Ruto: Sina tena hamu ya kukopa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Rais William Ruto alijitokeza mbele ya umma kuzungumzia mzigo wa bajeti kubwa nchini kama walivyotaja vijana walioandamana kwa majuma matatu. Alitangaza kupunguza kuomba nje kwa shilingi Bilioni 177 miongoni mwa hatua zingine.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 1

  • @dennismukoyatv
    @dennismukoyatv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shida ya Kenya si mikopo.
    Shida yetu ni viongozi duni na waroho ambao wanapora pesa zilizochukuliwa kwa mkopo bila kujenga miradi yoyote halafu wanawalazimisha wananchi kulipa mikopo hiyo na riba juu yake ilihali haijajenga miradi wala kuwafaidi wananchi.
    Ruto anawafahamu waporaji hao kwa sababu yeye ni mojawapo.