UKUTA ULIOZUIA MAJI KUELEKEA MTO RUAHA MKUU WABOMOLEWA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Utekelezaji wa agizo la serikali la kuchukua hatua shughuli za kibinaadamu katika eneo la bonde la Usangu na Ihefu wilayani Mbarali mkoani Mbeya ili kunusuru Mto ruaha umeanza kwa kubomoa mifereji yote iliyochepusha maji kinyume na utaratibu.

ความคิดเห็น • 24

  • @frenkfrenk5064
    @frenkfrenk5064 ปีที่แล้ว

    Mto ruhaa muimu sana kwa uzalishaji umeme kidatu

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 ปีที่แล้ว

    Mlisema ukame je tuamini lipi ?

  • @professorwangwande9287
    @professorwangwande9287 ปีที่แล้ว

    Yaani Bola wanyama kuliko watu mpunga ukikosa maji hamna neno Sawa nijuavyo mini ridhiki haipokonywi ilmungu muumba ataleta njia nyingine

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 ปีที่แล้ว

    Mpka linajengwa mlikuwa wp? Mlilala?

  • @kantonankwera768
    @kantonankwera768 ปีที่แล้ว

    Mtatugawia chakula selikari ijitasmini

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 ปีที่แล้ว

    Mchele utapungua sokoni na utapanda bei lazima tutalalamika sasa hivi

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 ปีที่แล้ว

    Kila kitu kina faida na hasara uneme tutapata sawa lkn mchele hautakiwepo wa kutosha tutailaumu serikali hiyohiyo subirini tuone

  • @chrispinkagaruki4170
    @chrispinkagaruki4170 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli mambo mengine nchini kwetu yanahuzunisha tu basi. Miaka 61 ya uhuru, kauli mbiu kibao, mara siasa ni kilimo, mara kilimo uti wa mgongo nk, siku zote tuna mawaziri na wizara za kilimo, za maji, za mazingira, za maliasili, kuna wataalam, hatujawahi patwa na majanga kama vita au mabalaa yaliyokithiri, lakini bado serikali inagombania maji na wananchi, bila aibu ikiwatuhumu kutokuwa wazalendo. Duh! Mungu ingilia kati hizi nchi zetu za kiAfrika.

    • @jonathanmnyone4003
      @jonathanmnyone4003 ปีที่แล้ว

      Mimi sidhani kama tatizo ni kugombea maji Kati ya serikali na raia. Hapa tatizo ni watendaji serikalini kutokuwajibika. Haiwezekani maji ya mto kuzuiwa yote na kuchepushwa kwenda mashamba inamaana mto unakufa viumbe hai vinataabika na kufa, uzalishaji wa umeme unashindikana Kwa ajili ya mashamba ya familia 12. Muhimu kujifunza aina nyingine ya kilimo ambacho kinatumia maji kidogo. Nchi kama Israel imefanikiwa Sana katika kilimo cha umwagiliaji cha maji kidogo drop irrigation. Tujifunze kwao. Tujenge mabwawa ambayo tutavuna maji wakati wa mvua ili tuyatumie kumwagilia mashamba.

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 ปีที่แล้ว

    TUNAPONGEZA VYOMBO VYA HABARI AMBAO MLIJITOA MHANGA KUANDIKA SWALA HILI NA KULISEMEA, ASANTE SANA...NYIE NI MASHUJAAA WA TAIFA LETU...

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 ปีที่แล้ว +1

    Ufumbuzi ni kujenga bwawa upstream, ni muhimu kufikiri kwa mipango ya muda mrefu.

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 ปีที่แล้ว

    Wanyama wanaishi kwa tabu sana huku Ruaha joto ni kali hakuna maji viboko wanachanika ngozi wanatokwa damu hadi huruma

  • @georgesamwelihuri7562
    @georgesamwelihuri7562 ปีที่แล้ว

    Kwanza ningekuwa ndo nimewateuwa ningeanza na wewe mkuu wa mkoa huo na mkuu wa wilaya na wasimamizi wa hilo bonde kwani mlikuwa mnajuwa ila mkasubilia hadi wahalili wa wambie makamu wa rais ndo mkatekele sheria, huo ni upuuzi kabisa,

  • @jonathanmnyone4003
    @jonathanmnyone4003 ปีที่แล้ว

    Tumieni wataalamu kunusuru mashamba ya watu wasaidieni kuvuna maji ya mvua nk. Mito kutiririsha maji ni muhimu Kwa ajili ya viumbe hai na kwa ajili ya uzalishaji wa umeme nk

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 ปีที่แล้ว

    TULIDHANI YUPO MWENYE NGUVU KULIKO DR SAMIA SULUHU HASSAN RAIS WETU, DR FILIPO ISIDORI MPANGO MAKAMU WA RAIS, NA MHE. WAZIRI MKUU, AFADHALI TUMEPATA MATUMAINI....

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu ปีที่แล้ว

    Basi naiomba Serikali ichimbe kisima kikubwa Kwa ajili ya kumwagilia ili kunusuru maisha ya watu pia

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 ปีที่แล้ว

    SIO WANANCHI SEMENI VIONGOZI NA WENYE MITAJI MIREFU...AKA SIO WANANCHIIIIIIII

  • @goodlucknnko5493
    @goodlucknnko5493 ปีที่แล้ว

    NASHANGAA WANAOBEZA UONGOZI WA MAMA, HAYA YALIFANYIKA KWA MIAKA KADHAA BILA KUKEMEWA

    • @alpheuskibaden270
      @alpheuskibaden270 ปีที่แล้ว

      Hujui chochote kuhusu impact ya hicho kinacho fanyika

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 ปีที่แล้ว

    Hata huyo anajiita mbonde wa hifadhi Hana lolote anataka kupandishwa cheo tu! Bomoeni baada ya kumaliza kubomoa leteni mvua Sasa! Wote ninyi mnafanya kazi kichawa tu!

  • @musasimbeye7829
    @musasimbeye7829 ปีที่แล้ว

    Mafunza wakubwa ninyi.

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu ปีที่แล้ว

    Basi naiomba Serikali ichimbe kisima kikubwa Kwa ajili ya kumwagilia ili kunusuru maisha ya watu pia

    • @nassibuduma7162
      @nassibuduma7162 ปีที่แล้ว

      Mkulima kama ameweza kujenga ukuta uwezo wa kuchimba kisima anao