'Nimeshawahi kwenda kwa Mganga wa kienyeji' - Darassa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Msanii wa bongofleva Darassa ambaye jina lake limeongoza kwa kutajwa mara nyingi kwenye namba kubwa za chati za Radio/TV Tanzania kutokana na hit single ya 'muziki' , amekaa kwenye Exclusive na Diva.
Diva amefanya Exclusive Interview na Darassa kupitia ALA ZA ROHO ya CloudsFM na kumuuliza maswali mbalimbali Darassa.
asante sana kwa majibu yako mazuri Darassa, hata kama maswali hayakuhusu mziki wako yalikuwa mswali yasiyo kuwa na mahadili kwa upande wako. Natupenda sana Darassa pamoja na mziki wako pia jiepushe sana na mastaa wakike . Pamoja sana wakati wote Darassa💋💯
kwel ww n darassa,big up kwa kujibu maswali vizur
Kaza buti Swaiba yangu. Hapa kazi tu. Mtangulize Mungu kwa kila jambo unalofanya.
Aaahh kazi yako iko poa nimeikubaliiiiii!!!!
Elizabeth Kazaula
ukiona star anajipambapamba huyo ni Dada mavaz hayahusik katk muzik achen ushamba wa kuigaiga na kumvunja moyo mtt wa mwanamke mwenzenu .....keep it up darasa
uko juu sana nimekupenda
Intarvier iko poa hasa kwako Star wetu #DARASSA napenda majibu yako unapo kuwa kwenye kipindi.
Darasa uko juu!usijali Ma haters huwahakosi , ur going far keep the fire burning!🔥🔥🔥🔥
Nancy Wanjiru well said
Alijibu maswal yote vzr Hongera san #DARASA kwakueza kufunguk mbele yawat ilicho wahi kufany pia ulivy eza kuambia wat hiv basi uzidishie na kumuomba #MUNGU msamah maana 🙏 ndie zaid kuliko sisi uliewez kutu fungukia kuhus "Waganga w. ......... pia Asant sn millard Ayo kw kipindi.
hongera sana kaka unavuma xana mnaochonga kaz kwenu kwan kuvaa inakuhuxu nn achen ushamba
Lilke you darasa unajitambua unajielewa huna mbwembwe nyingi in short you are on fire
just be you. Darassa anatisha wanaotaka avae vizuri mjue kwamba that is his taste.
yuko sawa tu ndivyo alivyojiweka atabaki kuwa star tu Darasa
endelea na style yako iyoiyo very simple nimeipenda
big up
bro nikupe big up,umejibu maswali kiakili saana
sana br dr and bibiye@divathebass@mwaaa
m sioni tatizo na mavazi yake,,darassa yupo vizur.
Darasa anajibu kaswali kwa hekima sana. Sikujua kwamba baadhi ya wasanii kama Darasa wana heshima wanapokuwa wanaongea na watu .
Dah. Uzungu mwingiiii. Mmh Diva
jus do Yah tings fella, let Em tok
katika interview za watu maarufu hivi haiwezi kamilika bila kuwahusisha diamond & Allykiba?? !! shikamoo CMG unajua kujibu maswali had raha🙌🙌🙌🙌🔥
Grace Kalinga hapo sasa me pia nashangaa kila kitu mond na kiba mbona watu wa kawaida tu.kutoka nje ya nchi icwe shida kwa wengi
Darrasa ..kaza game ngumu
saruti kwa darasa wengine wataendelea kusubil 2
weka muzikiiiiiii
huyu diva Amna kituu kabsa ajui kuuliza maswali
darassa ni moto wa kuotea mbali
you're so gud
jamni.huyu darasa.jina lake kmli anaitwaje
Amena Amena anaitwa sharifu ramadhan
Shaban Salum anaitwa sharifu thabiti
nguo sio ustaaae
nimependa saana darassa alivyo Cheka baada ya kuulizwa swali la kajala na wolper
Class hebu jaribu kumshirikisha Mondi tuone hiyo ngoma ita hit vp cz ushakubalika tayari sasa tafuta ujulikane kimataifa ili mshirikiane kuipeperusha flag yenu ya Tz
you are. an iron man. keep going. waitin mo frm you. am mad abt ua hiphop
😢😢😢yaani Diva jamani😏😏hata hao maboss zako kz wanayo .
