‘Bra bra bra staki kusikia.’ How Darassa got East Africa's biggest song -
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Darassa speaks to Larry Madowo about his hit song Muziki and his career. AY also joins in
Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush
he is awesome and smart. acha wale wanakuja ati " yo yo, you already know what it is!" ati bling bling! All the Best Darasa!!!
Miriam Otundo hahahahaha kweli kabsaaa
+Halima Sali. noma
umeniguza sana....kile kinakuja kiharaka chaenda kiharaka! God's timing is the best 😍
mysh lysh 😂😂😂😂weeee
😂😂😂😂 wakenya nyinyi nyoo ndo zenu mko wapi kimawazo
mysh lysh uchokozi utaacha!! darasa angekuwa mkenya angekam na blackshades usiku.....wakenya tutafteni pesa tafathali hahahaha
enes mwangi 😂😂😂😂😂😂😂just finished me
mysh lysh aki fanya mjei wewe
Larry is good with people: Darasa is a good personality too!
ingekua underground musician ungeona amevaa miwani nyeusi.......but the guy hes so cool.bigup
teddy owen kabisa😂
hahahaha true
true
teddy owen hahahaha ukweli kwanza angekuwa mkenya uuuui tugehamishwa
????
He's so humble,, 😱😱this makes me love and respect him so much. 😉👏👏💞
He's such an inspiration....
Am proud that Darasa he is pure Tanzanian what do u think about Tanzanian. we go far..
Mkaliii wao , I wish I was back home Kenya.Miss this
Woow i lov your simplicity big up Darassa ❤
Such a humble spirit.
my favorite musician ...so cool ,original n creative lyrics ...ALL THE BEST kaka Darassa ..... like your songs
Nampenda kinomaaaah Darassa sauti yake, alivyo, yani so Amaizing
Darassa na Ay..
Big up👍🏽
love the lyrics and the beat ,ohhh man,u killed it🤗🤗🤗
down to earth mashallah,good music
Very humble and massively talented
Enyewe Dadarasa song imekuwa dunia mzima big up from Frankfort Germany
simplicity is a virtue I love this..
wow I love how he's talking even not a TZ You're Kenyan pewa citizenship
Annie Peters apewe ka kawa
Annie Peters Wakenya bhana kama vipi wachukueni watanzania wote mwageuze wawe wakenya....
INNOCENT MAGANGA Hahaha niwetu
INNOCENT MAGANGA we need more TZ so we can remove uhuru unaona maziwa na unga venye umepanda😢😂
Lol c'mon. He is a Tanzanian . He is ours
Muziki na unanitoa roho ! Darasa I salute u .keep up the good job.Ur songs wauh !👏👏👏
Wewe lary madondo wacha maneno weka mziki big up man Darassa👍👍👍
soo cool soo humble ..... wacha maneno weka muziki.
wakenya nafurahi ile love ambayo mko nayo... wasanii wa huku bongo wanajisikia vizuri sana wakiwepo huko🤞
bra bra bra sitaki kusikia manzee darasa can stop playing this song big up tu sana hit kweli.
😍😍🔥🔥,Acha maneno weka mziki uuuiiii, I love the song keep it up, Darasa
Miss njuguna
humility brings out the cool in anyone...he is great
wacha maneno weka muziki!!!!!, ahsante Darassa
I like that spirit Darasa God is everything in our needs
BigUp Darassa!! You are such a humble and a talented soul... Waiting for that next week release vibaya sana! Cheers!
I swear when i had his song i thought this guy was a Kenyan who else thought so???
ni kweli duniyani umependwa muziki basi hapa oman watu wanaehuka kwenye harusi nnamtoto mdogo wa mwaka na nusu anaupenda sanaaaaaaaaaa muziki akishika tu sim anakuja umwekee muzik anauita tah tah akishasema hivyo basi anataka umwekee muzik basi anfurahi. sanaaaaaaaaaa. kweli muziki umehit duniyani. all the best darasa
He's humble I like that😍
Mganga hajigangi!
I love your song and after this interview i love you as well lol! Cool n smart guy. Keep the songs coming.
looove his maturity in person and his lyrics say it all
kama utanipenda...love you Mr Darasa😘😘😘Hizi mambo hazitakangi ujuaji...😊
When Darasa and kaligraph jones meet! EXPLOSION!
You are so poetic darassa pasua anga pasua nanga wanasemanga chambua kama karanga uuuuuuuii!
Sounds like a Kenyan he's also so humble.Please Tanzanians can we share him ?😄😄😄msikatae tafadhali 😘
Lilian Tanui 😂😂😂😂waambie plz
richard mgaya aiii khaligraph apana but we can share them unajua E.A we are a family
richard mgaya 😂😂😂😂😂😂😂 acha madharau hamorapa,hatumtakii
richard mgaya hamorapa hapana 😂😂😂😂😂
ogada ogada uyo ni mume-mke😂😂😂"am strong woman"
Great music, every one dance it along in Pompy.. Kenyans and Tanzanian and Ugandan.. #KingBidder Music
darassa I love ur song big bro keep it up 😍😍😍😍😍😍
josephine alex me too
awesome song n great personality both of u
This guy is cool. I love his music.
