zaidi ya 100
Upendo ndo nguvu yetu, hongera azizi
Happy birthday master 🗝️
Hongera azizi k, tunakupenda yanga
Happy borne day. Key of our Wananchii team
Aziz key 🎉🎉 we love you young african🔰🔰🔰
A happy man's birthday😂😂,,,,happy birthday Stefanie
Mungu akuongezee umri mrefu zaidi Aziz ki. Happy birthday to you. Upendo ndio mafanikio yetu.
Happy birthday Aziz Mungu akujalie maisha marefu
Happy birthday to you k, 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤,may god be protect you arlways amen
hisia alizonazo ndo zinazomfanya alie kwa upendo wenye kina kirefu juu yake..
GOD BLESS him very much
Happy birthday azizi ki nakupenda Kwa ajili ya Allah
CONGRATULATIONS MY FRIEND HAPPYBRITHDAY THE PAPHOMANCE PLEYER, WELCOME TO TZ.🎉🎉🎉🎉🎉🎂🎂🎂🎂🎂🎂
Happy birthday ki Stephen Mungu akuzidishie miaka mingi zaidi
HAPPY birthday to you Ki wetu.....❤❤❤❤❤,,,,Yanga na wanayanga wake upendo umetawala. Ahsante Mungu kwa Neema hii.
Happy birthday Azizik Allah akutunze
Happy birthday mwananchi💛💚💛💚😊💛🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉happy birthday master k
Hya mambo yapo yanga tuu hongereni kwa upendo huuu❤
Happy birthday key master🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana. Pongezi nyingi kwa young africa .happy to u Azizi
upendo amani na mshikamano iwe silaha kwako sikuzote mungu akulindeeeeee.
Hongera mwamba kutoka wagadugu Steven azizi K tunakupenda sana wanajangwani
Adi mwamba kalia aisee yanga ni family kubwa sana
Happy birthday to you FUNDI wa ball..
Hongera kwa siku ya kuzaliwa Mshambuliaji hatarii K AZIZI❤❤❤❤
MashaAllah,Rabbi akupe umri mrefu/siha njm Ki Aziz,Mshikamano/upendo Daima Young Africans S.Club.
Mimi naipenda hii team jaman 😢😢
Happy birthday mwamba🎉🎉🎉
Nimejikuta namm nafrah mpaka nalia mungu akupe maisha marefu Stefan
Happy happiiii Master class in NBC PREMIER LEAGUE
Happy birthday brother
Hbd kaka miaka mingi wanaume wa ukweli tumezaliwa na mwanamke wa ukweli mwezi huu
Happy birthday Mwamba Wetu,🎂🎂🎂🎂
Hongera sana Aziz ki, piga boli sana
Happy birthday brother
Happy more return's 🎂🎉🍽️ of the day
Happy birthday may god bless you na akupe maisha marefu happy birthday to you once again
Aziz ki hongera sana, happy birthday to you
💛💛💛💚💛💚💛💚🖤💛💚🖤jaman jaman wapi 🖤💛💚utapat💛💚🖤 furaha ya moyo katika klabu za bongo 🎂💚💛💛💛💛
Happy birthday master Ki 🎉
🎉🎉mwamba aziz ki