Ngoma ya ukae kungulu wanakatika vioni noma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 5 ปีที่แล้ว

    Jamani mnanikumbusha wakuitwa Nyoka mkali Morogoro kwenye vijiji vya Tegetero yaani anapiga ngoma na ukulizi balaa (na kuna Chunda pia hili lilikuwa kundi ndani ya hili kundi la kuimba na kucheza kuna watu kama yeye mwenyewe Chunda,Adam Kidebe,Mkwalinge na Michemba na wengineo kibao ila wengine nimesahau majina yao ila wengi wao tumesoma shule moja) shule ya msingi Mifulu chini ya walimu kama vile Kimweri, Degeresa, Chogo na Octovian mrope

  • @sofianaipendasanayangajohn2961
    @sofianaipendasanayangajohn2961 3 ปีที่แล้ว

    Moroyetu laasana mchezakwao hutuzwa

  • @ramadhanhaji55
    @ramadhanhaji55 5 ปีที่แล้ว

    Hii ndio asili ya waluguru sio visingeli

  • @mutv5873
    @mutv5873 6 ปีที่แล้ว +1

    Tuleteee nyine mwana wolawa kwaiwo kwani

  • @minjatripom5393
    @minjatripom5393  7 ปีที่แล้ว +1

    mpenda