Mchizi ametulia kinomanoma,,one love
Aaaww love the song... cool guy
NYC song indeed..a motivational lyrics
DARASA ngoma yako nayoipenda ni SIKATI TAMAA.Big up.#PEACEEE
Napenda interview za wa bongo
last weekend was clubbing and MUZIKI was played in one of the hottest clubs in dubai #ArmaniPrive and the crowd (Mix Nationalities) all on 🔥🔥🔥🔥 Meeeeehn it was amazing #Darassa #Muziki #TheTrend
I love #muziki keep it up D.
yeah very wonderful artist
Keep it up Darassa wimbo poa sana
big up darassa hiyo ngoma inadai kishenzi! Larry hii interview ilikuwa ya darassa!!
Hahahaha hiyo nyimbo yake muziki hunibamba sana ati sinzia na fegi uchome kibanda hehe, I was thought he's from Kenya big up broo
Woooow nim humble weka mziki wacha maneno
napenda nyimbo zake sanaaaaaa
Its the kind of song you ignore at first then find yourself singing in your head....next thing you know you are searching the lyrics online coz you dont know who the heck it is.
in Kenya We only know a third of Bongo Artistes guess even less ,
We Got Kina Warda,Darasa here , Lameck Ditto, Kala Jeremia, Roma - chemical -This guy has been here for long
wakenya kama hamungeharibu kiswahili tungelewana vizuri sana hata hamungeona tofauti Ya mkenya na mtz.... woii Larry ana pata shida Sana kuzungumuza
Wakenya tunajua Kiswahili. Ni kama vile kizungu ya USA na ya Britain ni tofauti na accent yao ya kuongea pia ni tofauti. Pia Kiswahili cha Kenya ni tofauti na ya Tanzania na vile vile Kiswahili cha Congo. Kiswahili cha Kenya ni tofauti na ya Tanzania na ya Kenya inabadilika kila kuchapo
Eric Kossen @we normally speak English that's why kiswahili c mdomo yetu....
the guy is humble
can't compare this dude with diamond he's so humble much love darasa
l also thought ni mkenya God bless you weka mziki wataka kukimbia na huna break what do you expect
Uyo Darasa ni Class ??? naeza repeat.....
😂😂😂😂😂
savage😆😆
We love u Darassa
Mi naamini kinacokuja kwa haraka kinaondoka kwa haraka. Big up Darasa🖐️ ukweli mtupu
Too much is a powerful message song too
ako so at home 🔥💯
I Love bongo
CMG to the world baba....btw my dude AY looks hazy af,koro za nairobi must be loud si xenge hehehe
woow amazing
so humble
Big up Mr classroom.
kama upo hapa na u from +255 gonga like
hongera darasa
Darasa CMG 🙌 Tanzanian Boy, Go Represent Homie.. 💪
dope interview 👊
We love u
very humble
Kenyans should borrow a leaf from this guy #darassa . much love darasa.
Nice interview
Big up darasa
lovely
Acha moshi umekuharibu meno na utaku cost throat cancer coz koo yako ni kavu sana.Ay mtu fresh sana anawa support wenzake.
HII INTERVIEW NAIPENDA KUICHECK JHO NTV KENYA NAWAPENDA BUREEE MIMI
Acha maneno weka muziki.... heko kaka Darasa. napenda vile umetulia mazungumzo taratibu
the twits are awesome😂😂
good man
uyo ni darasa,so...what do u expect#...lyrically,noma saana.
izo tweets zimenimada
yule msanii wa TZ alikuwa anasema HE IS A STRONG WOMAN anaitwaje??
Diana Diana 😝😝😝😝😝anaitwa hamo rapa
Diana Diana 🤣🤣🤣 fala wewe 😂😂 eti Strong what!!!!?
mumba yeashata 😂😂😂😂😂sio Mimi nilisema he was the one saying it(hamorapa) 😁😁😁
Diana Diana 😂😂😂 hii ni mpya kwangu 🤣🤣 tuma Link hapa +4915758275030
kabsaa ako tofauti sana na tz huyu nikenya
Acha maneno. Darassa ni n TZ na kuna wa Tz wengi tu wako kama yeye. Problem with Kenyans wanafikiri wanamuziki wote wa Bongo lazima wawe kama Diamond and AliKiba. Bongo/TZ ina wasanii wengi wa aina tofauti
ile team iko kweri😂au brabra hawataki sikia😂
His cute
Darasaa
wow.. i thought he's kenyan🤔 Good job Mr Darasa🖒
u thought!!!??
+255 champion boy
wa dem wa kenya hawana bra.... bra.... bra
wacha maneno weka muziki uwiiiii napenda huu mziki unanipagawisha sana.
Humility is everything! Nilimskia mara ya kwanza kwa News, even before I hear the song. Mkenya Online app: play.google.com/store/apps/details?id=com.kissdevs.mkenyaonline
Peter Kenneth Darasa uko poa aisee tena wa kimataifa,normal person and personality.Fanya kazi broo.
Am planning a Collaboration with him very soon. watch this space
Darassa is a little bit shy😊😊
me nangojea tu utantoa roho itokee officialy