ss umemleta Darasa kum interview lkn unatafuta maswali yaani hata cha maana hakuna mxiuuuuu
na enjoy ukinyooshaga mikono yako kama unapaaa yan mi hoiiii
Asela Kessy wachaaa wee
acha maneno weka muziki
mwaka wake huu jama
sasa avae vp na anavyovyaa anamuonekano tayari.U star ni Focus sio mavazi.
kip watchin😂😂😉😂😂😂..
huyu diva maneno mengi auliz hata cha maana 😁😁😁 alfu darasa anamjbu in detail ata ajishtukii maswali yake
Seems like host hukuwa tayari kumhost mkali wetu darasa
mimi naoana ndo ivo bora darassa
ishachuja
darasa una majibu pafect
HV hawajawahi ona mastaa wa nje wanavyoo vyaa,,mfano Eminem wanavaa kawaida na utakuta wapo kwenye event kubwa.
kila la kheri Darassa kua muangalifu na nafsi yako.
yaan wnyw wanamuonaga nanliu tu ndo anajua kuvaa mtu akivaa kawaida et hajui kuvaa
yani mnamuita msanii afu mnaanza kumuimbisha nyimbo zake hiyo katengeneza mwenyewe na anaifahamu kuliko mnavoifahamu nyiesio performance iyo ni interview
diva nafikiri hukujiandaa kabisa kwa ajili ya kumu-interview darassa, unatafuta mno maswali, huulizi maswali ya maana zaidi, unatoka nje ya mada na maudhui hasa ya kipindi chako. poor interview
mpelekeeni hizo nguo za ki star pumbavu hamuishiwi maneno acheni gubu
bwahahahahahaaa
vulnerable you just be yourself bro!!
darasa inapaswa abadilike awe na muonekano wa kistar hasa kwenye mavazi
u star ni package, siyo kuwa na hit song peke yake, anaweza kukosa baadhi ya madili licha yakuwa msanii hivyo kukosa mtonyo kama wasanii wengine wanavyofanya, hata kama ni hip hop mbona kina job makini wanapendeza so he need changes
#👏 #Hello Friends NyOte Poaw XANA ©®™#🍇
kaza buti kijana uko poa mno
cmg
piga manguo ya kiustar
Salvatory Nyemba unaonekana limbukeni wa mavazi
mbona darasa anavaa fresh tu ? tatizo nn jamani au kwa kua ni star???
😃😃😃😃😂😂na mlegezo wake jukwaani kila saa anapandisha suluali😃😃😃😃uwiii jmn
Never trust anyone trust your self and focus on yua duties music,
aiseh
darasa
n
zaid
yao
mziiiiiiiki
tumbo
joto
honestly what is this with diamond and alikiba???? both of them have not commented about it but why is it always a topic to people??..... SMH..... woke wanajenga na kukuza taifa by their songs. cut the crap guys and focus on what is important. JUST SAYING
Dada huyo si professional. Utam-interview mtu vipi na uko busy na hizo messaging zako. So unprofessional
dalasa mateja tena wakutupws
Clouds wanaruhusu vipi maswali yasiyo na heshima kuulizwa kwenye redio inayosikilizwa nchi nzima na watu wa rika zote kama haya?. Ni aibu kubwa hii, eti akivua huyu na yule....ujinga mtupu. Shame on you!!....TCRA wanafanya kazi gani?
msanii lazima uwe unajitambua ilikuwa haina haja ya kujibu maswali ya kijinga sana