AMINA. Wakristo mwaka huu kuna mahali tunaenda. Maadui wetu walikuwa wameweka ukuta, leo ukuta yao unaanguka. Ukianguka chukua baraka zako na uende. Wewe umeomba, umefunga na umeitana Jehovah Amesikia maombi yako na Amesema leo kuta zote zinaanguka. Ukuta ikianguka ni kuondoka katika ile shida tulikuwa nayo. Andika mahali, itatendeka hivi karibuni. Maadui wetu wanawekwa aibu. Tumeaibishwa miaka mingi na siku nyingi, vile walituaibishwa wataaibishwa. Kuta zao zikianguka aibu inaingia kwao. Maadui wetu wametuongea sana lakini huu mwaka wataona na hawatakula. Mbingu na dunia na chochote kilicho duniani kitashangilia na kuimba wimbo mpya. Huu mwaka hatutatoka mikono mitupu.
AMINA. Wakristo chochote chetu kilichukuliwa na maadui Mungu Anaenda Kuturejeshea. Kuna watu walichukua baraka zako na kile kilikuwa chetu kama vile Babuloni ilimeza. Hata ikiwa walimeza chochote walimeza mwaka huu watatapika kwa maana ni mwaka wa ufufuo.Wamefurahia kwa ajili ya baraka zetu lakini mwaka huu ni mwaka wetu wa kurudishiwa. Maadui zetu kile walitufanyia nao watafanyiwa hivyo hivyo. Sisi hatuna nguvu hatuna uwezo lakini siku ya leo ile kitendo walitutendea mwaka huu watatendewa. Kuna Mungu Anajua Kupigania walio Wake. Walijiinua wakasema wametushinda lakini leo Jehovah Mwenyewe Atatupigania. Mwaka huu si mwaka wetu wa kulia na kuteseka, tunainuka viwango vingine!
AMINA. Watu waliharibu Maisha yetu tukakaa kama watu wamerogwa. Walikausha, mito yetu ya baraka na ya kuinuliwa. Leo Babuloni inakauka na ikikauka mito yetu na bahari yetu inajaa maji. Waliokuroga na Waliotuaani mahali walikausha mito ya baraka inajaa. Kwa maadui inakauka. Maadui wetu wakijaribu kupigana nasi Mungu Atawanywesha mpaka wapepepsuke, walale usingizi na wasiamke tena. Maadui wakilala na sisi tuinuke. Wakati watalala Maisha yetu ilikuwa imelala itainuka. Maadui watashushwa chini kama kondoo ndume anapoelekea kuchinjwa. Ushuhuda inakuja. Kuanzia leo muujiza unatendeka. Maadui walikuja kwetu wakanyakua baraka zetu, siku ya leo chochote kilimezwa kitatapikwa na kikitapikwa ni kunyakua.
Amen watapike baraka zetu sahii
Amen kile walinifanyia hata wao watafanyiwa😇
Amen I receive it nimeteseka na kufinyiliwa 15 years

Amen watapike sasa
1st Sunday of 2024 JESUS is going to wipe away all my shame.
Baraka zangu zinatapikwa before mwezi WA SITA...I will be back with a testimony
Maadui zangu waliomeza chochote kilicho changu watakitapika kwa jina la yesu
👋👋👋👋👋👋👋👏👏👏👏👏👏👏mm Niko na Imani MUNGU amesema🙏🙏🙏🙏🙏
Amen watapike watotowangu na haraka zangu
Yes GOD 🙏 Amen amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.
AMINA. Watu waliharibu Maisha yetu tukakaa kama watu wamerogwa. Walikausha, mito yetu ya baraka na ya kuinuliwa. Leo Babuloni inakauka na ikikauka mito yetu na bahari yetu inajaa maji. Waliokuroga na Waliotuaani mahali walikausha mito ya baraka inajaa. Kwa maadui inakauka. Maadui wetu wakijaribu kupigana nasi Mungu Atawanywesha mpaka wapepepsuke, walale usingizi na wasiamke tena. Maadui wakilala na sisi tuinuke. Wakati watalala Maisha yetu ilikuwa imelala itainuka. Maadui watashushwa chini kama kondoo ndume anapoelekea kuchinjwa. Ushuhuda inakuja. Kuanzia leo muujiza unatendeka. Maadui walikuja kwetu wakanyakua baraka zetu, siku ya leo chochote kilimezwa kitatapikwa na kikitapikwa ni kunyakua.
Amen amen,chochote changu waliomeza changu, mwaka huu watairundisha Kwa jina YESU 🙏🙏🙏.
JESUS JESUS JESUS 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Thanks Jesus winner
I resived my blessings which my enemies taken. Tongether for my kids..this is my year
Amina mileleee
Jehova ananipigania
Amen Amen Amen
Amen I receive it
🙏🙏thanks our daddy
Napokea miujiza ya bwana
Amen 🙏🙏🙏
Amen Glory Be to GOD.
Glory to God 🙏🙏🙏🙏🙏
Lazima pia wao watafanyiwa hivyo walinifanyiya
Amina nimwaka wangu
Amen
Watatapika baraka zangu
It's our time
Ooo yes
Watatapika ndoa yangu leo
Yes! God of Daniel will remember us.
Asante yesu Kwa uzima wako ambao umenifikisha siku ya leo
God is great
WATAPIKE BARAKA ZETU WALIOMEZA
Amen. Thank you Lord.
🙏🙏🙏🙏
Amina watumishi wa mungu mubarikiwe
I connect my daughter and myself on this altar,,,they will cry ohh lord this powerful ,watching from thika
Amina👏👏👏👏👏
❤
Hallelujah amina
Wow wow 😂
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amina
Amen
Amen